John Magufuli, kutaka kuwe na Wizara ya Miundombinu ni matumizi mabaya ya rasimali fedha

Msikurupuke, Uione Wizara ya Miundo Mbinu ya Jiji la Nairobi, Ministry of Nairobi Metropolian Development, Nairobi Metro, mawaziri wake hawa Ministry of Nairobi Metropolitan Development.

Jiji la Dar es Salaam linahitaji mpango mahsusi kabisa wa kukabiliana na upungufu wa miundombinu ukilinganisha na mahitaji yake, Wizara ya Ujenzi na ile ya Uchukuzi kama zilivyo sasa zina mambo mengi sana ya kufanya nchi nzima hivyo haitaweza kuconcetrate katika kutatua tatizo la eneo moja tu, Dar es Salaam, ambalo ni tatizo la kimsingi na linaathiri shughuli nyingi za kiuchumi ambazo indirect zinaathiri nchi nzima kiuchumi.

Kwa kutambua kuwa Dar es Salaam ina matatizo maalumu, yanayohitaji solution maalumu ambazo hazitaweza kupatikana kwa mfumo uliopo sasa, one more time Magufuli anadhibitisha kuwa ni kiongozi makini, mwenye vision na asiyependa blah blah, namuunga mkono sana Dr.Magufuli kwa kuliona hilo..

Jamani Watanzania Tuache Ushabiki wa Kisiasa...na tusiongee vitu bila logic,kufikiria au kutofanya utafiti

Wenzetu Kenya...,wana wizara maalumu ya jiji la Nairobi ambako wameweza kushughulikia mambo mbalimbali na kutatua kero zinalozisakama jiji la Nairobi kama barabara,maji,usalama na vilevile wameweza kuwa na mipango mirefu na endelevu ya jiji la nairobi

Mfano mzuri pia Tanzania tuna kanda maalumu ya ulinzi wa jiji la Dar es salaam,tuna pia ulinzi maalumu katika wilaya ya tarime ambapo kuna matukio mengi

Jamani Dk.John Magufuli sio mjinga eti kaamka leo asubuhi ndio kasema...,hilo suala kalifanyia utafiti,kaona mazuri yake na tathmini zake..kama mnavyomjua yeye ni mtu wa kufuata utaratibu wenye kuelewa wanamwelewa ila wenye ulemavu wa fikra mnaleta siasa..huyu ndio raisi tunayemtaka msimamo kama paul kagame siyo kwenda kuhonga makanisani na kutumia vijana kumsafisha kwenye JF..

Moto wa Dk.John Magufuli Lowasa hatii mguu...,bila yeye leo CCM wangelikosa jimbo la Igunga..,bila yeye leo Uvuvi haramu bado ungekuwa tatizo kanda la Ziwa,Tukumbuke 2005 alifanya nini kwenye sekta ya barabara...Watanzania jamani tusimkosee heshima huyu jamaa

Hana tuhuma yeyote ya wizi,ufisadi..,hana kampuni yeyota ya biashara amekuwa mwadilifu,mchapakazi,na anafuata sheria invyosema ndio maana suala la bomoa bomoa lilimletea matatizo kdg..JOHN POMBE MAGUFULI wil be the next President of Tanzania kama CCM hamtaki CHADEMA tunamtaka

Aachani Kumchafua mzee wa watu! John Magufuli fanya kazi...,achana na hao wanaonza kufanya kampeni za uraisi mapema paka wanakigawa chama na watanzania! BECAUSE GOD LOVES TANZANIA AND MAGUFULI WIL BE THE NEXT PRESIDENT..GOD CAN'T GIVE US A THIEVE TO BE OUR PRESIDENT

Wewe wasema, lakini pamoja na mipango na ushirikiano wa taasisi za serikali nchini, lakini kwa uwezo wetu wa kiuchumi, Dar es Salaam inahitaji sasa priority maalum ili kuweza kumaliza matatizo ya miundombinu iliyonayo, with time mtatambua jinsi hii point ya Magufuli ilivyo na akili..

Viva JF !!!

unajua watanzania wengi tunajifanya wajuaji sana.......kwa sababu hatupendi kujua wala kutaka kuelewa wengine huwa wanawaza nini wanapotoa maoni yao.., katika hili Magufuli yuko sayari nyingine kabisa na wengi waliotoa maoni humu.....sasa ole wake katika waliotoa maoni humu akawa kiongozi!!!!!!! tuna bogus leaders aina ya watu waliotoa maoni hapo awali kupinga wazo la magufuli!!

DSM imekosewa sana, katika kugawa zile fedha za bajeti unaona asilimia 70 ya bajeti ya wizara inatakiwa DSM!!

Magufuli is right 100%
 
hii ni sawa na kusema ule mpango wa kujenga barabara za juu kwa ajili ya mabasi yaendayo kasi na kupunguza foleni ambao ulitakiwa uanze kufanya kazi mwanzoni mwa mwaka 2012 umefeli!!

Ikiwa kila kitu mnashindwa, kuna sababu gani ya kubaki huko madarakani na kuendelea kula kodi zetu kupita mishahara minono na posho?

mheshimiwa magufuri anatafuta sifa kwa rais jakaya kikwete huyu si mtendaji ni mtu wa masifa tu. Mheshimiwa rais kuwa makini na mtu huyu hakufai kabisa.
 
Viva JF !!!

unajua watanzania wengi tunajifanya wajuaji sana.......kwa sababu hatupendi kujua wala kutaka kuelewa wengine huwa wanawaza nini wanapotoa maoni yao.., katika hili Magufuli yuko sayari nyingine kabisa na wengi waliotoa maoni humu.....sasa ole wake katika waliotoa maoni humu akawa kiongozi!!!!!!! tuna bogus leaders aina ya watu waliotoa maoni hapo awali kupinga wazo la magufuli!!

DSM imekosewa sana, katika kugawa zile fedha za bajeti unaona asilimia 70 ya bajeti ya wizara inatakiwa DSM!!

Magufuli is right 100%
naomba nifafanulie kidogo, maana kama kuna kakitu katamu hapo na kanahitaji insight

NIlipata bahati ya kukaa na wahindi wakawa wananieleza umuhimu wa mamlaka ya delhi kuliko wizara ya delhi

naomba nisaidie kamanda
 
Magufuli is another political failure here in Tanzania. He is more of a parrot.
 
Wanabodi,
leo moja ya habar nyeti ni juu ya ombi au pendekezo la waziri magufuli kutaka kuwe na Wizara ya Miundombinu kwa jiji hili la dar,
Dr Magufuli kwa mtazamo wake anahis wizara hiyo ikiundwa baasi ms0ngamano wa Magari au 'traffic jam' itatoweka hapa mjini,
kwangu naziona hizi kama ni fiksi kwakweli,MAGUFULI JAM haita0ndoka kwa kuunda wizara mpya,hvi hu0n kuwa utatupa mzgo wa kulipia kodi hiyo wizara?
Tafuta mbinu nyingine ya kuondoa foleni,siyo hii

Ni katika jitihada zake za kujiweka sawa kwa ajili ya 2015, lakini huyu ni mwingine ambaye hafai kabisa kuingia Ikulu.
 
wazo la magufuli ni sahihi japo amekosea kuita wizara nadhani angeweza kushauri kuundwa kwa mamlaka ya usimamizi wa barabara za jiji la dar es salaam na mamlaka hii ikapewa nguvu na bajeti za kukabiliana na tatizo katika barabara zetu.
 
Mgema akisifiwa, tembo hulitia maji. Huyu jamaa ameanza kuchanganyikiwa. Hopeless.
 
Me nikajiuliza
je kuna wazir wa miund0mbinu London au Nairobi au Lagos?
Ina maana tuendako kutakuwa na wizara ya afya Dar maana hocpitali zimeelemewa,wizara ya ulinzi wa raia,maana kuna uhalifu,wizara ya ombaomba,

Kenya wako na hii kitu.
Ipo Wizara ya Ustawi wa Jiji la Nairobi, na waziri wake anaitwa Njeru Githai... Ila foleni iko palepale, tena kubwa kuliko ya kwetu!
 
ok sasa tuseme tukubali kuwa na wizara ya daresalaaam

mimi nauliza hili
kuna faida gani ya kuwa na wakurugenzi wa manispaa watatu?
mameya wa manispaa watatu na manaibu wao?
meya wa jiji na naibu wake?
wakuu wa wilaya na mkoa?
ma rpc kila wilaya?
makatibu tawala na takataka zingine????????????
 
******* huyu hamumjui mnamjazia thread Bure ngoja tukaangalie za wakubwa
Tatizo alifanyiwa jando mara mbili na wazazi wake kijijini likakaataa kutoka lile gamba wakaja kumrectify Dar
 
Wanabodi,
Tafuta mbinu nyingine ya kuondoa foleni,siyo hii

hiyo wizara si bado itabaki kuwa tegemezi wa Wizara ya Fedha

watalaam ni hawa hawa lazy Tanzanian, what about gharama za uendeshaji

wizara hiyo bado itasubiri mamlaka za kisekta na Halmashauri ya jiji na za Manispaa zitekeleze wao ni usimamizi pekee

uwepo wa wizara ya namna hiyo Uganda,Kenya,China n.k haimaniishi kuna uhitaji hapa

uhitaji wa fly overs katika makutano na barabara za mchepuko(kama mabibo,msewe,vingunguti-segerea-kimara) haihitaji taasisi mpya kwa ajili ya utatuzi
 
Wanabodi,
leo moja ya habar nyeti ni juu ya ombi au pendekezo la waziri magufuli kutaka kuwe na Wizara ya Miundombinu kwa jiji hili la dar,
Dr Magufuli kwa mtazamo wake anahis wizara hiyo ikiundwa baasi ms0ngamano wa Magari au 'traffic jam' itatoweka hapa mjini,
kwangu naziona hizi kama ni fiksi kwakweli,MAGUFULI JAM haita0ndoka kwa kuunda wizara mpya,hvi hu0n kuwa utatupa mzgo wa kulipia kodi hiyo wizara?
Tafuta mbinu nyingine ya kuondoa foleni,siyo hii

Pombe Hafai Kuwa Hata Katibu Kata Kwani ni Muhasherati Kupindukia.
 
Hii kali, kutakuwa na wizara na waziri wake atasimamia na kuratibu shughuli jijini Dar es Salaam

London,New York,Tokyo na Johanesberg zitaitaji serikali zenye rais mwenye mamlaka kamili
daah..!nimecheka sana hii ya magufuli.hivi kuna jiji lilimaliza msongamano kwa kuundiwa wizara yake jamani?
 
daah..!nimecheka sana hii ya magufuli.hivi kuna jiji lilimaliza msongamano kwa kuundiwa wizara yake jamani?

Hv "Low ass a" hajasema kuhusu kuanzisha wizara ya Dar kipindi hk cha kampeni. Au alivyosemaga JPM alibughi sasa hv mamvi ndo kapatia? Au ndio mahaba niue?????
 
Mgema akisifiwa, tembo hulitia maji. Huyu jamaa ameanza kuchanganyikiwa. Hopeless.

Kama ujui hili anamkopi na kupesti Lowasa .Lowasa alitoa hii mpango mwanzoni mwanzoni kabisa..vivaa Lowasa kuonyesha njia
 
Back
Top Bottom