John Shibuda na mgogoro wa Kauli ya kuisifia CCM; Kauli za wana CHADEMA

Kunatarifa za chini chini zinabainisha kuwa shibuda anaendelea kuitesa chadema kutokana na kukataa kufuata aina ya siasa wanazotaka chadema,

shibuda amekuwa na msimamo wake binafsi kisiasa kwa kukataa kutumika na chadema na kujikita kuwatumikia watu waliomchagua,

Shibuda amekuwa na mfumo wa kukataa kususia vikao vya bunge kama chadema wanavyotaka na kuendelea kuwatumikia watu waliomchagua,

shibuda pia amekuwa hakubaliani na msimamo wa viongozi wakumtaka ambatane na wenzake kwenye mandamano ya chadema kitu ambacho kinawakela sana viongozi wake,

Baada ya mijadala mirefu ndani ya chadema wengine wakitaka shibuda afukuzwe na wengine wakitaka apuuzwe lakini wapo waliodai pia kuwa shibuda anaonewa kwa sababu ya usukuma wake kama alivyowahi kusema yeye mwenyewe,

Lakini pia wapo waliowaonya chadema kuwa kama shibuda watamgusa anauwezo wa kuiua chadema kanda ya ziwa kwa mikono yake mwenyewe kwa vile yeye ndiye aliipereka kwa mikono yake mwenyewe wakimgusa moto utawaka na kamwe hawataweza kuuzima wao kama chadema ndiyo maana chadema wako kimya kwa shibuda.

Akili zako sawa na dagaa tu,we hayo uliyoyaandika unaigiza paspo akili hata kidogo,ni lini chadema walimtaka shibuda aungane na wenzake katka harakati?na huyo shibuda alisaidia vipi chadema kuenea kanda ya ziwa?je huo msimamo wa shibuda unawasaidia nini wana maswa hadi wamuunge?pamba bei ndio hiyo inazidi kushuka,wasukuma wa maswa walio wengi wanategemea kilimo sasa hali zao ni duni kimaisha sasa sijui wewe mjinga unaongolea wasukuma wapi?
 
Kwa wengi wetu wanaopenda UPINZANI tulishasahau kama SHIBUDA yupo CHADEMA.Kwa wengi wetu SHIBUDA=CCM!
 
Kunatarifa za chini chini zinabainisha kuwa shibuda anaendelea kuitesa chadema kutokana na kukataa kufuata aina ya siasa wanazotaka chadema,

shibuda amekuwa na msimamo wake binafsi kisiasa kwa kukataa kutumika na chadema na kujikita kuwatumikia watu waliomchagua,

Shibuda amekuwa na mfumo wa kukataa kususia vikao vya bunge kama chadema wanavyotaka na kuendelea kuwatumikia watu waliomchagua,

shibuda pia amekuwa hakubaliani na msimamo wa viongozi wakumtaka ambatane na wenzake kwenye mandamano ya chadema kitu ambacho kinawakela sana viongozi wake,

Baada ya mijadala mirefu ndani ya chadema wengine wakitaka shibuda afukuzwe na wengine wakitaka apuuzwe lakini wapo waliodai pia kuwa shibuda anaonewa kwa sababu ya usukuma wake kama alivyowahi kusema yeye mwenyewe,

Lakini pia wapo waliowaonya chadema kuwa kama shibuda watamgusa anauwezo wa kuiua chadema kanda ya ziwa kwa mikono yake mwenyewe kwa vile yeye ndiye aliipereka kwa mikono yake mwenyewe wakimgusa moto utawaka na kamwe hawataweza kuuzima wao kama chadema ndiyo maana chadema wako kimya kwa shibuda.

Upumbavu huo ni mkeo na wanao pekee wanaoweza kuuamini kwa kiasi kidogo sana.Nyie pigeni domo tu, CDM kazi tu mpaka kieleweke.Hatudanganyikii!!!
 
Hivi Hayati Bob Makani kazi aliyoifanya katika CHADEMA haikutosha kuitambulisha CHADEMA kanda ya ziwa?
 
Kunatarifa za chini chini zinabainisha kuwa shibuda anaendelea kuitesa chadema kutokana na kukataa kufuata aina ya siasa wanazotaka chadema,

shibuda amekuwa na msimamo wake binafsi kisiasa kwa kukataa kutumika na chadema na kujikita kuwatumikia watu waliomchagua,

Shibuda amekuwa na mfumo wa kukataa kususia vikao vya bunge kama chadema wanavyotaka na kuendelea kuwatumikia watu waliomchagua,

shibuda pia amekuwa hakubaliani na msimamo wa viongozi wakumtaka ambatane na wenzake kwenye mandamano ya chadema kitu ambacho kinawakela sana viongozi wake,

Baada ya mijadala mirefu ndani ya chadema wengine wakitaka shibuda afukuzwe na wengine wakitaka apuuzwe lakini wapo waliodai pia kuwa shibuda anaonewa kwa sababu ya usukuma wake kama alivyowahi kusema yeye mwenyewe,

Lakini pia wapo waliowaonya chadema kuwa kama shibuda watamgusa anauwezo wa kuiua chadema kanda ya ziwa kwa mikono yake mwenyewe kwa vile yeye ndiye aliipereka kwa mikono yake mwenyewe wakimgusa moto utawaka na kamwe hawataweza kuuzima wao kama chadema ndiyo maana chadema wako kimya kwa shibuda.

Wafitinishi kama wewe hawatauona ufalme wa mbinguni kamwe... Unajaribukuwagawa wa Tanzania kwa sababu ya maslahi yako...
 
Back
Top Bottom