John Mashaka Ni Mbunge Mtarajiwa!

Status
Not open for further replies.
Hana mpango,yeye ameona nafasi ya kuja na kuwatumikia Watanzania ni katika Ubunge tu,kwanini asiseme kuwa atakwenda kufanya kazi ktk Halmashauri iliyoko Sumbawanga au Lindi na anakimbilia moja kwa moja kwenye Ubunge.Hii ni tamaa ya juu aliyonayo.
Aje kuwatumikia watanzania ktk nyanja au eneo lolote na huku akijenga jina lakini hauwezi kujenga jina kwa kupitia blog tu.
Watnzania waliowengi hawaangalii na wala hawapitii blog yoyote,hivyo kinachofanyika hapa ni minor thing ingawa bado ni hatua moja mbele.
Uzoefu unaonyesha hawa watu wakublog sio wapiga kura sana,lakini wana Manzese ndio wapiga kura.Hivyo aweke malengo makubwa kwa Wanamanzese.
Anataka Ubunge sawa lakini ameandaa mkakati gani wa kuwasaidia Watanzania kama wanamanzese na ni mafanikio yepi ambayo mpaka sasa ameyapata ktk kuwasaidia Watanzania na si kufikiri kuwa nitawasaidia nikishakuwa mbunge.
Kama anaiga nyayo za Kaburu aliyekwenda Kigoma na Wanachadema walimekwea jeneza na kuanza kumsomea hitma kuwa amefirisika kisiasa.Hii ninamaana hamna chamaana kilichofanywa na Kaburu alikuwa anataka Ubunge na alipokosa akahamia CCM.Ni walewale tu.
Nawasilisha.
 
Tunacho hitaji Tanzania siyo kukaa kila mara tunalalamika. Ukijisikia sheria za nchi ziko wazi tunahitaji vijana wa kujitosa katika chaguzi badala ya kusikia kila siku sijui, waziri ni (Mungai karudi, mara mramba karudi, mara yonah, mara Sarungi mara......nk).

Mimi nafikiri wale vijana wenye nguvu uwanja ni wenu tia timu sasa, tena ni vizuri kutangaza mapema na kuweka kipima joto, ukiona temperature ni nzuri huwezi kubabuka unaingia mzima mzima tatizo kubwa kama hujulikani na ukachelewa kuna uwezekano wa kupoteza.

Na mimi nafikiri inatakiwa kabla ya 2010 angalau nitupe karata/nitangaze nia yangu nione kama kweli nakubalika kwa wananchi wangu au sikubaliki.
 
Mkuu John Mashaka,

Heshima mbele mkuu, tutafutane ili niweze kuona kama kuna msaada wowote ninaoweza kukusaidia ndugu yangu, ni afadhali nikusaidie wewe mkuu kuliko baadhi ya mazezeta niliowahi kuyasaidia yakaishia kuwa waste, sio kwa taifa tu, bali hata kwa familia zao.

Ahsante Mkuu, nitwangie PM.
 
chama cha Mapinduzi.

Huyu kijana si alikuwa Chadema na aligombe Ubunge na Keenja Ubungo na sasa unasema yuko CCM ina maana CCM wamemkwepua KUTOKA Chadema.Kama ndio hivyo CCM kiboko na kweli Wana FITNA makini maana huyu kijana ile ngoma Ubungo alishinda sema Keenja akatumia ukongwe kubadili karata ya mchezo.
Naomba nihakikishiwe hili KAMA J.Mnyika yuko CCM
 
WABUNGE WAZEE HAWANA ISHU
Kimsingi mimi sasa hivi nimeshachoshwa na wabunge vikongwe kwa hiyo kijana yeyote atakayegombeA UBUNGE (HATA URAIS) ninam-support tu. Kuwa kijana tu kwanza kwangu ni sababu tosha. Mshikaji aje agombee tu, tupo nyuma yake. Nawataarifu washikaji wote hapa Sweden ili tuanze kumuuza kijana.
Jamani mimi by 2010 nitakuwa na umri tosha wa kugombea urais.Nakuombeni ushauri,uungwaji mkono na kura zenu.Ahsanteni sana.
 
Huyu kijana si alikuwa Chadema na aligombe Ubunge na Keenja Ubungo na sasa unasema yuko CCM ina maana CCM wamemkwepua KUTOKA Chadema.Kama ndio hivyo CCM kiboko na kweli Wana FITNA makini maana huyu kijana ile ngoma Ubungo alishinda sema Keenja akatumia ukongwe kubadili karata ya mchezo.
Naomba nihakikishiwe hili KAMA J.Mnyika yuko CCM

john mashaka na john mnyika ni watu wawili tofauti
 
hizi Politics!.....ndio maana watu wengine wanaamua kuwa ma Dr tuu!...

Politics = Bolitics
- Drama Kibao.

B.
 
john mashaka na john mnyika ni watu wawili tofauti

Ndio ndugu hilo nalijua Huyu Jonh Mashaka nimesoma habari zake na picha zake na amesema wasi kuwa yeye ndiye A.K.A Mwanakijiji.

Ila mimi swali langu liko PALE PALE linamuhusu Mwanyika Kwa kuwa kuna mtu amesema atagombea kwa tiketi ya (CCM huyu Mwanyika)ndio nauliza si alikuwa chadema ?je sasa yuko CCM?
 
amesema wapi hivyo...
 
Kwahiyo Jambo Forum itatupatia Mbunge 2010? Hongera Mwanakijiji unastahili ubunge kwa una political will.

Zitto Kabwe hakuwa na uzoefu kama wako, cha muhimu uanze kuwahudumia watu wa jimbo unalotaka. Ubungo usinde nenda mikoani.
 
na wewe unachekesha yaani umeamini kuwa mimi ni John Mashaka...? duh!
 
na wewe unachekesha yaani umeamini kuwa mimi ni John Mashaka...? duh!

You know mwanaJJ, I find it hard to believe kwamba wewe ni John Mashaka. I just cannot put my finger down on why you could be him.
first, he is employed by Wachovia, if I am not mistaken and with the little that i know about the corporation and Uncle Sam's 'work policies'. He has little room for all the postings that you have so religiously done over the years. I for one do not see how I could have managed all that this young man has achieved and still be mwanakijiji at the same time. This is the extreme of multi-tasking.

second, I do not want to discriminate your abilities based on age but I find it really hard to see you and Mashaka at the same level in terms of experience and worldly understanding. I see Mashaka as a young fellow who has this wealth of abilities but from what you have done over the years and as I have consistently observed there is no possibility that you could be him. In my opinion, Mashaka is locus-oriented and he went to his home town and did all these humanitarian efforts which I highly applaud him for. While you are more than that you are this information seeking person who goes well beyond a mere locus. You delve into areas beyond one's scope of imagination and you are a scribe. You cannot be one of the same. If indeed you are then I will definitely be flabbergasted at my poor judgment.

Questions to the public.

1. John Mashaka sold his car in 2005. Does anyone have proof that Mwanakijiji sold his car?

2. John Mashaka went to school at UNC. Anyone knows Mwanakijiji's educational background?

3. I think Mwanakijiji lives in Detroit or lets say Michigan (I could tell this from his participation in Dr. Ngonyani's wife's funeral). John Mashaka lives in NC (his job probably). Are you omnipotent mwanakijiji?

4. Can someone prove beyond doubt you are the same person? John Mashaka seems to be hailing from the lake zone region and do not ask me how i can tell, mwanakijiji does not 'sound' to me as a person from the same zone. Please educate me on this matter. I kind of thin he is from the southern highlands.

I remain
Bimkubwa
 
Mkuu John Mashaka,

Heshima mbele mkuu, tutafutane ili niweze kuona kama kuna msaada wowote ninaoweza kukusaidia ndugu yangu, ni afadhali nikusaidie wewe mkuu kuliko baadhi ya mazezeta niliowahi kuyasaidia yakaishia kuwa waste, sio kwa taifa tu, bali hata kwa familia zao.

Ahsante Mkuu, nitwangie PM.

heheeeee, hapa umeniacha hoi mzee !!
 
