John Mwankenja auawa kwa risasi

Poleni Watanzania wote kwa mtanzania mwenzetu. Poleni familia ya wafiwa.

Chama Cha Mapinduzi kimempoteza mmoja wa wapiganaji wake makini, pole sana Mh. J.K (M/Kiti) na Ndugu W.Mukama (Katibu Mkuu) kwa msiba huu mkuu na wana-CCM wote nchini. Poleni pia wananchi na wakazi wa Rungwe kwa kumpoteza M/Kiti wa Halmashauri yenu...hakika hili ni pigo kubwa kwa Rungwe na Taifa kwa Ujumla.

Mungu, ailaze mahali pema peponi Roho ya John Mwankenja. Amina:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose:
 
Poleni sana wafiwa........Mwenyezi Mungu awape moyo wa subira na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu........
Umalafyale Abhatule......
 
Kama kwali ameuawa kwa sababu za kisiasa basi HALI MBAYA TANGANYIKA.

RIP malafyale Mwankenja
 
Ya Kolimba yalikuwa mauaji? Watendeeni haki waliofariki. Vinginevyo hata akina Chacha Wangwe, Mwalimu, yoote tutaita ni mauaji.
Wewe unaishi tanzania ipi unajua chanzo chake kifo cha Kolimba siyo ajali wala cha kawaida(natural death) yale ni mauaji tena ya mchana kweupe.
 
Ndugu zangu kwa kuingiza siasa katika mambo ya uhalifu hamuisadii jamii yenu kwani kwa kufanya hivyo mnafanya wachunguzi wa tukio waelekeze nguvu zao sehemu nyingine mbali na wale waliohusika na uhalifu; hiyo inaweza kuwa ni njama ya wahalifu to divert attention from the real culprits ili wasikamatwe!
 
Kuna maswali ya msingi kuna nini katika Halmashauri?Isije ikawa kaponzwa na misimamo yake kuhusiana na mambo fulani na mara nyingi ni mijifedha au miradi yenye utata!mimi sisemi konspirasi hapa lakini nataka kusema inakuaje hasa mtu anapigwa risasi nyumbani kwake.ni kuuawa tu sawa.kwanini?nakumbuka muda fulani aliwekewa ulinzi. Naanza hivi hii halmashauri ina kipato gani?inategemea nini.kulikuwa na kitu gan i mezani kwa mheshimiwa huyu?
haya yangu manenolakini
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Mh. Mwankenja ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa leo majira ya Nne na dk 10 nyumbani kwake Kiwira. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa marehemu Mwankenja alipigwa risasi akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kuwasili nyumbani kwake.

Wauaji walitoweka mara baada ya kukamilisha mauaji yao na kabla ya watu kukusanyika. Hadi sasa sababu za mauaji hayo hazijafahamika. Hata hivyo baadhi ya viongozi waliofika nyumbani kwa marehemu usiku huu wanahofu mauaji hayo kuhusiana na masuala ya kisiasa.

8589601.jpg

Marehemu John Mwankenja
 
natabiri kuwa RPc atsema ifuatavyo kuhusu kifo cha marehemu nanukuru" kwa kuwa chadema juzi juzi tu walikuwepo hapa kwenye maandamano yao na moja ya hoja ambazo sugu alitoa ni kuwa viongozi wakija wazomewe na ikiwezekana wapigwe mawe, sasa wananchi wameamua kutumia risasi badala ya mawe" Mungu hawezi kumuhifadhi mahali pema peponi maana alikuwa mwizi, jambazi,mnafiki na fisadi, ushahidi.., kitendo tu cha kuwa mwanachama wa chama cha magamba ni ushahidi tosha
Mungu muadhibu zaidi huyo gamaba amina
adui yako mpende, usilipe kisasi kwa kisasi. Mungu aifariji familia ya marehemu.amen!!!!!!!
 
Kuna maswali ya msingi kuna nini katika Halmashauri?Isije ikawa kaponzwa na misimamo yake kuhusiana na mambo fulani na mara nyingi ni mijifedha au miradi yenye utata!mimi sisemi konspirasi hapa lakini nataka kusema inakuaje hasa mtu anapigwa risasi nyumbani kwake.ni kuuawa tu sawa.kwanini?nakumbuka muda fulani aliwekewa ulinzi. Naanza hivi hii halmashauri ina kipato gani?inategemea nini.kulikuwa na kitu gan i mezani kwa mheshimiwa huyu?
haya yangu manenolakini

Ni kwanini aliwekewa ulinzi wakati huo, Unaweza kutuambia kaka?
nadhani polisi wa anzie hapo!
 
poleni wafiwa na wanarungwe kwa ujumla. mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi amina.

POLENI SANA NDUGUZETU WA RUNGWE!!! Lkn mauaji ya namna hii si ya kufmbia macho!!!! Hali inatukumbusha yaliyotokea kwa Jaji Mwaikasu!!!!

USALAMA WA RAIA NI MAMLAKA YA NANI!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom