John Heche afichua mbinu chafu zinazoelekezwa kwa Chadema

Advicer

JF-Expert Member
Nov 21, 2010
533
272
Mpango wa kusitisha M4C, baada ya ccm kugundua kwamba mbinu zote za kusitisha M4C kwa kutumia polisi na dola zimegundulika baada ya kujaribu kutumia vifo vya Morogoro na Iringa kushindikana sasa wameamua kuwatumia CUF, mpango unaonyesha kwamba CUF watakwenda kwenye maeneo ambayo chadema ina nguvu kubwa sana kama Arusha,Mbeya,mw anza, Manyara,Kiliman jaro,morogoro, Shinyanga,Mara na maeneo menginek
ama hayo watafanya mikutano ambayo itakua na lugha za matusi na kejeli na kuikashfu Chadema na viongozi wake ili wapenzi na wanachama wa chadema wawafanyie fujo hao wanaotukana au watumie watu watakaovalishwa nguo za chadema kuanzisha fujo kwenye mikutano ya CUF ili ionekane kwamba CUF wanafanyiwa fujo baada ya kuoneka hivyo Cuf watawataka wanachama wao pia kuifanyia chadema fujo na hivyo serikali itaingilia kati kufuta operesheni M4Cna kile kilichoanzishwa na CUF kwa jina la V4C na malengo ya ccm kutuzuia kwenda vijijini kuwaamshaWatanzania yatatimia kwa kutumia justification kwamba mikutano hiyo inafujo kwahiyo imefutwa au kusitishwa na hapo CUF watakubali kwa haraka maana ni mpango wa pamoja, nachukua fursa hii kuwaomba vijana wa Chadema popote walipo wasifanye fujo au hata kutukana mtu hata wakifanyiwa fujo wasijibu maana tutawapa fursa wabaya wetu kutumaliza, tunaikaribisha sana CUF popote ili wajipime na kuona je ni washindani wetu kweli? sisi hatushindani na CUF wala chama kingine chochote cha upinzani bali adui yetu ni ccm, ninawaomba viongozi wa vyama vya upinzani hasa Cuf kuacha kutumiwa na dola kufifisha harakati za watanzania kuleta mabadiliko ya kweli katika nchi hii kwa kutumia chama chao cha demokrasia na maendeleo chadema. MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA, HAKUNA KULALA MPAKA KILEWEKE.
 
Maneno mazuri kwani watanzania wa leo si wa kipindi kilee! Anben wanajua kutofautisha dhahabu na kichupa!
 
Mkuu John Heche awe makini ktk hili tamko maana tusije tukasikia tena yule dada makamu wake naye katoa tamko la kukanusha tamko hili la Heche kama kipindi kile kwa Shibuda.

All in all asante Heche kwa kutufumbua macho.
 
Mpango wa kusitisha M4C, baada ya ccm kugundua kwamba mbinu zote za kusitisha M4C kwa kutumia polisi na dola zimegundulika baada ya kujaribu kutumia vif
o vya Morogoro na Iringa kushindikana sasa wameamua kuwatumia CUF, mpango unaonyesha kwamba CUF watakwenda kwenye maeneo ambayo ina nguvu kubwa sana kama Arusha,Mbeya,mw anza, Manyara,Kiliman jaro,morogoro, Shinyanga,Mara na maeneo menginek
ama hayo watafanya mikutano ambayo itakua na lugha za matusi na kejeli na kuikashfu Chadema na viongozi wake ili wapenzi na wanachama wa chadema wawafanyie fujo hao wanaotukana au watumie watu watakaovalishwa nguo za chadema kuanzisha fujo kwenye mikutano ya CUF ili ionekane kwamba CUF wanafanyiwa fujo baada ya kuoneka hivyo Cuf watawataka wanachama wao pia kuifanyia chadema fujo na hivyo serikali itaingilia kati kufuta operesheni M4Cna kile kilichoanzishwa na CUF kwa jina la V4C na malengo ya ccm kutuzuia kwenda vijijini kuwaamshaWatanzania yatatimia kwa kutumia justification kwamba mikutano hiyo inafujo kwahiyo imefutwa au kusitishwa na hapo CUF watakubali kwa haraka maana ni mpango wa pamoja, nachukua fursa hii kuwaomba vijana wa Chadema popote walipo wasifanye fujo au hata kutukana mtu hata wakifanyiwa fujo wasijibu maana tutawapa fursa wabaya wetu kutumaliza, tunaikaribisha sana CUF popote ili wajipime na kuona je ni washindani wetu kweli? sisi hatushindani na CUF wala chama kingine chochote cha upinzani bali adui yetu ni ccm, ninawaomba viongozi wa vyama vya upinzani hasa Cuf kuacha kutumiwa na dola kufifisha harakati za watanzania kuleta mabadiliko ya kweli katika nchi hii kwa kutumia chama chao cha demokrasia na maendeleo chadema. MUNGU IBARIKI CHADEMA, MUNGU IBARIKI TANZANIA, HAKUNA KULALA MPAKA KILEWEKE.

