John Mashaka wa ukweeee

rebeca

Senior Member
Dec 18, 2011
190
27
66182_152485848121919_105143232856181_220639_1457149_n.jpg
66182_152485831455254_105143232856181_220634_5325610_n.jpg
66182_152485841455253_105143232856181_220637_2493722_n.jpg
 
mzalendo haswa...kind hearted,ana mpango wa kuraise funds kujenga water pump musoma,ambapo project itawapunguzia kina mama maelfu kusafiri umbali mrefu kutafuta maji....keep it up JOHN tukiwa na wazalendo kumi kama wewe tutasahau ufisadi nchini kwetu...Mungu akubariki sana.
 
Hajagombea tu something or uteuzi nk?

Ama hajitambulishi kama gamba?
 
  • Thanks
Reactions: bht
Kujitolea ni jambo la kawaida ila wabongo ukiona mtu anafanya eti anataka kupewa ama kugombea kifulani,kha!
 
MPENI UBUNGE:eyebrows:

Dah! Siku hizi Bongo kila Mtu anasaidia kwa malengo?? Eeeh! Kwa hiyo na yeye anasaidia ili apate ubunge? Watanzania hatuhitaji wabunge wanaotoa misaada Bali wabunge wenye uwezo wa kutetea MASLAHI ya wananchi waliowaweka madarakani sio viongozi wanaotafuta cheap popularity
 
ndio shida ya serikali kuwekwa mfukoni na wafanya biashara,wamesababisha uongozi kuwa ni kazi inayolipa kuliko kazi zote unazozijua.
huyu hana lolote kwanza hiyo misaada kwake ni dili na bado anafukuzia ubunge kwani ndo ameona pa kutokea.

watanzania kwa kipindi hiki tuwaogope watu hawa kama ukoma.
 
nyooo,analipwa kuliko huyo mbunge,aje kugombea ubunge ili iweje???ameanza kutoa misaada kwa jamii yake tangu 2005,hamuoni his golden heart mnaona mnaibiwa tu cha kushangaza mmejaza serikali ya wabunge wezi hamsemi lolote,ushaona mbunge gani akitoa misaada kwa watu wake zaidi ya posho zao kuongezeka kila siku,the real wezi mmewakumbatia afu watu genuine mnawapaka,mna ulemavu wa akili au???by the way akitaka kugombea ubunge ni haki yake na yeye ni mtanzania kama wengine,shida yako nini hapo???afu ukute hata hujawahi kutoa hata senti tano kwa maskini kazi ni kujificha behind your computer na kusakizia unazi tu kwa wenzio...hovyoooooooooooooooooo!
 
Dah! Siku hizi Bongo kila Mtu anasaidia kwa malengo?? Eeeh! Kwa hiyo na yeye anasaidia ili apate ubunge? Watanzania hatuhitaji wabunge wanaotoa misaada Bali wabunge wenye uwezo wa kutetea MASLAHI ya wananchi waliowaweka madarakani sio viongozi wanaotafuta cheap popularity

msimpakazie hahitaji ubunge,na akiwa anahitaji sioni shida yenu ni nini na yeye ni mtanzania,bora yeye ata akipewa ubunge ana interest za watu at heart,kuliko wabunge wenu wengi..................wewe unaona mtu anayegawa misaada kwa wasiojiweza atashindwa kutetea maslahi ya wanyonge? mpeni kijana wa watu recognition he deserves!
 
hawa ni watoto yatima?

ndio,huyo bibi wa mwisho hana mume hana watoto ana survive tu hivyo hivyo kwa kudra za mwenyezi mungu.......google john mashaka foundation utaona kazi zake nyingi za john mashaka na pengine unaweza kutoa shavu aka support to him
 
nyooo,analipwa kuliko huyo mbunge,aje kugombea ubunge ili iweje???ameanza kutoa misaada kwa jamii yake tangu 2005,hamuoni his golden heart mnaona mnaibiwa tu cha kushangaza mmejaza serikali ya wabunge wezi hamsemi lolote,ushaona mbunge gani akitoa misaada kwa watu wake zaidi ya posho zao kuongezeka kila siku,the real wezi mmewakumbatia afu watu genuine mnawapaka,mna ulemavu wa akili au???by the way akitaka kugombea ubunge ni haki yake na yeye ni mtanzania kama wengine,shida yako nini hapo???afu ukute hata hujawahi kutoa hata senti tano kwa maskini kazi ni kujificha behind your computer na kusakizia unazi tu kwa wenzio...hovyoooooooooooooooooo!

Kwani kwenye ubunge ni wote wanafata posho?? Wako wengine wanaotafuta umaarufu na upenyo wa kufanya deal zao! Mbona unatoa povu kumtetea angekuwa anatoa tu bila dhamira tofauti si angetoa tu kimya kimya vitabu vya dini vinatuambia ikibidi hata mkono wa kushoto usijue yeye kutoa hivo vijuice ndo mpaka picha zoote hizo ka sio kuna kitu hapo ni nini? Sema tu wananchi ni maskini ingetakiwa wamwambie Kama unatoa utoe sio mpaka picha kibao huku umetoa vijuice tena artificial
 
msimpakazie hahitaji ubunge,na akiwa anahitaji sioni shida yenu ni nini na yeye ni mtanzania,bora yeye ata akipewa ubunge ana interest za watu at heart,kuliko wabunge wenu wengi..................wewe unaona mtu anayegawa misaada kwa wasiojiweza atashindwa kutetea maslahi ya wanyonge? mpeni kijana wa watu recognition he deserves!

Kutaka ubunge sio Kosa tatizo ni mbinu gani unazotumia kupata huo ubunge kutoa misaada na kutetea MASLAHI ni vitu viwili tofauti... Hapo kwenye red kumbe anatoa ili apate recognition? Ni bora asitoe tu maana ukitoa ili upate kitu Fulani duniani hupati thawabu kwa Mungu
 
Kwani kwenye ubunge ni wote wanafata posho?? Wako wengine wanaotafuta umaarufu na upenyo wa kufanya deal zao! Mbona unatoa povu kumtetea angekuwa anatoa tu bila dhamira tofauti si angetoa tu kimya kimya vitabu vya dini vinatuambia ikibidi hata mkono wa kushoto usijue yeye kutoa hivo vijuice ndo mpaka picha zoote hizo ka sio kuna kitu hapo ni nini? Sema tu wananchi ni maskini ingetakiwa wamwambie Kama unatoa utoe sio mpaka picha kibao huku umetoa vijuice tena artificial

you seems to know better than me,kuna wabunge wanaogombea ubunge ili kupata UMAARUFU tu???? mmmmnh...na deal gani hizo ambazo ni tofauti na posho??? would you mind kuzitaja?????,....afu usiingize maswala ya dini humu vitabu vya dini vinakuhusu wewe na familia yako,una uhakikka gani yeye ana dini???........kupiga puicha kwa taarifa yako,ni aina ya kufikisha ujumbe kuna watu tumewasahau,wanahitaji suport yetu.na ulivyo na roho mbaya ummeona vijuice tu,kwanza wewe ushawahi kuvitoa???? FYI tembelea john mashaka foundation uone projects zake nyingi,mwenzio he is doing it for his society,wewe kaa hapo behind your computer na kupiga domo tu......
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom