Steve Dii
JF-Expert Member
- Jun 25, 2007
- 6,402
- 1,254
SteveD,
Ma pundits wa kule kwa Michuzi waki mu-endorse, let's say, Mhe. Waziri Ali Juma Shamhuna au Mhe. Waziri Celina Ompeshi Kombani kugombea Urais wa Jamhuri 2010, watu ambao labda hujui wasifu wao au hata hujawahi kuwasikia, na wewe utadandia hilo bandwagon la wachambuzi wa kwa Michuzi ?
Kama huyu mtu yuko "well connected," according to hao ma pundit wa kwa Michuzi hicho kitu hakiendana na spirit ya JF ya kulaani "vimemo culture," na political patronage na influence peddling na mitandao ya vilaza, na corrupt alliances nyingine zozote. Tuambiwe lingine. Lakini so far, uchambuzi wa credit crisis wa huyu "mbunge mtarajiwa kutoka Wallstreet," hauendani na wasifu wake.
....na ndipo hapo Kuhani ninamwomba Pundit wetu apokee samahani yangu kwa yale niliyoandika na kumkwaza ili atuchambulie tujue punje na mchele kwenye hiyo article ya Mashaka.
Thanx.