John Mnyika juu ya hotuba ya Kikwete

Mnyika usitafute umaarufu kupitia kwa JMK yale maji marefu huyawezi, utazama buree kwa kutafuta sifa.

Huu ndio mtindio wa ubongo uliotufikisha hapa tulipo. Kwamba Rais asipingwe!
Kutoa maoni ni "kutafuta sifa".
Endelea DOGO Tanzania ni yako na siyo ya vilaza kama hawa!
Very sorry !!
 
majimshindo hana point, pointless. Mnyika mmoja sawa na wabunge 80 wa ccm

Asante Malude kumwilimisha huyu majishindo. Mimi naona mnyika ni zaidi ya wabunge 100 wa ccm ambao wanaweza kukaa miaka 5 bila kuchangia kitu chochote. Mmoja wao Rostam, Chenge na Lowasa. Hata wale drs la saba wa cuf kule pembe wanaochangia kidogo afadhali. Mnyika chapa kazi. Achana wambea.
 
Mnyika usitafute umaarufu kupitia kwa JMK yale maji marefu huyawezi, utazama buree kwa kutafuta sifa.




Huyu aliyesema maneno haya kama ni kumchagulia adhabu basi ni KIFO tu ndio adhabu anayostahili.
 
hhaa majimshindo achaa hzoo,uhuo siyokutafuta umaarufu ninjia ya kujadilimambo na kutatua matatizo na kupunguzaa garama za maisha kwa ujumlaa,siyo kutafuta umaarufuu,mnyika kazi yake ni siasa,ana play part yake kama mwanasiasa..mimi kwakweli kunawatu wanaposhika madalaka wanaiba sana mpaka wanajisahauu,wanafikiri wataenda kuishi tanzania ya mbali na syo hapaa.....
 
Back
Top Bottom