You know mwanaJJ, I find it hard to believe kwamba wewe ni John Mashaka. I just cannot put my finger down on why you could be him.
first, he is employed by Wachovia, if I am not mistaken and with the little that i know about the corporation and Uncle Sam's 'work policies'. He has little room for all the postings that you have so religiously done over the years. I for one do not see how I could have managed all that this young man has achieved and still be mwanakijiji at the same time. This is the extreme of multi-tasking.

second, I do not want to discriminate your abilities based on age but I find it really hard to see you and Mashaka at the same level in terms of experience and worldly understanding. I see Mashaka as a young fellow who has this wealth of abilities but from what you have done over the years and as I have consistently observed there is no possibility that you could be him. In my opinion, Mashaka is locus-oriented and he went to his home town and did all these humanitarian efforts which I highly applaud him for. While you are more than that you are this information seeking person who goes well beyond a mere locus. You delve into areas beyond one's scope of imagination and you are a scribe. You cannot be one of the same. If indeed you are then I will definitely be flabbergasted at my poor judgment.

Questions to the public.

1. John Mashaka sold his car in 2005. Does anyone have proof that Mwanakijiji sold his car?

2. John Mashaka went to school at UNC. Anyone knows Mwanakijiji's educational background?

3. I think Mwanakijiji lives in Detroit or lets say Michigan (I could tell this from his participation in Dr. Ngonyani's wife's funeral). John Mashaka lives in NC (his job probably). Are you omnipotent mwanakijiji?

4. Can someone prove beyond doubt you are the same person? John Mashaka seems to be hailing from the lake zone region and do not ask me how i can tell, mwanakijiji does not 'sound' to me as a person from the same zone. Please educate me on this matter. I kind of thin he is from the southern highlands.

I remain
Bimkubwa

Hahahahahaaaa...kumbe mko wengi mnaotaka kumjua Mwanakijiji....kwikwikwiiiii.....

Hii mbona sio kazi....kama una mtu unamjua anaishi Michigan...mwulize tu atakuambia.
 
Hahahahahaaaa...kumbe mko wengi mnaotaka kumjua Mwanakijiji....kwikwikwiiiii.....

Hii mbona sio kazi....kama una mtu unamjua anaishi Michigan...mwulize tu atakuambia.

aaaah!!! Nyani bwana na wewe...............the level that I know MwanaJJ for now is enough I do not want to know more than I have to. I was just questioning the rationale for people linking someone in NC to someone in Michigan.............I wonder where they get such imaginations............... If someone could answer those questions they will know the Charlotte guy is not mwanakijiji.

I only know him this much.
 
Bimkubwa... yaani umefanya kile ambacho baadhi ya watu hawataki kufanya.. kutumia "logic".. aidha mimi ni omnipotent, multi-talented, rambo like individual or a mere Mwanakijiji..

Sifa nyingine watu wanataka kunibambikiza tu ili nikitokea waseme "he got a gun"!

thanks for such a wonderful reasoning ambayo kwa miaka kadhaa sasa umenithibitisha you use it so efficiently.

Kinachonichekesha ni watu wasiotaka kujaribu kutumia huo uwezo wa Mwenyezi Mungu aliowapa kuquestion claims.
 
Mwanakijiji kaona maisha magumu Marekani, kakosa shule na pesa anatafuta gea ya kurudi nyumbani kama mwanasiasa.

ile thread ya maisha ya vijana wetu marekani ndio inawafanya watu kama Mwanakijiji kuwa na hasira na JK. wanaona kuwa wakati wanaondoka waliiona TZ kama ni jalala ndoto zao majuu-Marekani wamefika huko wamekwama.

kilichobaki kufungua viredio vya kitandani na kuanza kuandika makala kuilaani serikali yetu.

Mwanakijiji wakati unaondoka ulikuwa huna ari ya siasa wala hobby sasa mambo magumu Marekani unakuja na kuwadanganya Chadema kuwa kuna mengi utawaletea. kwanini usieletee familia yako elimu na fedha kwanza?

Chadema walikuwepo Tz kabla hujaondoka lakini hukufika ofisini kwao wala kuchukua kadi yao, jamaa wamehangaika na chama chao leo unataka kula bila kutoa jasho lako, Kuandika JF sio kigezo sababu huna shughuli maalum na hapa ndio sehemu yako ya kujifariji na misukosuko ya maisha ya ughaibuni. yaani mkuu ulinunua MBUZI kwenye gunia, ulipoona mataa au maghorofa kwenye sinema utajua ukifika tu umeula.

kutokana na makala ya ughaibuni na dreams za vijana wetu vinavyoyeyuka huko Marekani, Mwanakijiji una kila sababu ya kuitukana serikali yenu una mfadhaiko wa maisha.

nani atakupa ubunge kwa kuvaa miwani na suti nyeusi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom