john shibuda atachangia bajeti dakika 6 zijazo.

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,483
54,853
Huwa anazua sekeseke kila akichangia. Tusubili tuone ana nini jipya leo. Mia
 
Amemsifia Waziri wa fedha na kaisifia budget kuwa imefuta ushauri wa kamati ya fedha
 
Alikuwa aanze Filikunjombe leo asubuhi. Je ameingia mitini? maana tulingoja tumskie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom