John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

Kumbe gharama ya kuvunja amri ya kuandamana ni elfu 50! Sasa ya nini kuniua kwa gharama ndogo, M4C tutaandamana na hamsini zetu mfukoni
 
Tendwa anasema vyma vikutane na polisi, eti wakosoane, polisi hawa hawa wa Kova, NA MWEMA kweli huyu mzee si mzima, mazungumzo ya madaktari yalikuwaje na mwisho ukawaje, mkutano wa cdm morogoro mwanzoni kabisa ilikuwaje na badaye mtu akafa, vivyo na iringa POLISI NI FULL VIGEUGEU... Tendwa nasema anasema hakuna ubabe,,,, anasema eti matukio ya polisi kuua raia yamepungua ukilinganisha na yale mauaji ya zanzibar
 
tendwa anag'ang'nia vyama vukutane na polisi wengine wanaona vikutane vyama vyenyewe kwani polisi ni mtekelezaji tu
 
kwanini vyama vya siasa vikae na polisi,polisi kazi yao ni moja tu,kulinda watu na mali zao...
 
Eti a naamini kuwa ipo kazi a vyama vya Siasa kukaa meza mmoja na polisi kutafuta suluhu ya mauaji; hataki vyama vya Siasa vikao kwanza peke yao kwanza! Anajificha ndani ya polisi, tena kwa kuhadaa eti jeshi la polisi lisijione ubabe
 
Kwa hiyo ni jambo la kuigwa? Sasa endapo jirani yako anampiga mkewe, nawewe utaharalisha uovu huo kwa kisingizio kuwa wee si wakwanza kumpiga mkeo? Mbona sasa Tendwa anasema gesi la polisi haliko mbele ya sheria? Halina haki kutumia nguvu!
Anasema mauwaji ya raia si tanzania 2 hadi nnje ya nchii so si kitu kigeni
 
Ninavyo Tendwa ameingiwa na hofu kujieleza kwake ni kujichanganya tu. Masako anambana kweli
 
Daah Tendwa anawakosoa tena polisi anasema kunawakati huwa wanajibu ndivyo sivyo barua za vyama vya siasa... mmmh
 
Kwa hali ilivyo sasa hivi yoyote ambae hasimami na ukweli hata angekuwa na PHD nyingi kama Nchimbi lazima atapwaya tu atakapo kutana na watu makini kwenye mijadala.

Sent from BlackBerry 8520 authorized by JamiiForums.
 
Ni sahihi kusema kuwa mauaji yanayofanywa na polisi hapa nchini hufanywa na mataifa mengine pia?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom