TANZIA John Mwankenja auawa kwa risasi

Kuna jambo amelitenda na ndiyo majibu yakarudi kwa hali hiyo. MUNGU AWATIE NGUVU FAMILIA,NDG,JAMAA NA HATA MARAFIKI,Ameeeeen!
 
Poleni familia ya marehemu, lakini hapo kuna jambo la kujifunza kidogo katika hili. Kifo chaake ni lazima kitakuwa kinahusiana na mambo ya siasa.
 
natabiri kuwa RPc atsema ifuatavyo kuhusu kifo cha marehemu nanukuru" kwa kuwa chadema juzi juzi tu walikuwepo hapa kwenye maandamano yao na moja ya hoja ambazo sugu alitoa ni kuwa viongozi wakija wazomewe na ikiwezekana wapigwe mawe, sasa wananchi wameamua kutumia risasi badala ya mawe" Mungu hawezi kumuhifadhi mahali pema peponi maana alikuwa mwizi, jambazi,mnafiki na fisadi, ushahidi.., kitendo tu cha kuwa mwanachama wa chama cha magamba ni ushahidi tosha
Mungu muadhibu zaidi huyo gamaba amina
 
tusihukumu!!
 
Wakati CHADEMA wanabadilisha rangi za bendera yao na kuweka rangi nyekundu ndani ya bendera mpya, watu wengi tulikuwa hatujawaelewa .

Ila hivi sasa kwa yanayo jidhihirisha ni wazi kabisa maana ya rangi hiyo inaonekana wazi. Kwani matukio ya hivi karibuni ya kutaka kumuua Mh. Mbunge wa Tarime kwa kumpiga mawe , na jana kumpiga risasi Mwenyekiti wa halmashauri ya Rungwe, yaonekana kabisa kuna mkono wa CHADEMA na kuna kikosi maalum cha mauaji kimeundwa kwa ajili ya kutekeleza yale yaliyomo kwenye bendera yao ya alama nyekundu ambayo ni mauaji na umwagaji damu
 
ni hatari kutoa maneno kama NA TUTAHAKIKISHA NCHI HAITAWALIKI.... katika ishu kama hizi watau wanaunganisha dots....!
Tuchunge ndimi zetu sana...! sawa na WAZIRI mmoja wa elimu (KAPUYYA?) aliwahi sema mitihani ikivuja anajiuzulu.......ama MAHITTA aliposema KAFU wakivuka faya anajiuzulu..!
wote tulishuhudia sababu lukuki za kujitetea zisizo na mashiko hata chembe
 
Rungwe bado hakuna nguvu ya chama fulani, huko CCM bado imeshika hatamu, kama ni sababu za kisiasa basi ni za ndani ya CCM yenyewe au katika utendaji wa kazi zake.

Kwanza nawapa pole Wana-Rungwe kwa kuondokewa na M/Kiti wenu wa Chama Cha Magamba-CCM.Poleni sana.

Ninachowaomba tu ni kwamba msianze kutafuta mchawi. Maana naona watu wanaanza kuingiza chuki za MAUAJI YA KISIASA! Huu ni upuuzi ambao watu wanataka kuuhusisha na kifo hiki.

Kwa mtazamo wa harakaharaka hapa CCM watataka kuihusisha CHADEMA na mauaji haya maana kwa sasa kila mahali yakitokea mauaji yawe ya polisi kuuwa au mtu kuuwawa na majambazi utasikia CDM wanahusika! Huu ni upumbavu.

Yawezekana kabisa huyu Mwenyekiti kauawa kutokana na uadui binafsi kutoka na aidha dhulumati katika business,kutembea na wake za watu au ndani ya CCM yenyewe kuna mtu anayewania nafasi hiyo! Who knows?
 
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe, Mh. Mwankenja ameuawa kwa kupigwa risasi usiku wa leo majira ya Nne na dk 10 nyumbani kwake Kiwira. Taarifa za awali zinaonyesha kuwa marehemu Mwankenja alipigwa risasi akiwa ndani ya gari lake mara baada ya kuwasili nyumbani kwake.

Wauaji walitoweka mara baada ya kukamilisha mauaji yao na kabla ya watu kukusanyika. Hadi sasa sababu za mauaji hayo hazijafahamika. Hata hivyo baadhi ya viongozi waliofika nyumbani kwa marehemu usiku huu wanahofu mauaji hayo kuhusiana na masuala ya kisiasa.

8589601.jpg

Marehemu John Mwankenja
Mbaya sana,poleni rungwe
 
Mimi naihusisha na wivu wa mapenzi. Kwani wakati tukio linatokea mkewe alikuwa hospitali. Hivyo basi inawezekana alikuwa na kidumu. Maana ukichota maji na ndoo lazima uwe na kidumu. Basi huu ndio uchunguzi wa awali.
 
Poleni familia ya marehemu, lakini hapo kuna jambo la kujifunza kidogo katika hili. Kifo chaake ni lazima kitakuwa kinahusiana na mambo ya siasa.

hapo kwenye red: kwa nini ni lazima? wewe unaishi mbeya? tup dondoo basi ......
 
Wakati CHADEMA wanabadilisha rangi za bendera yao na kuweka rangi nyekundu ndani ya bendera mpya, watu wengi tulikuwa hatujawaelewa .

Ila hivi sasa kwa yanayo jidhihirisha ni wazi kabisa maana ya rangi hiyo inaonekana wazi. Kwani matukio ya hivi karibuni ya kutaka kumuua Mh. Mbunge wa Tarime kwa kumpiga mawe , na jana kumpiga risasi Mwenyekiti wa halmashauri ya Rungwe, yaonekana kabisa kuna mkono wa CHADEMA na kuna kikosi maalum cha mauaji kimeundwa kwa ajili ya kutekeleza yale yaliyomo kwenye bendera yao ya alama nyekundu ambayo ni mauaji na umwagaji damu
Badala ya kuwapa pole wafiwa wewe unaleta siasa zako za kizushi. Hivi waliokula njama za kumuua Mbunge wa Busega ni Chadema? Waliomuua aliyekuwa meya wa Mwanza ni Chadema? Waliomuua Kolimba na Amina Chifupa ni Chadema? Nilishasema na ninarudia tena kuwa mwana CCM ni lazima uwe chizi na akili zako uhamishie tumboni. Vua gamba hilo ebo! Hata kutoa pole tu kwa familia ya marehemu. R.I.P Mwankenja Mungu atawahukumu waliopanga na kutekeleza mauaji yako kwa malipo ni hapa hapa duniani
 
Back
Top Bottom