Kuruhusu condom for male partners only... :confused2: :noidea:
Kwangu there is an implicit recognition of gay sex, au?
Ndugu yangu kumbuka ile context vizuri tafadhaliIt does not mean that...the way catholic church is, if he allows anything like that, that could be a strong reason to bring down his papacy. Kuna kitu kinaitwa dogma ambacho kinalindwa kwa macho mawili mawili na curlias za Vatican. Papa alionyesha kukubali kwamba in some cases, kulinda partners na (naomba uelewe partners ndani ya kanisa katoliki siyo male na male...ni mwanamke na mwanaume), mwanaume anaweza kutumia condomu kama mke wake au yeye mwenyewe ameathirika.
Kuna dhambi zinasamehewa, ila dhambi ya kuruhusu gays ndani ya kanisa itakuwa ni dhambi ya aina yake.
Pope Francis,amechukua nafasi,MUNGU ni mwema.Kwa mtazamo wangu sidhani kama atapatikana a catholic Pope kama POPE JOHN PAUL 11 katika karne hii. Ilikuwa ni zawadi si tu kwa kanisa katoliki bali kwa ulimwengu mzima. RIP POPE JOHN 11.