John Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.
Changamoto kwa Mashaka:
Hacha longolongo, bila hawa wazungu usingenunua bidhaa bei rahisi wala usingepanda ndege kuja Tanzania. Wewe nawe njoo tanzania uwekeze badala ya kutumwagia upupu na vitendo sifuri. Nawe ni ***** kwa kuwa kibaraka wa wamarekani

John Mashaka ni fisadi anayetayarishwa na system. Wawekezaji wamesaidia sana hili taifa, yeye ni kibaralaka wa wamarekani kazi ni kuwaponda wachina.
Wawekezaji wa Kichina? .......Fisadi original samahani kama una maslahi kwa Wachina lakini wengi wao ni wamachinga, mafundi mchundo, bomba na magari, hivi vibali vyao vimewaruhusu kufanya hizi kazi?John Mashaka ni fisadi anayetayarishwa na system. Wawekezaji wamesaidia sana hili taifa, yeye ni kibaralaka wa wamarekani kazi ni kuwaponda wachina.
Pumbavu tu huyu mashaka, tatizo ni wivu unamsumbua.
Inaonyesha wewe ni mbumbumbu ktk sekta ya uwekezaji Bongo. John Mashaka amesema kweli labda kama hujuwi nini kinazungumziwa hapa!
John Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.
Changamoto kwa Mashaka:
Hacha longolongo, bila hawa wazungu usingenunua bidhaa bei rahisi wala usingepanda ndege kuja Tanzania. Wewe nawe njoo tanzania uwekeze badala ya kutumwagia upupu na vitendo sifuri. Nawe ni ***** kwa kuwa kibaraka wa wamarekani
hoja zenu zikizimwa mtaita watu mbumbumbu... ustaarabu sifuri
/QUOTE]
John Mashaka ameongelea facts! yaani ulivyotaka kutuaminisha ni kuwa alichosema John Mashaka ni uongo. ebu tumia akili yako kidogo tu ndg yangu, pitia Sera ya uwekezaji tuliyo nayo with comparison to our neighbours like EAC countries and southern african countries, utaelewa Mtz mzalendo huyo alikuwa anasema nini. Nenda tu Kariakoo utakuta Wachina walioingia nchini kwa vibali vya uwekezaji, wanaziba opportunities za ndg zako Watz wewe unashabikia upupu! Mnauza nchi kwa uwekezaji of the lowest class na nchi haifaidiki na lolote zaidi ya kuongeza umasikini kwa Watz, come on guy!
mashaka is rightJohn Mashaka akihojiwa na televisheni ya ITV, asema wazungu wengi wanaokuja kwa vigezo vya uwekezaji wanaweza kuwa hatari kwa usalama wa nchi na uchumi wake, kwani wengi wanakuwa hawaeleweki taalum zao, lakini kwa Tanzania wanapewa vibali vya uwekezaji bila vigezo muhimu kuzingatiwa. Hii ni baada ya yeye kukutana na wa south Africa, wasio na chakula wala hela katikati ya pori huku wakitaka kusafiri ndani ya mbuga ya wanyama ya serengeti.