African American
Senior Member
- Feb 6, 2012
- 165
- 62
Anawafananisha wanaotangaza nia ya urais sasa na mtu anayeposa mwanamke wakati bado ni mimba.
Source: Mwananchi
Source: Mwananchi
NimeiMiss sana Mipasho ya John Shibuda!
Kuna ubaya gani kuposa mimba mbona wamasai wanaposa mimba?
Huyu Mzee wa ujira najua muda si mrefu naye atatangaza nia yake ya kuomba chama chake ridhaa ili agombee Urais.
Nadhani shibuda ana utani zaidi kuliko maana halisi