Elections 2010 John Malecela aumbuka...

urasa

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
434
2
alikuwa hapa itigi jimbo la manyoni magharibi mbalo lina ushindani mkubwa sana na ni wazi ccm inapumulia mashine,akiwa anawaomba watu wampe kura mgombea wa ccm bwana lwanja watu wakamwonyesha alama ya v ya chadema na kusema wanampa lupaa wa chadema,mzee kachanganyikiwa na kafunga kampeni kwa unyonge sana,hapa hata alipokuja kikwete walimwonyesha alama hiyo ya chadema.pole kwa mzee wetu kwa yaliyomkuta leo hapa itigi
 
anatafuta nini huyu chigwiyemisi zama zake zilishakwisha, sasa kilichobaki ni kivuli tu. sisi tunataka mabadiliko
 
Nilidhani kishaacha siasa maanake juzi juzi tu aling'oa pump za maji alizokuwa ametoa kama msaada kwa wakazi wa Mtera :smile:
 
Kwanini alifanya hivyo? Kwani ni wananchi waliomkataa au ni wana CCM wa jimbo hilo? Ni mfano mbaya kabisa kwa kiongozi kama yeye.
 
alikuwa hapa itigi jimbo la manyoni magharibi mbalo lina ushindani mkubwa sana na ni wazi ccm inapumulia mashine,akiwa anawaomba watu wampe kura mgombea wa ccm bwana lwanja watu wakamwonyesha alama ya v ya chadema na kusema wanampa lupaa wa chadema,mzee kachanganyikiwa na kafunga kampeni kwa unyonge sana,hapa hata alipokuja kikwete walimwonyesha alama hiyo ya chadema.pole kwa mzee wetu kwa yaliyomkuta leo hapa itigi
hivi tunaposema watu wakaonyesha vidole au alama ya V ni wangapi? wote au? kama ni wawili tu je wanaleta ushindi??
 
TAZAMENI MAGAZETI YA KESHO NDIPO MTAJUA CCM INAVUNJA SHERiA BIG TIME. WATAKAMPEIN NJE YA MUDA WA KAMPENI BAADA YA MUDA KUFUNGWA.
aNGALIENI MAGAZETI YA KESHO
 
hivi tunaposema watu wakaonyesha vidole au alama ya V ni wangapi? wote au? kama ni wawili tu je wanaleta ushindi??
acid wewe unazijua siasa za manyoni magharibi?jaribu kuulizia kwa watu watkwambia,nipo hapa nina mwezi wa pili huu,hata leo imebidi mgombea wa manyoni mashariki bwana chiligati aje huku kuokoa jahazi
 
Huyu babu mawazo yanamtinga kwa kweli wanamwonea kumtumia kwene kampeni. Anawaza jinsi Mke wake atakuwa anajimwaga Mjengoni wakati yeye analewa na kujikojolea mchana. Na hivi Mke mdogo bado.....
 
alikuwa hapa itigi jimbo la manyoni magharibi mbalo lina ushindani mkubwa sana na ni wazi ccm inapumulia mashine,akiwa anawaomba watu wampe kura mgombea wa ccm bwana lwanja watu wakamwonyesha alama ya v ya chadema na kusema wanampa lupaa wa chadema,mzee kachanganyikiwa na kafunga kampeni kwa unyonge sana,hapa hata alipokuja kikwete walimwonyesha alama hiyo ya chadema.pole kwa mzee wetu kwa yaliyomkuta leo hapa itigi

wapumzike kidogo (5 yrs is not a lot) wajipange upya. Watakuwa wamejijengea heshima. Wasithubutu kuchakachua
 
Huyu babu mawazo yanamtinga kwa kweli wanamwonea kumtumia kwene kampeni. Anawaza jinsi Mke wake atakuwa anajimwaga Mjengoni wakati yeye analewa na kujikojolea mchana. Na hivi Mke mdogo bado.....

Gurudumu, you have made me laf. Good night Kesho niko kituoni at 06.30 hrs nisije nikaambiwa karatasi zimeisha!
 
Nilidhani kishaacha siasa maanake juzi juzi tu aling'oa pump za maji alizokuwa ametoa kama msaada kwa wakazi wa Mtera :smile:

Ni kawaida ya CCM. Kama hamuanini, subili JK atangazwe kuwa ameshindwa vibaya. Hizo T-shet, Kanga, kofia na pombe za CCM, atazikusanya nchi nzima. Hapo ndipo mtajua kuwa kjwa CCM hakuna kitu cha bure. kaeni chonjo
 
Back
Top Bottom