John Nolan amefariki

Zanaki

JF-Expert Member
Sep 1, 2006
545
75
John Nolan amefariki jana katika hospitali ya Aag Khan.Wengi watamkumbuka marehemu kwenye ule mradi mkubwa wa prawns,na pia ile kesi ya Valambhia ya kudai serikali billions of shillings kwa ku supply malori ya jeshi zamani
 
RIP the man who said TZ is the only country you walk in poor and walk our rich!
Your Wife Connie will 4 sure miss you.
 
John Nolan amefariki jana katika hospitali ya Aag Khan.Wengi watamkumbuka marehemu kwenye ule mradi mkubwa wa prawns,na pia ile kesi ya Valambhia ya kudai serikali billions of shillings kwa ku supply malori ya jeshi zamani

Duh!. In Tanzania, you can walk in poor and come out rich. Likewise, you can walk in alive and come out dead. He disliked him. Let his soul rest in fire
 
RIP bwana Nolan but if our country had good leadership for what you did to us as a country, you should have ended your life in "Alcatratz" but you bribed them all and sundry!!
 
Ni huzuni ingawa jamaa alikuwa na harufu ya ufisadi. Siju kama serikali ilimlipa pesa zake baada ya kushinda ile kesi yake
 
Whenever possible!

Pesa zote alizo tuibia kaenda nazo ama kuna mtu kamwachia ? Tujifunze kuwa waadilifu na kuishi ya staha kupata thawabu baadaye .Usiwe hai ukachukiwa na hata umekufa watu wanakuchukia no .
Pumzika kwa Amani RIP
 
John Nolan amefariki jana katika hospitali ya Aag Khan.Wengi watamkumbuka marehemu kwenye ule mradi mkubwa wa prawns,na pia ile kesi ya Valambhia ya kudai serikali billions of shillings kwa ku supply malori ya jeshi zamani

Inasemekana huyu jamaa alishindwa kuchukua ile Rufiji Delta kimiujiza tu. Labda Mungu pia hakupenda. VC wakati ule, Dr. Omar na watu wote wa Environment walishaingia EPA. Wakati ikisubiriwa hatua ya kuchukua, jamaa akaoa mke wa Kibongo (Tanga line...?!) huku akiacha Irish women kule kwao. Irish women baada ya kujua, kilichofanyika ni kufunga accounts zake zote, mahakama ikaamua wakagawane robo tatu kwa robo, hesabu ikila kwake.

Downfall ikaanza, meli za trawling zikauzwa, nyumba, ofisi pale kitega uchumi nje, ......, filisika.......madeni lundo then it was over before it started
 
One who disrespects the dead is uncouth.. Mimi nachoweza kusema ni apate anachokistahili.. I will not judge another man for I only wish to be judged by He WHO HAS AUTHORITY..
 
Mwenye picha yake hata kutoka kwenye kipande cha gazeti atuwekee hapa tumwone? Zaidi ya habari zake sijawahi kuona picha yake.
 
One who disrespects the dead is uncouth.. Mimi nachoweza kusema ni apate anachokistahili.. I will not judge another man for I only wish to be judged by He WHO HAS AUTHORITY..

Ni kweli, pamoja na hasira tulizonazo, lakini ni vyema Tumwachie mwenyezi MUNGU ndiye atakaye mhukumu. RIP John Nolan.
 
akaungane na akina savimbi, idd amin na akina augustino pinochett, b ila kumsahau balali

RIP
 
One who disrespects the dead is uncouth.. Mimi nachoweza kusema ni apate anachokistahili.. I will not judge another man for I only wish to be judged by He WHO HAS AUTHORITY..

Unaogopa kufa? Achana na imani. Tunamwongelea mtu aliyekudhalilisha Ulaya kwa lugha chafu. Mwache afe na achomwe moto huko. Hata kama na mimi nitachomwa kama kweli mto upo. One who repects the dead like Nolan is deadly uncouth!
 
Back
Top Bottom