John Mnyika live ITV kuhusu katiba mpya

Kwa kweli ni shule tosha, sikujua historia hii chafu namna hii kuhusu katiba yetu
 
Jamani ni darasa kubwa sana hadi inasisimua Mnyika na Mkilia wako juu kupindukia
 
Waungwana naombeni mnihabarishe alichoongea maana kipindi sijakitazama.
 
Mkilla: Katiba mpya haiepukiki. Ishirikishe wadau mbalimbali kuijadili.
 
Mnyika: tunahitaji makubaliano ya pamoja kuhusu katiba, Rais aridhie suala la Katiba liingie Bungeni, kila mtu ana uhuru wa kuchangia mabadiliko ya katiba mpya, Tuwe na Sheria mama/mkataba mpya.
 
Jamani Tupeni basi japo idogo tujue amesemaje wadau, Hakika I wish nikamsikiliza but I can't coz nipo far from TV access. Pleaseee wadau .......! Japo kwa muhtasari tu au summary
 
Kama unaweza tazama

kwa kwel jf imekuwa msaada sana kwangu_nipo monduli kijiji cha Naitoliya(purely umasaini_hakuna choo wa tissue) but am reach in information, nilipoona post hii nikawatwangia home bas wakaniunga kama jamaa fulan enz fulan kwny matangazo ya cm alipo safir out halafu akasahau hotuba_big up
 
Back
Top Bottom