Job Ndugai ni Kiboko ya Nidhamu Bungeni sasa

Kwa matukio yanayoendelea bungeni, natamani:-

1. Mtu kama profesa Baregu anahusika vipi au nafasi yake ipo vipi, ikumbukwe yeye ni mmoja wa wazee wa CDM na ni msomi mahiri wa sayansi ya siasa. Namfahamu binafsi kwa kuwa tuliwahi kufanya naye kazi kama member wa bodi wa taasisi fulani, alikuwa ni msema ukweli, mshauri na mkosoaji mkubwa. Natamani kujua yanayofanywa na akina Lema yanamfurahisha au yanamkaraisha kuwa yeye ni sehemu ya wanachofanya.

2. Kitila Mkumbo, ni kijana msomi naweza kusema sijawahi kuelewa msimamo wake kwenye jambo lolote, amekuwa kama analinda baadhi ya maslahi yake hivyo misimamo yake inaishia moyoni, hapa JF watu walijaribu kumchimba kuhusu kinachotokea Arusha akaruka futi laki saba. Naamini pia ni sehemu ya washauri wa CDM kwa hiyo yanayoendelea kutokea huko pia yana mkono wake, natamani kujua kama anajisikiaje kuwa sehemu ya haya.

3. Mzee Mwanakijiji, jamaa ni msemaji wa kile anachokiamini, huwa naamini kuwa hanakuremba kwenye anachokiamini, amewahi kuwapinga CDM na CCM kwa ukali ulio sawa. Naamini yeye sio sehemu ya kinachofanywa huko Dodoma na akina Lema lakini natamani kujua safari hii atawachana akina nani.

Mi mwenyewe natamani kujua kama lema anasema uwongo au anasema ukweli

Maana (1) CCM wapo kichama zaidi
(2) Wote ni mazuzu na wanaofanya vitu kwa mazoea na sio kwa kufata kanuni na taratibu
(3) wengi ni wajinga na malinbukeni hasa wale mijizee yenu
(4) Mwenyekiti wenu hatuna imani nae kama kiongozi mkuu wa nchi maana ............... mnajua analofanya

Mpaka sasa unatakiwa ueleze Lema kafanya jambi gani baya ili hali kuna watu kama kina chenge, Lowasa, Membe Kiwete, Nape Sita na Pinda wote hawa hamuoni kwamba ni kinyesi????
 
Dah, nahisi kwangu compatibility na connectivity ya title na maelezo kama sijaipata vile, natoka ntarudi!
 
Kwa matukio yanayoendelea bungeni, natamani:-

1. Mtu kama profesa Baregu anahusika vipi au nafasi yake ipo vipi, ikumbukwe yeye ni mmoja wa wazee wa CDM na ni msomi mahiri wa sayansi ya siasa. Namfahamu binafsi kwa kuwa tuliwahi kufanya naye kazi kama member wa bodi wa taasisi fulani, alikuwa ni msema ukweli, mshauri na mkosoaji mkubwa. Natamani kujua yanayofanywa na akina Lema yanamfurahisha au yanamkaraisha kuwa yeye ni sehemu ya wanachofanya.

2. Kitila Mkumbo, ni kijana msomi naweza kusema sijawahi kuelewa msimamo wake kwenye jambo lolote, amekuwa kama analinda baadhi ya maslahi yake hivyo misimamo yake inaishia moyoni, hapa JF watu walijaribu kumchimba kuhusu kinachotokea Arusha akaruka futi laki saba. Naamini pia ni sehemu ya washauri wa CDM kwa hiyo yanayoendelea kutokea huko pia yana mkono wake, natamani kujua kama anajisikiaje kuwa sehemu ya haya.

3. Mzee Mwanakijiji, jamaa ni msemaji wa kile anachokiamini, huwa naamini kuwa hanakuremba kwenye anachokiamini, amewahi kuwapinga CDM na CCM kwa ukali ulio sawa. Naamini yeye sio sehemu ya kinachofanywa huko Dodoma na akina Lema lakini natamani kujua safari hii atawachana akina nani.

