Job Ndugai: Sijui nina watoto wangapi!

Aiseee.................!

kumbe hajui wanawake wa kipare walivyo watata? aangalie jinsi kaka yake mzee john malechela anavyopatishwa shida na mama anne kilango.mke na mume kila mtu na chumba chake.
 
Inamaana katia bakora mpaka mjengoni????
JAMAA NI HATARI KWA AFYA YA WABUNGE HASA WALE WA VITI VISIVYO MAALUM.
 
Katika kipindi cha STAR TV leo, Naibu spika, Job Ndugai ameshindwa kujibu swali la mtangazaji lililomtaka aeleze iwapo ana mke na ana watoto wangapi. Ndugai amesema ni vigumu kwa mwanaume kujua ana watoto wangapi kwa kuwa kuna pitapita nyingi hivyo unaweza kutaja idadi isiyo kweli!

Huwezi kusema Kiranga hajawaonya kuhusu huyu mpuuzi.

The cavalier callousness is chillingly citing childish conduct.
 
Kimsingi mke wake wa kwanza wa ujanani amemtelekeza huko Tabata ni Mchaga sijui amezaa nae matoto wangapi, ila sasa hivi kazuzuka na hawala yake mmoja ambae kamfanya mke wa pili anaitwa Dr Fatuma ni mpare , huyu mwanamke Mh. Ndugai amekufa ameoza kabisa , walikutana kongwa halafu mwanamke huyo akahamishiwa Dar, kongwa tena Ndugai pakawa hapakaliki kawatelekeza wapiga kura wake yeye na mwanamke wa kipare. Ndio maana mwaka 2015 tunataka tumpige teke, tunamweka mbunge kwa tiketi ya CHADEMA anaitwa Dr. Gidion John Kasilagila Bsc. Msc, phD raia wa Mtanana , habari ndiyo hiyo.

Mh. Mdee alimwonyesha kidole tusi kwa sababu ni shemeji yake, sasa dole la shemeji halina uchungu, sasa yeye kama amemind Mheshimiwa hana noma akitaka wazime taa kwani kuna nini?
Kumbe hafai hata kwa kurumangia?kama ameshindwa kusimama kwa ajili ya familia yake ya kwanza kamwe hafai kua kiongozi hata kwa watoto wa chekechea ,wanaume karibu wote wana nyumba ndogo lakini hatelekezi watoto na mke hata siku moja .kutelekeza mke ni ushamba wa wa wanawake
.
 
Mkuu Job Ndugai watoto wako wanakutafuta jimboni kwako!
 
JF bana!!! Japokuwa huyu jamaa simkubali kabisa lakini hili jukwaa nalo limejaa watu ambao hawajielewi wanataka nini. Kuna watu humu kipindi kile anazungumziwa Slaa walikuwa bize kumtetea kuwa aachwe maana yale ni maisha yake binafsi lakini leo hii imekuwa ishu kwa kuwa ni Ndugai??!! Where is JF spirit???!!!
 
JF bana!!! Japokuwa huyu jamaa simkubali kabisa lakini hili jukwaa nalo limejaa watu ambao hawajielewi wanataka nini. Kuna watu humu kipindi kile anazungumziwa Slaa walikuwa bize kumtetea kuwa aachwe maana yale ni maisha yake binafsi lakini leo hii imekuwa ishu kwa kuwa ni Ndugai??!! Where is JF spirit???!!!

Kwani Dr Slaa amewahi kusema hajui ana watoto wangapi? Utashindwaje kujua una watoto wangapi au ndio kulala na machangudoa peku....!!!!!
 
Kwani Dr Slaa amewahi kusema hajui ana watoto wangapi? Utashindwaje kujua una watoto wangapi au ndio kulala na machangudoa peku....!!!!!
You are missing the point. Sijasema nakubaliana na JN, nachosema ni kwamba kwa standard za hapa JF hayo ni mambo binafsi kwa hiyo haina tija kuyajadili. Kama ungekuwa unafuatilia mijadala inayomuhusu Slaa, utakubaliana na mimi kuwa kulikuwa na mazingira ya jumla kuwa hayo ni mambo yake binafsi hivyo haina haja ya kumjadili. Sasa swali ni je, kwani hii ishu ya JN siyo mambo binafsi. Kumbuka najaribu kuwa fair tu, I have nothing against JN or Slaa for that matter.
 
Mpare anampelekesha puta sasa!Kama baba wa William.
Hawa Wagogo ni limbukeni
 
kwa hili, wanaume tuwe wakweli! Ndio kawaida yetu kupata raha kutoka kwa wachumba tofauti, hasa kama uchumi uko vizuri, inakuwa fresh zaidi! Tatizo ni huu Uheshimiwa! Mwl jk aliwahisema "mwanachi wa kawaida akimpiga mkewe si habari lkn kiongozi akifanya hivyo ndo habari kuu kwenye media zote" Pia kuacha mke sio ishue kwa kuwa kila mmoja anataka amani ya roho na mwili. Sasa daily usingizi hupati ufanyeje? Cha msingi ni ushauri tu "tusisahau watoto hasa kuwapa huduma zote na kuwapenda" kumbukeni masuala ya ndani ya nyumba hayapimwi kwa elimu (degree). Kuchokana kupo pale!
 
hawa ndio watawala wetu wameshasahau kuwa wao hawapaswi kupita pita vichochoroni. kama kupita pita ni fani yake kwa nini awe kiongozi?
 
Huyu kama sio ndumba za marehemu mama yake basi hata ubunge hafai kupata.....
 
Unachosema ni kweli kabisa na kuna wengine wataka kugombea urais.

Ni wewe Mkuu Ritz, leo unakuwaje unambananga tena huyu nimezoea kukuona unatetea kila kitu ambacho ni kinyume na maadili ya Kitanzania hasa kama kinatoka kwa figure kama hizi.
 
Back
Top Bottom