John Pombe Magufuli unatuchefua

Ukiangalia kwa makini watu hawa wanafanana kwa tabia na hulka zao...

1. Lowassa 2. John Pombe na 3.Mrema

Kwenye misifa wanaweza hata kutukana wazazi wao..... Eti Mrema nae ghafla anaona posho hazikutolewa kwa kuangalia hali ya Watanzania walio wengi... wakati alikuwa mtetezi namba moja wa posho za Wabunge... siasa hizi......:A S embarassed:
 
I am sorry to inform you that this is wrong assesment. There is no way you can compare Magufuri na Lowasa. If you have data, go ahead and draw a balance sheet, we can not wait to see/read it. Leave alone Mrema, hana mpya na amejichokea.
 
Nadhani kama ana Busara Bora watu wake wa karibu wamwambie asome hii topic ili aweze Kujirekebisha kwani anabwabwaja hata mambo yasiyomuhusu!! Kuhusu Hasara alizosababisha kwa Taifa ni Nyingi!! Kwanza ni ile ya samaki wa Magufuli!! Samaki Hawa walitunzwa pale Mwenge Kwenye Kiwanda cha Bahari sea foods Kwa Garama ya zaidi ya Bilioni 1.6, Hizi ni hela nyingi ambazo zingeweza kutukwamua kwenye Matatizo tuliyonayo kama Taifa!! Nyingine ni hasara iliyopatikana pale Mwanza baada ya kuvunja petrol station kwa Jazba!! Pale imelipwa fidia ya zaidi ya 3.2 billions!! Zipo hasara Nyingi ambazo hatuzioni Kabisa!! ila kasabisha huyu mweshimiwa!! Tunamuomba awe na ustaarabu zaidi!!

I was not aware of all these figure. Mimi simtetei, lakini nadhani, kama great tinkers, tuwe objective. Good for informing us on his negetive side. However, if you want to be an objective minded great thinker, you can not present one sided data only. Go ahead and give us the data on faida alizoleta kwa Taifa hili. we are waiting to read from you
 
Pamoja na uchapakazi wote Makufuli anaonekana kuwa kipofu! Haoni dhoruba inayoikumba meli aliyomo ambayo imeanza kuzama! Waliojaliwa hekima na busara zaidi yake hutumia hekima na busara hizo kulinda eshima na utu wao katika mazingira yenye utata! Si mara yangu ya kwanza kumsikia huyu jamaa akiropoka na takwimi zake ambazo haziendani na uhalisia wa mambo!
Kama mwandasi namuona Makufuri kama wasanihi wengine walioko ccm! Kwa mfano akisema baada ya uhuru tulikuwa na km kadhaa za lami, na leo hii tuna km kadhaa za lami! Huu ni ulinganifu wa kiuwendawazimu na kwa kuwa hutoa takwimu hizo kisiasa watu humuona kuwa eti ni makini! Kati ya km 91049.13km za barabara tulizonazo ni asilimia 7.2 tu ndo inalami katika miaka hamsini ya uhuru! Huyu ndiye makufuru anayesimamia kauli mbiu za kinafiki za tumethubutu, tumeweza na tunasonga mbele kwa kuwaponda wapinzani? Makufuri I respect your PHD, but in your understanding can a person with sound of mind build 6555.55km of tarmac road in 50yrs still be proud of it? Kwa wahandisi hii ni aibu na si jambo la kuchekelea kwa sababu ukiangalia life span ya barabara ambayo maximu ni miaka 25 then utakuta at 50yrs more than 40% ya barabara ulizozijenga zinatakiwa zifumuliwe na 60% zinahitaji periodic maintenance kubwa zaidi! Think wiser unapoongea na watu, sifa ulizonazo zinaweza kukulevya ukaonekana mbabaishaji kama kawaida ya ccm!
 
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.

Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia kafiri kupitiliza, hadi unampa kero.

Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.

Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.

Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.

Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell

Nimesoma commentary hii ikanikumbusha mbali. Kumbe ni ya magufuri muuza nyumba za serikari?. Hivi anaendeleaje siku hizi? Ni kweli mara ya mwisho nilisikia yuko uvuvi. Niliacha kumufuatilia alivyosema kwenye mkutano wa hadhara kuwa atauza nyumba za serikari tupende tusipende. Kwani aliwahi kusema kuwa naye ni Presidential material ( alishatafunwa na mbu wa Magogoni fever?) Mwenyezi Mungu atuepushe na hilo janga. Kama wako wa kumfunga gavana na yuko hivi. Je wasipokwepo.
 
I was not aware of all these figure. Mimi simtetei, lakini naoenda, kama great tyinkers, tuwe obkjective. Good for informing us on his negetaive side. However, if you want to be an objective minded great thinker, you can not present one sided data only. Go ahead and give us the data on faida alizoleta kwa Taifa hili. we are waiting to read from you

Faida muulize mwajili wake. Nasikia ni mzuri sana wa rap za kusifia maraisi walioko madarakani. Alimsifia sana mzee wa shingo la kiboko kuwa amejenga barabara za rami. Baada ya kuondoka madarakani, akazihamishia kwa mzee wa trip ya ughaibuni. Narudia tena, faiada zake muulize boss wake aliyempa ulaji.
 
Hizi ndiyo siasa za bongo...waziri anazindua bararabara kama vile anazindua Tawi la CCM.
 
Magufuli the Great songa mbele usivisikilize hivi visisimizi! Vimekereka kwa sababu umeviponda endelea kuvipa live, vinataka kusifiwa tu bila kukosolewa. Usirudi nyuma tupo wengi sana tunaokuunga mkono. Vibaraka wa chache tena with no adress ndo vinaleta maneno ya maliwatoni. Wachambishe hao wataisoma namba.

Mie nadhani wewe ndio mwenye maneno ya maliwatoni! Tena maliwato yenyewe chafu!
 
Faida muulize mwajili wake. Nasikia ni mzuri sana wa rap za kusifia maraisi walioko madarakani. Alimsifia sana mzee wa shingo la kiboko kuwa amejenga barabara za rami. Baada ya kuondoka madarakani, akazihamishia kwa mzee wa trip ya ughaibuni. Narudia tena, faiada zake muulize boss wake aliyempa ulaji.

I predicted and did not expect a positive answer. Our education system do not teach us to be objective and positive. Thus, it is very easy a negetive side of an individual (even the layman can easily note it), but if asked the positive side (only the great thinkers are EXPECTED TO SEE)..... but we have failed. This shows our subjectivism and thus, the validity of the claims/accusation are at stake...
 
Huyo jamaa kwanza anahesabu siku tu, ana ngoma na alimuambukiza hadi dent flani pale CBE ambae alizaa nae na kisha mtoto kufariki.Kwa sasa huyo binti yuko Mwanza very much frustrated na huo ugonjwa, halafu yeye kaingia mitini.
 
Achen ujinga vijana kwa wazee.mbona mnang'ang'ania vyama na kusahau chama ni kama kokoro tu.kinaweza beba watu wazur na wabaya pia.ebu waache wao watupiane majungu.shida yetu wafanye kazi.ivi unaweza ukaacha kumpa maguful kaz et kwa sababu kaitukana chadema? U WIL BE MAD AISEE
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.....
 
Achen ujinga vijana kwa wazee.mbona mnang'ang'ania vyama na kusahau chama ni kama kokoro tu.kinaweza beba watu wazur na wabaya pia.ebu waache wao watupiane majungu.shida yetu wafanye kazi.ivi unaweza ukaacha kumpa maguful kaz et kwa sababu kaitukana chadema? U WIL BE MAD AISEE

mwambie magufuli kuwa chama ni kama kokoro, hivyo afanye kazi ya serikali na si ya chama
 
Mkuu umenena. Maghufuli aache kuropoka. Wananchi walio wengi kwa sasa hawaipendi tena CCM kwa sababu ndo imewaletea ugumu wa maisha kwa kukumbatia ufisadi na uzembe
Mwanzoni tulijua kuwa wewe ni mtu makini kume tumekosea. Nadhani hata wanaokutumikisha wanajua kuwa wewe si makini na ndio maana wanakuwekea spidi gavana na kukuambia uache ubabe. Mwanzoni nilidhani wamekuonea kumbe walikuwa sahihi. Upo kama roboti. Nimegundua hili kutokana na matamshi na kauli zako. Barabara zote nchini unazijua wewe. Vifungu vyote vya sheria umevikariri wewe. Hizo sheria ni kwa ajili ya binadamu lakini wao/sisi sio programmed kama wewe.

