ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,114
Hii inatokana na ukweli kwamba hadi sasa miundombinu ya usafiri imeboreshwa mara dufu. Ujenzi wa shule za sekondari na vyuo. Hospitali na huduma za afya kwa ujumla zimeboreshwa...in fact ilani ya uchaguzi imetekelezwa kwa asilimia zaidi ya 80. Upinzani una hali mbaya na ngumu.wamebaki na uzushi na ubabaishaji bora wajiunge na ccm
Binadamu haishi kwa kusoma na kusafiri! Wanajitaji kula na kuvaa na nyumba bora. Wapi ajira viwandani,wapi miiko ya viongozi, wapi ukusanyaji Wa kodi nk. Katika haya ccm hawana mawazo mapya na ni vema tujaribu wengine wenye mawazo mapya.