Job Ndugai Umetukatisha Tamaa

Kwa kweli huyu ndugu ni janga,bunge kafungua yeye,maswali karuhusu yeye,vurugu kaanzisha yeye,polisi kaita yeye.huyu anahitaji maombi maalumu.

Mwenyekiti wa CCM taifa alishawaambia CCM waache kutegemea polisi kila wanapobanwa na wapinzani bali wajibu hoja kwa hoja,sasa Ndugai anatumia polisi hadi bungeni?Lahaula.nchi hii ni yetu sote na kila mtanzania anahaki sawa na mwingine sio ndugai tu.
 
ndugai NDIO KIELELEZO CHA WATU WALIOBAKI NDANI YA CCM inayoangamia kwa kasi, wanatumia Bunge, Polisi na TISS kubaki madarakani, lakini si nyingi chama chao kitakuwa mahututi na watu kama ndugai wataadhibiwa kutokana na makosa watendayo leo
 
Kweli kabisa hakuna ki2 kizuri kama kuheshimiana, ubabe dharau, na kujiona wewe ni bora zaidi ya wenzako haikujengei heshma zaidi ya kukushushia heshma mbele ya jamii, ameonyesha ni kwa kiasi gan kasi ya bunge limemshnda ni bora hata kina mama kuliko huyu mwanaume ambaye hana lolote zaidi ya kutokua na utu na busara katka maamuzi, ubabe haujengi
 
Yeye na Bosi wake na CCM yao fikara zao ni sawa tu...Tatizo ni mfumo wote uliomuweka na kumlinda hapo...
 
Kwanza Ndugai sijui kama anafahamu vizuri kuwa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni (KUB) is equivalent to Prime minister post. Je km huyo Pinda ndo angesimama jana angeweza kufanya ya jana. I think kuja haya ya kiti cha speaker kufanyiwa thorough head test before anything. Anyway, Ndugai ni mzawa na Dodoma region, ameathirika na Mirembe hospital
 
Tatizo viongozi wetu wengi hawana au hawajui maana halisi ya UPINZANI.Kwao UPINZANI ni UADUI.Bunge letu litakuwa hivyo mpaka pale viongozi wetu watakapojua maana halisi ya UPINZANI.Ni wakati muafaka sasa kwa Spika,Naibu SPika na wenyeviti kupelekwa semina au kozi ya elimu ya uraia na Upinzani .Vinginevyo tuhesabu siku watu watakaporushiana makaonde.
 
Ukitizama ile kichwa ya Ndugai kwa makini unaweza ukaona kama inafuka moshi vile.......Halafu ana nywele zimechambuka chambuka kama kuku mwenye kideri......Ukiona hivyo ujue hata ubongo wake una matatizo sana....Anyway ni mapenzi ya Mungu...
 
Hivi Tanzania tutaanza kuheshimiana lini? I have a dream; ipo siku waTz wote tutakuwa tunaheshimiana, mkubwa/mdogo, maskini/tajiri, ...!
 
haya madharau yatasababisha matatizo makubwa kwa taifa letu siku zijazo. subirini tu mtaona
 
Kwa kweli Ndugai ni janga la kitaifa
Habar wanajamii, hakika naibu spika ameudhihirishia uma na jumuiya ya kimataifa kwa ujumla kwa jinsi alivyokosa busara, hekima na weledi katika kutimiza majukumu yake kama kiongozi muhmu kabisa wa chombo cha kutunga sheria badala yake ameendekeza ubabe, na utashi wa kisiasa, naibu spika anapaswa kutambua bunge ni taasisi ya uma na si mali yake binafsi au ya chama chake cha siasa, anapaswa kuheshimu utu na maoni ya binadamu wengne, kwa nguvu aliyoitumia jana imemshushia heshma na ataondoka katika kiti cha unaibu spika akiwa na sifa mbaya ambayo itamchukua muda kuisafisha sifa hyo, mh ndugai anapaswa asome alama za nyakati na aache kuongoza bunge kwa hisia, mbona mh makinda au muhagama wanaepuka vurugu hzi? Hakika ndugai ndo mwanzilish wa vurugu hz kwa tabia yake ya udikteta na kutoheshmu mawazo ya wenzake!
 
Ukitizama ile kichwa ya Ndugai kwa makini unaweza ukaona kama inafuka moshi vile.......Halafu ana nywele zimechambuka chambuka kama kuku mwenye kideri......Ukiona hivyo ujue hata ubongo wake una matatizo sana....Anyway ni mapenzi ya Mungu...
Nenda mbali zaidi angalia historia yake kule kongwa wilaya inayopata maji mara moja kwa wiki. Fikiria ni mara ngapi unaweza kunawa uso. Achilia mbali kufua nguo kama zipo. Kisaikologia fikiria mtu aliyekulia mazingira kama hayo halafu akafluku kusomeshwa kwa mkopo wa Bodi na akafanikiwa kupitia mafisadi kupata unaibu usipika ataji-behave vipi? Katika mawanda ya saikologia huyu tunamwona ni mgonjwa, anumwa ugonjwa wa compensatory effects. Huu ni ugonjwa mbaya sana yaani mtu unajaribu kufidia shida ulizopata utotoni kwa kunyanyasa watu wengine ambao wako chini yako.
 
Tatizo hajasoma alama za nyakati, amelewa madaraka na amesahau kabisa wajibu wake wa kuwaongoza wabunge bali ameishia kuwa kinara wa mipasho bungeni, pia kwa kweli hawa wabunge wa viti maalum ndo wanazidi kukibeba hich chama coz hawana hoja za msingi zaidi ya kuambaa ukasuku na kunena yale wanayotumwa hawa nao ni janga la kitaifa baada ya ndugai, ila huyu ndugai cjui 2 kinachompa kiburi cha kuwafanyia wenzake unyama kama huu cjui ni nani ila hakuna marefu yasiyojua na ncha!
 
Mbona wakati unongoza Bunge kumekuwa kunatokea vurugu umekuwa unaogoza Bunge kibabe? Tufikirie sisi watazania
 
Hii topic haina mashiko. Mods ondoeni ----- huu tafadhali.

We Radhia futa usemi wako! Ukweli huuoni wa upendeleo katika uongozi wa bunge against CDM. Mume wako ( if you are a female anyway, maana you never know with JF self baptized names) atakuwa anakosa ukweli toka kwako! Be objective and not subjective
 
We Radhia futa usemi wako! Ukweli huuoni wa upendeleo katika uongozi wa bunge against CDM. Mume wako ( if you are a female anyway, maana you never know with JF self baptized names) atakuwa anakosa ukweli toka kwako! Be objective and not subjective

Wewe siyo riziki
 
Back
Top Bottom