Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

Aalikwe na mwandishi yuleyule maana jibu la swali hilo liliwekwa kipolo, miaka kadhaa imepita nadhani atakua na majibu...
 
Kaburi hili la kitambo aisee.

Nilidhani ni uzi mbichi nikaukimbilia kwa kasi ya Bolt
 
Ndo maana kila mara amechoka choka Bungeni. Kama yeye si mlevi wa pombe au"sigara" huo ndio ulevi wake mpaka kusahau ana Watoto wangapi. Lakini kwa kuwa nasikia fani yake ni Wanyama Pori na kweye ikolojia ya wanyama pori (competition), DUME Bora ni lile linaloweza kusambaza vinasaba (genes) vyake kwa wingi zaidi ya mwingine (yaani Watoto). TAFAKARI (inaelekea Uasherati ni Sera ya MAGAMBA unamkumbuka Chemba huko Igunga na ? huko Singida?)
Hahahahahaaaaaaaa
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Ndugai yuko sahihi si rahisi mwanaume kujua Ana watoto wangapi mama wazazi ndio hujua watoto wa mwanaume yupi awe mume au la ni wangapi. Kidume huwezi jua kwa uhakika una watoto wangapi labda upime DNA. Huyo mtangazaji kakosea kuuliza hilo swali alitakiwa akamuulize mke wa Ndugai
 
Kimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.

Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?
Nimekupa like ya kumi na tano mkuu.

Kumbe mlitarajia kumpiga chini lakini alileta ubabe hadi kacharaza mwenzio bakora na kuzimia.

Eboooo!!Ndugai sio kabisa.
 
Na watu kama Hao Wanajisifia kwenye TV na bado wanapewa Kura na Wananchi? Hiyo ni Sifa baba kuwa a rolling stone?

Kweli tuko Mbali kuendelea, na huyo Mtangazaji hakudiriki kuuliza Maswali ya kumbana na kumuaibisha? News Anchors

Wengi wana angalau a LLB hii inatuaibisha sisi Wanaume... SIO SIFA HATA KIDOGO
 
Acha kutetea ujinga, yan unamsifia mtu kujibu swali kama mwehu! Kweli mtu ana sema sijui kama nina mtoto, alaf una muona shujaa! Si shangai wewe kumtetea maana hata wewe unaweza kusema ukumbuki kama ulisababisha mauaji!
Njoooonii mteteee Ndugai.

Akiba ya maneno ni jambo jema sana.

Haya uliyasema ulipokuwa Kamanda, ebu rudi uyaone tena
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!
Hivi mtu anayepitapita popote hawezi kupigwa shoti kweli ?
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!

Kwa majibu haya basi Tanzania kwa sasa hatuna Spika ila tuna zuzu moja limeruhusiwa kukalia kiti cha Spika kwa bahati mbaya sana....Inasikitisha.
 
Kumbe Ndugai ana akili sana. Kwa sababu kwa mwanaume yeyote asiye mchaga panahitajika uvumilivu usio kifani ili ustahimili kuishi na mmama wa kichaga from the word go hadi mwisho wenu. Uchagani hakuna wanawake, ni wachozi tupu.
Kimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.

Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?
Na
 
Back
Top Bottom