Job Ndugai ni Kiboko ya Nidhamu Bungeni sasa

Nduka

JF-Expert Member
Dec 3, 2008
8,552
2,360
Kwa matukio yanayoendelea bungeni, natamani:-

1. Mtu kama profesa Baregu anahusika vipi au nafasi yake ipo vipi, ikumbukwe yeye ni mmoja wa wazee wa CDM na ni msomi mahiri wa sayansi ya siasa. Namfahamu binafsi kwa kuwa tuliwahi kufanya naye kazi kama member wa bodi wa taasisi fulani, alikuwa ni msema ukweli, mshauri na mkosoaji mkubwa. Natamani kujua yanayofanywa na akina Lema yanamfurahisha au yanamkaraisha kuwa yeye ni sehemu ya wanachofanya.

2. Kitila Mkumbo, ni kijana msomi naweza kusema sijawahi kuelewa msimamo wake kwenye jambo lolote, amekuwa kama analinda baadhi ya maslahi yake hivyo misimamo yake inaishia moyoni, hapa JF watu walijaribu kumchimba kuhusu kinachotokea Arusha akaruka futi laki saba. Naamini pia ni sehemu ya washauri wa CDM kwa hiyo yanayoendelea kutokea huko pia yana mkono wake, natamani kujua kama anajisikiaje kuwa sehemu ya haya.

3. Mzee Mwanakijiji, jamaa ni msemaji wa kile anachokiamini, huwa naamini kuwa hanakuremba kwenye anachokiamini, amewahi kuwapinga CDM na CCM kwa ukali ulio sawa. Naamini yeye sio sehemu ya kinachofanywa huko Dodoma na akina Lema lakini natamani kujua safari hii atawachana akina nani.
 
Je,kama Kitila mkumbo alikuwa kwenye kamati ya Arusha....unadhani utakuwa unamtendea haki kwa kutaka yeye kueleza chochote kuhusiana na hilo kabla ya chama kupitia kamati kuu hakijamaliza hilo tatizo kulingana na reccomendations za za kamati yake ya huko Arusha?
 
Hapana kama kuna taratibu za chama zinamzuia kuzungumzia hili basi naamini anatakiwa kuzisimamia hizo na halazimiki kuongelea hilo hapa, ndio maana naishia kutamani tu.
 
Wazee natizama bunge sasa,hali ni shwari hakuna vurugu wala kelele na kikao kiko chini ya Job Ndugai-Naibu Spika.Wabunge wanasimama kwa heshima bila kugusa Mic,anawachagua kisha anatoa ruhusa kwa kila mmoja kuuliza ama kuchangia bajeti hii ya Mambo ya Ndani.

Hakuna kubwata na kwakweli nimeona Tundu Lissu kwa unyenyekevu kasimama N/Spika kamuona na baadae kapewa ruhusa ya kushika Mic.Tundu Lissu si yule ninaemfahamu leo ananidhamu ya juu na Wabunge wote.Mpaka sasa Mnyika anaongoza kwa hoja nyingi na anazitoa kwa heshima bila kubwabwaja.
 
Mkuu hautapata jibu,ingawa una maswali ya msingi kweli kweli!
Kila mtu atamtetea aliye wake,wasio na wa kuwatetea watakutukana,pole sana
usiguse mboni za watu
 
heshima ikisimamiwa bungeni wanaoumia ni CCM maana yale mayowe yao hawata piga tena SAFI sana CHADEMA, ccm wamejiingiza kwenye tego bila kujua sasa wataumia wao maana watapaswa kuwa na nidhamu

hongera CHADEMA kwa mbinu zenye majibu ya moja kwa moja
mpe mnyika heshima yake wewe jamaa ana hizo unampakazia kwa lipi?
 
Wazee natizama bunge sasa,hali ni shwari hakuna vurugu wala kelele na kikao kiko chini ya Job Ndugai-Naibu Spika.Wabunge wanasimama kwa heshima bila kugusa Mic,anawachagua kisha anatoa ruhusa kwa kila mmoja kuuliza ama kuchangia bajeti hii ya Mambo ya Ndani.

Hakuna kubwata na kwakweli nimeona Tundu Lissu kwa unyenyekevu kasimama N/Spika kamuona na baadae kapewa ruhusa ya kushika Mic.Tundu Lissu si yule ninaemfahamu leo ananidhamu ya juu na Wabunge wote.Mpaka sasa Mnyika anaongoza kwa hoja nyingi na anazitoa kwa heshima bila kubwabwaja.
acha ushabiki wako wa ajabu we unaposema anabwabwaja una maana gani ? wabunge wa chadema siku zote wamekuwa wakiheshimu kiti cha spika siyo leo tu mpaka pale kanuni zinapovunjwa kama jana kwa kumruhusu Lukuvi kutoa hotuba wakati wengine hawapati nafasi kama hizo ndipo chadema kwa kutoruhusu kanuni kuvunjwa huku wakiangalia walipoamua kuchukua hatua bila kujali kitachotokea Martin luther king alisema
"do what is right and be ready to accept the consequence as they come also one should not do things to stay safe "
 
Mkuu hautapata jibu,ingawa una maswali ya msingi kweli kweli!
Kila mtu atamtetea aliye wake,wasio na wa kuwatetea watakutukana,pole sana
usiguse mboni za watu

Umenena mkuu na nadhani ni vyema pia hao wanaoitwa wafuasi wa CDM JF wakapewa nafasi kutukana ili waimarishe hoja ya nduka, maana pia ni vyema mtu kama profesa Baregu akajua aina ya vijana wanaowaunga mkono.
 
Wazee natizama bunge sasa,hali ni shwari hakuna vurugu wala kelele na kikao kiko chini ya Job Ndugai-Naibu Spika.Wabunge wanasimama kwa heshima bila kugusa Mic,anawachagua kisha anatoa ruhusa kwa kila mmoja kuuliza ama kuchangia bajeti hii ya Mambo ya Ndani.

Hakuna kubwata na kwakweli nimeona Tundu Lissu kwa unyenyekevu kasimama N/Spika kamuona na baadae kapewa ruhusa ya kushika Mic.Tundu Lissu si yule ninaemfahamu leo ananidhamu ya juu na Wabunge wote.Mpaka sasa Mnyika anaongoza kwa hoja nyingi na anazitoa kwa heshima bila kubwabwaja.
kama ndivyo litakuwa ni pigo kubwa kwa wabunge wa CCM maana sasa sijui watakwenda kuzomea wapi! ila kwa wale wazee wa kulala usingizi hii ni fursa adimu, maana sasa watalala kwa raha zao bila kupigiwa kelele na hata ndoto watakuwa wanaota.
 
huyu NDUGAI ndio kaharibu kabisa maana wananchi tunawachora tu
kesho hapige kelele mbunge wa ccm au avunje kanuni hasipotolewa nje
BAO la kisigino mimi naona kamanda anayeongoza mashambulizi wa CCM kaisha

mpoteza adui sasa wanavamia tu kila kichaka na kulipua kumbe mengine ni maficho yao wenyewe
 
Jamani nashukuru wachangia hoja humu ambao wako critical pia kwa wale ambao wao wakisikia CDM wanapanic hapa hatujengi ila tunaimiza utashi wa itikadi za vyama ambapo si lengo. Nadhani si busara kutupa maneno pasipo kufikiri na kujadili mambo kitaalam.

Tuwe neutral kumtaja Lissu si chama bali alikuwa victim of circumstance na nimemtumia katika hypothesis testing na result imekuwa positive.So what is wrong here mbona mnanullify mambo.
 
Back
Top Bottom