John Shibuda: Mbowe ni dikteta

Hata kama Mbowe ni dikteta kweli, rants kwenye vyombo vya habari hazisaidii kitu, zinaongeza tatiozo tu.

CHADEMA, as they say in the hood, don't never say Kiranga never warned you.
mtu yoyote neutral au mwenye kupenda upinzani wa kweli lazima atakubali kwamba mbowe is the worst christmas presenta ya any opposition in the world

huwezi kuwa na hooligan halafu ukampa power ya kuongoza... and if i amy be as honest as possible, Mbowe is CHADENA's weakest link
 
teh teh nimekumbuka namna shibuda alivyopondwa mawe 95 mkoani kilimanjaro alipotumwa na ccm ajaribu kuwashawishi wananchi wasijiunge na mageuzi , alipanda jukwaani maeneo ya majengo ile kuanza kusema wapinzani wahuni wananchi wakaanza kumrushia mawe aliondolewa kwa msaada wa ffu wa mahita ,teh vp umejiunga kwenye genge la wahuni? futa kauli halafu ndiyo ulalamike tukuonee huruma .
 
mnapoteza muda, mnamjadili Shibuda??? Tena kwa source ya Mtanzania? Thread yenyewe imewekwa na mmoja wa waleta craps jamvini!! Ngoja mi nipunguze usingizi ili nikatazame game ya nanyu na asenali kwa raha zangu

Shibuda ni mbunge wenu chadema, mlimkumbatia na kumsifia hapa jamvini. Sasa naona mnamruka tena, kisa anaonyesha uchafu wa M/kiti wenu ?? Nyie ndio mnataka kuleta mabadiliko kweli ?? lol
 
kwa kweli bwana wa wapuki ameanza zile tabia zake za kule

ila jua ndio unakiua chama hivyo bwa mdogo chama ni wanachama na viongozi


usidhani ubabe ndio unaoongoza chama, kwa hakika nnaamini kama uchaguzi ungefanyika kesho basi chadema mngejua ni kiasi gani watanzania walivyochoka na hayo mnayoyafanya

mtu wa chalinze? pwani. Jinga kweli watangayika wamekichoka ccm na mkwele.
 
teh teh nimekumbuka namna shibuda alivyopondwa mawe 95 mkoani kilimanjaro alipotumwa na ccm ajaribu kuwashawishi wananchi wasijiunge na mageuzi , alipanda jukwaani maeneo ya majengo ile kuanza kusema wapinzani wahuni wananchi wakaanza kumrushia mawe aliondolewa kwa msaada wa ffu wa mahita ,teh vp umejiunga kwenye genge la wahuni? futa kauli halafu ndiyo ulalamike tukuonee huruma .

teh teh sasa ameshakua adui....ndio unakumbuka sasa hivi
 
Shibuda ni mbunge wenu chadema, mlimkumbatia na kumsifia hapa jamvini. Sasa naona mnamruka tena, kisa anaonyesha uchafu wa M/kiti wenu ?? Nyie ndio mnataka kuleta mabadiliko kweli ?? lol

Tofautisha wabunge wa kazi na wabunge wa kuongezea ruzuku
 
Mbowe alishazoea kuongoza vilaza na watu wake wa ndio mseee , sasa wameingia watu makini zaidi.....Mbowe amepwaya.
 
Kwa sasa hivi Wabongo wengi bila viboko mambo hayaendi!! ni usanii mtupu, hawapendi kuambiwa ukweli..
Commander Mbowe, kaza buti, tembeza bakora kwa ndumilakuwili wote..watanyooka na kukuelewa kama nia yao ya kweli ni kuwatumikia wananchi kupitia CDM.
 
hivi huyo pimbi hakulijua hilo kabla ya kuingia CDM?? ushenzi at its best

kwa taarifa yake huo udikteta ndio umeifikisha CDM hapo ilpo sasa na itazidi kushine maradufu chini ya freeman..
 
mtu yoyote neutral au mwenye kupenda upinzani wa kweli lazima atakubali kwamba mbowe is the worst christmas presenta ya any opposition in the world

huwezi kuwa na hooligan halafu ukampa power ya kuongoza... and if i amy be as honest as possible, Mbowe is CHADENA's weakest link

Tatizo sio Mbowe bali ni hao wanaomjua fika lakini bado wanamfuata, kwa mtu kama Shibuda alikuwa na options nyingine kama 17 baada ya kujitoa CCM lakini akaenda CHADEMA huku akijua dhahiri ni chama cha akina Mbowe na wakwe zake.
 
Udikteta muhimu kwenye mambo ya msingi. Ili CDM iendelee inahitaji kiongozi aneweza kuamua na kusimamia kile alichoamua. Kama Shibuda hukuchunguza kabla ya kujiunga CDM,
Unalo hilo. Maamuzi ya kuogopana ndio yanayozamisha Taifa.
Keep it up F.I. Mbowe

teh teh ndio chama cha demokrasia hicho
 
Yes I support Commernder Mbowe in every move he made, bila udikteta chama hakiendi, wacha kukumbuka habari za Mwalimu Nyerere, hapa juzi juzi tu wakati wa Che Nkapa, semeni kama hapakuwa na udiktete na watu wote walifyata mkia wakawa kimyaaaaaa, wamempata Mkwere wao lazerfair basi kila mtu anasema lake. Mimi namsapoti sana Bro. Mbowe, akifanya mchezo chama kinamshinda.
Gazeti la Mtanzania 13 December 2010 limemnukuu Shibuda akilalamika kuwa mbowe ni Dikteta na anawaburuza na anajenga makundi badala ya umoja ndani ya chama

"hali ilikwishachafuka, Mbowe anaendesha vikao kwa ubabe, kuhujumiana, kubomoana na kujenga makundi... ule ulikuwa mkutano wa uchaguzi wa wajumbe watano wa kamati kuu, lakini ukatanguliwa na hicho kikao cha kuvunjiana heshima, ilibidi nitoe jina langu" alisema Shibuda.

Shibuda kama ulikuwa hujui huyo ndio Mbowe.
 
shibuda is just an individual, he is not sufficient to discredit Mbowe, hata kama na yeye ni mbunge wa Chadema but he is not CDM spokesperson; CDM kazi mbele, tusibabaishwe na slanderers, maana kweli inaonekana jinsi CDM ilivyo na nguvu ya upinzani maana mbona hatusikie mengi toka vyama vingine vinavyodai kuwa vya upinzani? Uzi huo huo wanachadema
 
How can a thug have brought a party to such a level of development?
Chadema has experienced such a tremendous growth under Mbowe's leadership,Its crystal clear; How do u measure the performance of a leader? By listening to a few people who maliciously appear to be dissatisfied with his leadershp or by seeing the results of hs presence in the office?
As a leader there times its inevitable to be tough and dictatorial to make things happen!!
If Mbowe is a thug,definetly we need 100 more thugs like him for the Party and the nation to see light of day!!!
 
that is fake story. Msipoteze muda wenu wala shibuda haja ongea hivyo, huo ni mchakato wa mafisadi kukiharibu chama.
 
A leader that creates division within his own party has no future...He knows that he cannot handle it any longer, its time to let Slaa and the likes to take over
 
Back
Top Bottom