Job Ndungai katika dk 45 ITV

SITTA yuko CAPITAL TV anatema ukweli wake na hapindishi hisia zake hata kidogo. mwenye chance acheki.
 
Ndugai analaumu kwanin WATANZANIA wanapenda KULAUMU,
ANASEMA UCHUMI UNAKWENDA VIZURI,
DUH
hapohapo anakiri kuwa uchumi wetu umeathirika
 
'Kumbe kuna wadau wanakula posho zaidi ya laki 2 za wabunge?' so ndugai anataka lak 2 coz kuna wadau wanakula zaidi!
 
eti eeenh!
Kwa mtazamo wako,
Anataka ishu ya posho ijadiliwe kwa upana na kwa uwazi na kwenye kila nguzo ya serikali..mahakama, bunge, na serikali kuu!
Kwa muono wangu naona yupo sahihi, tusiwalaumu wabunge peke yao
 
Anataka ishu ya posho ijadiliwe kwa upana na kwa uwazi na kwenye kila nguzo ya serikali..mahakama, bunge, na serikali kuu!
Kwa muono wangu naona yupo sahihi, tusiwalaumu wabunge peke yao

wazo lake zuri
ila c kwa kua kuna wanaopata zaid so they nid more?
 
Nimechoka kusikiliza siasa za bongo bora niangalie gt premie league i change da channel..
 
Ndugai analaumu kwanin WATANZANIA wanapenda KULAUMU,
ANASEMA UCHUMI UNAKWENDA VIZURI,
DUH
hapohapo anakiri kuwa uchumi wetu umeathirika

Analaumu kwanini waTz wanapenda kulaumu na yeye hapo si keshalaumu? Kwahiyo ni jadi yetu waTz
 
Back
Top Bottom