John Mnyika: Muono wangu juu ya matumizi ya nguvu ktk mgomo UDSM 11.11.11

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,985
20,263
Matumizi ya nguvu katika mgomo Chuo Kikuu DSM jana, 11.11.11

Poleni wanafunzi na jumuiya ya Chuo Kikuu cha DSM (UDSM), ni aibu kwamba mpaka mgomo na mabomu ndio serikali ichukue hatua kwa madai ya mikopo kucheleweshwa na kupewa kwa masharti yenye kuumiza watoto wa watanzania wa kawaida.Kila binadamu anayo haki ya kusoma!Ni moja ya haki ya msingi ktk haki za kibinadamu. Nasikitika siko pamoja nanyi jimboni Ubungo ktk wakati huu mgumu, nitachukua hatua za kibunge huku Dodoma-Bungeni.Kwa Pamoja Tunaweza!
 
Mkuu MNYIKA pamoja na hayo kumbuka kutokubali muswada wa sheria ya kuandikwa katiba mpya usisomwe kwa mara ya pili ukipita huo ni kiama chetu. All the best
 
Tupo pamoja Mh,wao serikari dhaifu CCM wana pesa,mafisadi na polisi wanaoringia,sisi wanyonge tunaodai haki na ukombozi wa Taifa lililopotea na kuharibia na serikali ya mkoloni mweusi CCM,tuna Mungu anayeturinda.PAMOJA TUTASHINDA VITA HI.
 
Hiyo haki ya kila binadamu kusoma umeitafsiri vibaya.
 
Hapana kaka naelewa vizuri I'm a lawyer,Najua basic rights which are enforceable by Constistution are within Article 12 up 29, education rights which are not enforceable by law are within Article 11 of CURT,swala la msingi hapo kama waliwaidi kuwapa mkopo na wanavigezo na walifata taratibu zote basi wanahaki ya kupata simply b'ce hyo tayari implied ni contract
 
Kwani we Jason ndiyo same person mnyika?? Mi nakufahamu kama ww ni CIA
 
Matumizi ya nguvu katika mgomo Chuo Kikuu DSM jana, 11.11.11

Poleni wanafunzi na jumuiya ya Chuo Kikuu cha DSM (UDSM), ni aibu kwamba mpaka mgomo na mabomu ndio serikali ichukue hatua kwa madai ya mikopo kucheleweshwa na kupewa kwa masharti yenye kuumiza watoto wa watanzania wa kawaida.Kila binadamu anayo haki ya kusoma!Ni moja ya haki ya msingi ktk haki za kibinadamu. Nasikitika siko pamoja nanyi jimboni Ubungo ktk wakati huu mgumu, nitachukua hatua za kibunge huku Dodoma-Bungeni.Kwa Pamoja Tunaweza!
Tunaomba utujulishe hali ya Dr Mwakyembe na Prof. Mwandosya tunasubiri kwa hamu sana analysis yako ndugu JB
 
Back
Top Bottom