Kazi Ndiyo Kipimo Cha Utu
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 1,211
- 230
Admin,
Tafadhali Unganisha Hii Thread Na Huyo Iliyotajwa Hapo Juu.natanguliza Shukran!
Tafadhali Unganisha Hii Thread Na Huyo Iliyotajwa Hapo Juu.natanguliza Shukran!
kazi ndio kipimo cha utu na wewe pia unawasingiza hawa madiwani kwani una uhakika gani na madai yako ya kusema kwamba wao "inawezekana" wakawa ndio waliomzulia kifo ? kwani wao ndio waliopma sumu huko dodoma ? ukijibu swali hili utajua kwamba hao madiwani walikuwa wanafanya nothing bali kazi yao kama halmashauri, over all magufuli hakuwa cooperative kuhusu hili suala, so no props to magufuli 4 now, kwani hapa amechemsha. ndio maana kuna kitu kinaitwa "chain of management",
Bacj 2 jasusi, hili sio suala la kukurupa kwani lilikuwa limeshapangwa tokea zamani, hivyo makufuli akaweka mafunguo yake akampa jamaa hati na hivyo kusimamisha utaratibu wa manispaa.. good luck ya'll ! am out !!
Hii tabia ya watu kufungua double threads imezidi sana! Kabla mtu hujaanzisha thread kwa nini usisome kama tayari hiyo topic ipo uchangie tu huko?
Mimi simtetei mtu yeYote wala simzushii mtu yeyote bali ninachosema NI kwamba hii Rose Garden kama ni hiyo ninayoifahamu mimi ilikuwepo hata Magufuli haja kuwa waziri wa hiyo wizara au isije ikawa tunazungumzia Rose nyingine na siyo ninayoifahamu mimi? na kama ni hiyo iliyekuwepo kabla ya magufuli kuwa katika hiyo wizara ni nani alitoa kibali ijengwe?Viwanja vingi vinavyotolewa na Halmashauri za miji madiwani wanahusika na mara nyingine wanatoa viwanja sehemu ambazo hazitakiwi kutolewa.Kama ni Hamlmashauri ndiyo walitoa hicho kiwanja walitoaje sehemu ambayo haikutakiwa kujengwa? Kwa hivyo katika kuwajibishwa isiwe magufuli na wao wakawa hodari wakuliongelea hilo bali wawajibishe hata wale ambao walitoa kiwanja sehemu ambayo haikutakiwa kujengwa kwa upande wao yaani halmashauri na hapo ndiyo maamuzi yatakuwa hayana mushikeli.Na huyu magufuli kama naye amepindisha sheria hilo swala lilipofika mezani kwake na yeye abebe msalaba wake kwa kupotosha maamuzi.