Okey kama wote unaowaamini ni wasema ukweli na hujasikia kama wamekemea yanayofanywa na wabunge wa CDM inamaanisha wamebariki kinachofanywa na wanaharakati hawa wa CDM.

Pia as reasonable man haina haja ya kuwa na degree kugundua kuwa kinachofanywa na CDM bungeni ni sahihi, Iko wazi hata mtoto wa form one anajua kuwa CDM bungeni wanapambana na maharamia wa demokrasia.

Kanuni za kuzima mic na kuwasha mic bungeni haziwezi kuwa sababu ya kuwanyima haki wabunge kusema ukweli na kutetea haki za watanzania wanaohitaji haki na usawa. Hebu tutajie mbunge wako tumjue a ni Makinda au lukuvi au Prof Majimarefu?
 
Tanzania hakuna nidhamu bila adhabu.Hii ni kutokana na malezi ya fimbo toka msingi mpaka Sekondari.Hivyo maoni ya Watanzania kumtaka Spika kushape bunge,naona Ndugai ametekeleza.Kimsingi wote wakorofi wameufyata na nilazima kutamka ''mheshimiwa Spika/naibu Spika/Mwenyekiti'' hata kama umenuna teeeeh...teeeeh.
Hueleweki hapa ulikuwa unajaribu kuongea nini! kweli wewe bakora za shule za kata zimeharibu kabisa mishipa yako ya fahamu.
 
Kwa matukio yanayoendelea bungeni, natamani:-

1. Mtu kama profesa Baregu anahusika vipi au nafasi yake ipo vipi, ikumbukwe yeye ni mmoja wa wazee wa CDM na ni msomi mahiri wa sayansi ya siasa. Namfahamu binafsi kwa kuwa tuliwahi kufanya naye kazi kama member wa bodi wa taasisi fulani, alikuwa ni msema ukweli, mshauri na mkosoaji mkubwa. Natamani kujua yanayofanywa na akina Lema yanamfurahisha au yanamkaraisha kuwa yeye ni sehemu ya wanachofanya.

2. Kitila Mkumbo, ni kijana msomi naweza kusema sijawahi kuelewa msimamo wake kwenye jambo lolote, amekuwa kama analinda baadhi ya maslahi yake hivyo misimamo yake inaishia moyoni, hapa JF watu walijaribu kumchimba kuhusu kinachotokea Arusha akaruka futi laki saba. Naamini pia ni sehemu ya washauri wa CDM kwa hiyo yanayoendelea kutokea huko pia yana mkono wake, natamani kujua kama anajisikiaje kuwa sehemu ya haya.

3. Mzee Mwanakijiji, jamaa ni msemaji wa kile anachokiamini, huwa naamini kuwa hanakuremba kwenye anachokiamini, amewahi kuwapinga CDM na CCM kwa ukali ulio sawa. Naamini yeye sio sehemu ya kinachofanywa huko Dodoma na akina Lema lakini natamani kujua safari hii atawachana akina nani.
Naitamani ile JF ya zamani kabla ya hii mizuka inayoingia kwa hoja zisizo na kichwa wala miguu. Yaani Ndugai anayeongelewa ndiye huyu anaongea hapa chini. Need I say more ?

Last edited by a moderator:
tokea naibu spika alipowatoa nje ya bunge tundu lissu, mch. msigwa na godbless lema bunge sasa limeanza kubadilika nidhamu imeanza kurudi hata maneno ya kejeli na dharau yamepungua, nimemuona tundu lissu anaomba muongozo kwa spika kwa kufuata utaratibu anaruhusiwa na spika anaomba muongozo kisha anakaa kwa nidhamu ya hali ya juu kweli amenifurahisha hata ladha ya bunge inaanza kuonekana. kwenu wanajf nawasilisha hoja mbele yenu.
 
Back
Top Bottom