The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,108
- 115,847
- Thread starter
- #21
Boss
Hebu tusaidie mpaka sasa amefanya kitu gani outstanding bungeni?
Jimboni kwake jee, kuna mambo gani ya msingi ametekeleza?
mimi nafikiri kiongozi sio lazima 'ufanye'
sometimes 'kutokufanya' jambo fulani linaweza kuonesha wew ni kiongozi...
yupi calm.....
hatokwi na 'mapovu' ovyo ovyo
na anapenda zaidi 'dialogue' kuliko kuamrisha watu waandamane....
kwangu mimi mpaka sasa ameonyesha 'character' ya kiongozi
zaidi kuliko wengine ndani ya CHADEMA na nikiangalia umri wake naona its better....