John Tendwa Live on ITV katika 'Kipima Joto' cha Masako!

Polisi wanavuliwa nguo hadharani vibaya inasemekana mwaka jana huko singe urambo polisi walimuua mtu aliyeko umbali wa mita 100,na walimuua kwa makusudi.. mzee huyu (Markosi Albanie) anadai ametoka iringa, na mbeya leo yuko na cd ambao ni ushahidi tosha wa watu waliokuwa wakitoa ushuhuda wa wazi juu ya polisi kuhusika katika mauaji huko iringa
 
Tendwa hana jipya, naona yuko na watu makini na wanajieleza kwa ufasaha sana.
 
"Niseme kwa kifupi,polisi wanapotupeleka ni nje ya demokrasia"Nanukuu vile alivyomalizia huyo mwenye shati jeupe! Ndo nimetune tu cjui ni nani!
 
Tendwa anaulizwa swali na masoko kuhusu nguvu njingi zinazo2mika na polisi
 
Anasema mauwaji ya raia si tanzania 2 hadi nnje ya nchii so si kitu kigeni
 
TENDWA anasema inapotokea barua ya polisi ikachelewa kukufikia katika kuahirisha mkutanonwako, anasema busara inapaswa kutumika, anasema swala la mauaji ya polisi kwa raia hayatokei hapa kwetu tu anasema yanatokea nchi zoote duniani... naona Uzee si kitu kizuri
 
Sasa si mseme anachoongea badala ya kuanza kuponda tu kama mazumbukuku. Ooh Tendwa ana manundu, mara ana virusi, mara ana wadogo zake wanaitwa Tendeana. Hayo ndiyo mambo ya kuchangia watu wenye akili zenu? Watu wengine bwana.

binti soma thread kwa makini mbona watu wanakujuza yoote, soma mstari kwa mstari
 
anazidi kujichanganya inamaana ana kubali polisi kuionea cdm!
tendwa anasema suala la polisi kuua raia liko hata katika nchi zingine.
Mytake: ina maana kwa maoni u mawazo ya tendwa polisi kuua raia ni jambo la kawaida maana hata nchi nyingine polisi wanaua raia.
 
Atoe data wapi we muulize vikao vingapi hadi sasa vya cc ya ccm ndio anajua! Ndio Maana Lissu anawachezesha gwaride!
Tendwa anatoa macho tu.amekutana na vichwa vina data,yeye hana data hata moja za mauaji.janga
 
"Na demokrasia ni pamoja na ulinzi na usalama wa raia"Nimenukuu michapo Tendwa asemavyo! Wapenzi wana jf,tunukuu michapo then tupia hapa! ITV live!
 
naona tendwa leo amekuwa mpole tofauti na juzi alipotishia kufuta chama, nahisi amejutia kauli yake ya juzi.
 
Tendwa wamemshika pabaya anataka kuondoka studio maji yamefika shingoni kudadadaki
 
Jamani mbona Tendwa anahema juujuu kwa hofu,

mwakilishi wa jeshi la polisi kagoma kuja kwenye kipindi
 
Masako anauliza kwanini mara nyingi mauaji haya huambatana na vyama ambavyo viko karibu na chama kinachotawala, mafano enzi za NCCR-Mageuzi ikiwa katika peak na Polisi, ikaja CUF na Polisi, now ni Chadema na Polisi VS Raia, tendwa anajikanyaga
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom