Anko Sam
JF-Expert Member
- Jun 30, 2010
- 3,200
- 820
Nakubaliana na wanao support uamuzi wa Magufuli, siyo lazima master plan iwe kama msahafu wa maendeleo ya mji. Kama teknolojia ya miundombinu imebadirika na inabidi kuvunja jengo fulani, hakuna haja ya kuleta siasa kwa hilo. Ni kubomoa na kupitisha mradi husika ili jamii kubwa inufaike.
Hilo jengo la Tanesco linaweza likajengwa sehemu nyingine kwa mtindo wa kisasa zaidi kuliko lilivyo sasa. Kama mtu binafsi anaweza kujenga jengo kubwa na zuri kuliko hilo, serikali ishindwe? Serikali ikichukua vijisenti vya Chenge na Miraji JK, zinaweza kujenga majengo kama hayo kila Wilaya zote za Dar. Hapo hujaweka za RA, EL na Mkono wanaweza wakajenga kama hayo kila wilaya nchini.
Pombe chapa kazi usiangalie mtu usoni. Watalia leo kesho watacheka.