Duble Chris
JF-Expert Member
- May 28, 2011
- 3,481
- 564
sawa yeye ni wa 6 baada yakiprotokali, Pinda yuko chini ya Sharif Hamad!
- JK
- BILAL
- SHEIN
- HAMAD
- SIEF
- PINDA
sawa yeye ni wa 6 baada yakiprotokali, Pinda yuko chini ya Sharif Hamad!
YayaMkuu, samahani kwa kukuambia kwamba hapo umechemsha. Viongozi wakuu wa nchi ki-protokali ni Rais wa JMTZ, Makamu wa Rais, na baada ya hapo anafuata Waziri Mkuu. Zile za kuwaingiza Rais wa Zanzibar na makamu wake ni fake protocol yenye lengo la kutowaudhi wazenji. Ndiyo maana hata ktk baraza la mawaziri Rais wa Zanzibar ni mjumbe (waziri asiye na wizara maalum). Makamu wote wawili wa Mhe. Rais wa Zanzibar au Waziri kiongozi wote hao hawamo katika baraza la mawaziri, ambalo ndicho kikao kikuu kuliko vyote cha kumshauri Mhe. Rais juu ya mambo yote yanayohusu utekelezaji wa madaraka yake kwa mujibu wa Katiba (ang. ibara ya 54 ya Katiba ya JMTZ).
Mkuu CrucifixMzee Malecela kipindi akiwa waziri mkuu na makamu wa kwanza wa rais alithubutu kutuletea serikali ta Tanganyika akishirikiana na wabunge 55 miongoni mwao Njelu Kasaka na Philip Marmo. Isingekuwa kuingiliwa kati na Mwalimu Nyerere, Malecela angeweza!
utu nMkuu Crucifix
Hapa unasema alithubutu lakini hakuweza?
Mbona utata mwingi? Umeandika Malecela alithubutu kutuletea Serikali ya Tanganyika.
Alichothubutu ni kuleta mjadala wa kuifufua serikali ya Tanganyika na sio alithubutu kutuletea serikali ya Tanganyika.
Malecela alithubutu kutuletea mjadala na azimio la bunge la kuifufua serikali ya Tanganyika. Si zaidi ya hapo.
The way nilivyo na negative attitude na CCM naona kila mwanaccm ni feki tu!
hivi muungano ndio chanzo cha matatizo yetu hili taifa na kwamba ukivunjwa ndio itakuwa solution au kuna something i am missing? - william
Hivi Muungano ndio chanzo cha matatizo yetu hili taifa na kwamba ukivunjwa ndio itakuwa solution au kuna something I am missing? - William
Muungano ni one ishu ninakubaliana na Mwalimu, kwamba ulindwe kwa nguvu zote usivunjwe bila sababu zenye manufaa kwa taifa. Otherwise wasioutaka watoe hoja nzito ambazo so far sijaziona, kwenye hoja ya Tanganyika sijaelewa mantiki behind it. - William