Jogoo kuwika

Museven

JF-Expert Member
Aug 22, 2011
629
447
Naomba msaada ktk Biology: Hivi jogoo anawika kwa hiari au ni kwa silika kama tunavyopiga chafya binadamu?
 

Attachments

  • cock3.jpg
    cock3.jpg
    18.4 KB · Views: 220
anafaa kwa kitoweo, kuwika kwa jogoo yupi mmojawapo? huyo hapo pichani au yule mwingione? ila bado wote jibu litakua moja tu, haya bhana
 
Jogoo gani tena mkuu? Ni huyu​
attachment.php
au yule mwingine? Kama ni yule MWINGINE huwa hawiki mpaka aone chakula..!​
 
Anawika (ana communicate) kwa hiari! Akiwika jogoo mmoja mtaani, likely utasikia jogoo mwengine 'anajibu' kwa kuwika pia!
 
Back
Top Bottom