Mwisho wa ubaya aibu ngoja tuone
 
Hakika hili lipo wazi,kafu wanajitahidi kuilinda ndoa yao isijeteteraka...tumekupata kamanda heche.
 
Siasa haina cha uadui, leo CUF na CCM wamepatana Zenj na Mwanza, juzi CDM na CUF Igunga kesho itakuwa Mwanza au Wenje kwenda TLP lakini kuwa na uadui wa kufa mtu si busara na hata kutendo cha jana msimamizi kutolewa maneno machafu hadi FFU kumtuliza na kumkagua Mbunge huyu km ana bastola (Star tv saa 2.00 usiku 28/sept) kimethibitisha Siasa ni zaidi ya maisha ya wengine ambao ngumi au kifo kwao sawa tu
 
Adui yako mwombee njaa. Mipango ya hila huwa haina baraka kutoka kwa Mwenyezi Mungu.
 
Hivi ni kweli akili za Wana-CDM wote ziko hivi au muna 'act' tuuu uchizi?
 
Kwani hujui sababu ya utitiri wa vyama vya siasa nchini? Zaidi ya asilimia 70 viko kwa ajili ya kazi maalum ya CCM. Ukiondoa CHADEMA, DP (Mtikila),NCCR na TLP kidogo chunguza hivyo vingine. In fact hata havijijui kama vipo!
 
Wana mbinu nyingine ya kumtumia ZITTO KABWE ya kumtaka azungumzie mambo ya kugombea urais na kuwafanya watu wasahau ishu za maana.
 
this make some sense!!
Haiingii akili kuona CUF inaishambulia chadema ilhali chadema si chama tawala!!
 
Umesema Ukweli MTUPU kwa hali ilivyo sasa CDM haizuiliki kirahisi lbda kwa mbinu za KIMAFIA kama hizo za hila. Mungu ni MWEMA sana anajua hata Tunayowaza atawafunua tu na hila zao.
 
Safii safi sanaa kamanda Heche.

Dawa ni kuwaumbua CCM na vibaraka wao hadharani tu.

Ningependa kutoa ushauri ufuatao kwa watu wanaopenda haki na amani ya nchi yetu.

1/Mkakati wowote wa siri unaopangwa na CCM kuuweka hadharani kabla au baada ya kutekelezwa kama hivi alivyofanya Heche(Ikiwemo kuvujisha nyaraka za siri)

2/Matukio yote ya kutengenezwa, watu wawahi kuyarekodi(Picha,video na sauti)

3/Kila penye dalili ya kutaka kutekelezwa mpango mchafu kutoa tahadhari mapema ili kila mtu ajue.

4/Kuwafundisha raia mbinu bora za amani, kukwepa na kushinda mbinu hizi chafu.
 
Sikutegemea,sijategemea na sitategemea wanaccm kufurahia habari hii.kwa hyo iwe chachu ya kujua mioyo ya wanacdm,wanacuf,na ccm kupitia thread hii.
 
Back
Top Bottom