Juzi hapa mkizindua barabara pale Dodoma, Pinda alikupiga dongo kuwa Rais alikupeleka uvuvi, na kule unajua idadi ya samaki nchini. Rais akaona bora akurudishe ujenzi. Tatizo lako mkuu unamtumikia kafiri kupitiliza, hadi unampa kero.

Wewe ni mchapakazi sawa, lakini yawezekana huna maadili ya kazi. Hakuna mtanzania anayekuwazia urais. Wanakuwazia uwaziri tu kwa kuwa watanzania wanajua unajua kutumika.

Achana kabisa na siasa zako za maji taka. Sio kila unapotoa neno hadharani usifie chama chako na kuponda upinzani. Kwa taarifa yako, unaowahutubia ni wapinzani. Sasa unapoponda viongozi wao na harakati za upinzani, wanakuchukia kweli. Wanakuoanisha na majina yako.

Tatizo lako mkuu unatupa mawe hovyo kiasi cha kuwatwanga na wazazi wako pia. Nakufananisha na Abunuwasi kukata tawi ulilokalia. Hilo tawi ni wananchi. Mpita njia akikuambia kuwa unafanya kosa kwani utaanguka, unamkejeli. Utakapoanguka utamkimbilia aliyekuambia ukweli kumwomba utabiri zaidi, angalia asijekwambia utakufa lini.

Achana na upinzani kwani ni jeshi kubwa kwa sasa. Una kashfa nyingi tu tunazozifahamu na nyingine zitafahamika. Una kashfa ya kuuza nyumba za serikali. Una kashfa za kumpa kimada wako nyumba ya serikali. Una kashfa ya kunyanyasa staff wako kwa kuletewa majungu na wapambe wako. Una kashfa ya ubabe, n.k, n.k. Fanya kazi, kiongozi kwani huijui kesho. Kazi ya kubwabwaja mwachue nape. Kaajiriwa kwa kazi hiyo. We kazi yako miundombinu. Usiwe kama mzazi anayewapa wanae mahitaji kwa masimango. Wenzako umeshwasikia wanabwabwaja hovyo? Time will tell
 
Ndo maana tunataka katiba atakayotaka waziri asile mbunge.
Magufuli ni snitch kama Sitta.
2015 tutaona atakua amefanya nini, aendelee kupiga domo kama nape, wakati flying over imekua story na DART Project inasuasu!!
 
Tatizo la Mafuguri ni kuwa hana kitu anajifunza kuhusu siku za mbele... anafikiri kuwa utukufu alionao leo hii utadumu mmilele! Tena tatizo hajua kuwa wananchi tumekichoka chama chake cha ccm, mawaziri wake na wabunge wake... anaowatukana ni wananchi... hajui kuwa mpinzani wa ccm ni mwananchi mlalahoi anayemtukana leo hii!
 
Magufuli awaambie na wananchi kuwa sera nzuri za ccm zimetufanya kuwa vinara wa kuombaomba Afrika, na wa tatu ulimwenguni kamam si duniani. Kuna wale wanaosema eti tuwe objective katika kumhukumu mtu. Magufuli yuko objective kiasi gani? Angekuwa hivyo wala hii mada isingezaliwa. The guy is pure subjective, and the discussion tries to make him judge objectively.
 
The late Pof Haroub Othman once said: Democracy ni pamoja na kusikia yale usiyoyapenda/kuyakubali.

What do you expect if the thread itself is subjective and do not want oppisite views?
 
Back
Top Bottom