John Tendwa kwenye dk45 ITV

Desteo

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
494
123
Tendwa anazungumzia vyama vingi. Nimeona vyote ila haiba ya huyu mzee sijaipenda
 
Mkuu! Huku kwe2 mtaa wa Sakina tangu jana saa 17:00 tar 14/08/2011 jioni ha2kuwa na umeme mpk hivi leo 15/08/2011 saa 20:25 usiku ndiyo 2mepata umeme na kwa kweli kufika ghetto nikakuta msajili wa vyama ndani ya ITV lakini naona kama leo ana MAONI mazuri inayoniingia kidogo. Ila hebu 2mfuatilie kwnz
 
Wakuu huku kwetu umeme imekua bidhaa adimu tangia tumng'oe mramba kwahiyo mtujuze anachosungumzia
 
Mbona anaongea kisharo baro sana?
<br />
<br />
haaaaah haaaaa kwa sababu anaongea mguu kapiga 4? Ananiboa anapodai kuwa maandamano hayasaidii. Hiyo si kweli nchi zenye demokrasia na maendeleo walipitia pia njia hiyo asidanganye watu!
 
Hapa natazama dakka 45 ITV msajili wa vyama vngi anaongea
vp?toen comment abt it
ope hez o nt abt maandamano kwamba hayana faida hasa cdm wanapenda kuandamana kwa ki2 kidogo
 
Muandaji au uulizaji maswali wa huyu ndugu wa ITV bado unahitaji maberosho. Kuna namna unaweza kuweka swali na mtu akakupa jibu la ndani kabisa bila kujijua. Lakini kwa mtindo huu wa sasa ni vigumu mtu kama Tendwa kusema kile kilochoko moyoni kwake kwa sababu nyingi tu ikiwemo ajira yake. Tukumbuke gabbage in gabbage out! Usitegee jibu la maana kama swali lenyewe ni legelege.
 
Msajili wa vyama vya siasa nchini John Tendwa amesema haoni sababu zozote za msingi za maandamano ya CHADEMA.

"unaposema utaandamana kutoka Arusha hadi Mtwara, unamkomna nani? Ni vema ukatafuta utaratibu mwingine wa kutatua matatizo badala ya kuandamana"

Tendwa alitoa kauli hiyo alipokuwa akifanya interview ktkt kipindi cha DAKIKA 45 cha ITV saa tatu leo usiku.

Tendwa ametishia pia kukifuta chama chochote cha siasa kinachoendeleza kampeni wakati uchaguzi umekwisha.

Akitoa maelezo alisema
"ukishindwa uchaguzi unajipanga kwa ajili ya uchaguzi ujao. Taratibu zinasema unajipanga na sio unafanya kampeni."

Akaongeza,
"sio unatoka bungeni unaenda kuwaambia wananchi, sisi ni wachache kuliko CCM kakini hawatushindi hoja. Sisi tunatoa hoja za kuomba mwongozo kuliko CCM, kwa hiyo uchaguzi ujao mtuchague sisi" aliongeza Tendwa bila kusema wazi anakilenga chama gani.

Ktk kuonesha mamlaka aliyonayo amesema hatasita kukifuta chama chochote kitakachokiuka taratibu.

Alipoulizwa na Mtangazaji wa kipindi hicho Selemani Semunyu kuwa jeuri hiyo ameitoa wapi alijibu,
"mamlaka ninayo, sio jeuri ni mamlaka."

SOURCE:ITV
 
unatisha wangu nmemuona Tendwa anaongea na 4juu plus kijizarau anajeuli hatari
Polen ambao hamna ume2 upande wa mramba c 2limunyima masha 2kaweka jembe wenje ongea fresh na mbunge wako ope niwa cdm
 
Nillikuwa nakifuatilia hicho kipindi lakini nimelazimika kubadilisha TV station maana siwezi kuvumilia kumuangalia huyu Mzee wa ovyo anaeongea kwa kebehi na mbwembwe.
Tendwa alipaswa aishi nchi za magharibi au awe na ajila yake binafsi, hapaswi kuwa kwenye utumishi wa umma. na huwa mara nyingi najizuia kuwa karibu na huyu mzee maana nisije nikamtandika kichwa, anakera sana.
 
Mkuu! Huku kwe2 mtaa wa Sakina tangu jana saa 17:00 tar 14/08/2011 jioni ha2kuwa na umeme mpk hivi leo 15/08/2011 saa 20:25 usiku ndiyo 2mepata umeme na kwa kweli kufika ghetto nikakuta msajili wa vyama ndani ya ITV lakini naona kama leo ana MAONI mazuri inayoniingia kidogo. Ila hebu 2mfuatilie kwnz
<br />
<br />

Kwetu ni siku ya4 wanagawa giza
 
Back
Top Bottom