John Kitime na blog zake

Mar 29, 2011
55
18
Kati ya wanamuziki ambao wananishangaza ni John Kitime, ameweza kuwa na blog za muziki ambazo zina taarifa nyingi ambazo zingekuwa mali sana kama wanamuziki wenzie wangweza kuzisoma lakini naona hazijapata promotion zinazofaa. Kuna hii blog www.wanamuzikiwatanzania.blogspot.com ina picha za kihistoria za muziki wa Tanzania, ni darasa kubwa sana kwa wanamuziki na wadau wa muziki wa Tanzania. www.musicintanzania.blogspot.com ina picha za bendi mbalimbali zikiwa kazini, nyingi za hizi bendi huwa hazionekani kabisa katika vyombo vya habari vya kawaida, ya kawaida. Kuna hii ya www.johnkitime.blogspot.com ambayo inaongelea haki za wasanii nayo pia ni darasa kubwa kwa wenye kutaka kujua haki zao.

Kaka wanamuziki wa kitanzania wana huo muda wa kuperuzi ktk blogs mbalimbali,wao mabifu yasiyokuwa na maana,hawapo kupata habari mpya na hawapo ili wajifunze

:a s 465:it's my pleasure to congraturate john kitime for creating blogs for tanzanian musicians. It creates awareness to our rights and it's an exposure slot , as a gateway for tz musicians to the world. (may god bless you kitime) abenovilla@gmail.com

He is a legend!!
kwani ukisema yeye ni mkongwe hatuta kuelawa au...ha ha ha napita 2 mkuu ucje ukaanza yale mambo yako ya cku ile ktk ile thread.by the way 4 sure he is a legend,and its ok 4 a legend like him to go multmedia via blogs.bravo kitime

Dah, Jamaa Kwa Ukweli sio mchoyo kuelezea michango ya wanamuziki wenzake haswa wale waliotamba ktk miaka ya huko nyuma. Pia anapatikana ktk web ya wahapahapa na kweli analeta historia nzuri sana kwa mashujaa wa Muziki wetu wa Tanzania.

Wanamuziki wa ukweri wa bongo..Mzee Kitime namkubari sana..pia dada Carola Kinasha..wahapahapa band..cha ajabu wabongo hawawapi heshima wanayostahili.

good work
He just need some promotion
Labda tumshauri kwenye hili

Mzee Kitime katafuta sana promo ila amekosa. Moja kati ya vitu anavyofanya ni kutoa elimu juu ya haki za wasanii.

Hilo ni 'kosa'. Wahujumu muziki wa hapa bongo hawako tayari kuona wasanii 'wakifunuliwa' na wamekuwa wakishirikiana na maafisa masoko wa kampuni mbalimbali hapa mjini kuhakikisha wanamzibia mianya ya promo.

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom