Job interview @ guest house

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,720
155,326
Mke kamuaga mumewe kuwa anaenda kwenye interview.
Mumewe akiwa kazini anapewa jukumu la kwenda kufanya booking ya hoteli kwa ajili ya wageni wa ofisi.
Akiwa hotelini hapo sehemu ya mapokezi, mara anatokea mkewe akiwa na njemba.
Mume alipo uliza kulikoni uko hapa muda huu badala ya kwenye interview kama ulivyo aga? Wife akajibu, interview ya asubuhi ilikuwa oral, huku nimekuja kwenye practical.
Hadi sasa mume yuko icu muhimbili kwa heart attack
 
Utanitambua wewe unayeenda kumfanyia interview:angry::target::boxing::laser::doh::rip:
 
Jamani si kaenda kwene practical tu...he hehe hehe kaoa kicheche huyooo
 
Mke kamuaga mumewe kuwa anaenda kwenye interview.
Mumewe akiwa kazini anapewa jukumu la kwenda kufanya booking ya hoteli kwa ajili ya wageni wa ofisi.
Akiwa hotelini hapo sehemu ya mapokezi, mara anatokea mkewe akiwa na njemba.
Mume alipo uliza kulikoni uko hapa muda huu badala ya kwenye interview kama ulivyo aga? Wife akajibu, interview ya asubuhi ilikuwa oral, huku nimekuja kwenye practical.
Hadi sasa mume yuko icu muhimbili kwa heart attack

Labda mke ameamua kuwa hotelier
 
Nafikiri huyo mume hakuuliza kuwa hiyo interview ni ya kazi gani. Pengine mama alikuwa anaomba kazi ya hotelini kama housekeeping na nyingine za hivyo, sasa amemaliza oral interview wakampeleka hotelini kwenyewe aoneshe baadhi ya vitu practically, mfano jinsi ya kuandaa chumba cha mgeni nk
 
dah i nimeipenda............oral siyo???hahhahhaahhhahhaaaaa oral in deed!!!!!
 
huyo jamaa inabidi apewe somo kuwa mkewe alienda kuomba kazi ya hotelini sasa ndio alikuwa anafanya practical ya kutandika mashuka nadhani akipewa hiyo taarifa heart attack itaji-regulate ili atolewe hapo ICU na kupelekwa wodi ya kibasila
 
Aliyeuziwa cheni kauziwa cheni bandia, aliyetoa hela katoa hela bandia kwa sisi waswahili tunasema hiyo ngoma ni droo
 
yaani nyie wanaume mkeo anakuaga anaenda kwenye interview huulizi interview ya kazi gani offic zipo wapi na more information about that mwisho wa siku mnapata heart attack,na huyo mwanamke nae ni kicheche in nature
 
INFIDELITY Organization:mad:

Huyu sijui atakuwa memba wetu ngoja nianze kumfuatilia mhhhh lakini hapana members wetu huwa hawakamatwi au kuhisiwa kwenye INFI huyu atakuwa ni learner anajifunza kuendesha gari halafu kapelekwa kariakoo kwenye magari mengi ndio kashindwa kabisa hata kuweka gear
 
Hivi wewe si ndo mkwe wangu?
 
yaani nyie wanaume mkeo anakuaga anaenda kwenye interview huulizi interview ya kazi gani offic zipo wapi na more information about that mwisho wa siku mnapata heart attack,na huyo mwanamke nae ni kicheche in nature

Ufualtilie nini sasa! Ya nini kujiumiza roho? pressure ya nini!! We kafanye tu ilimradi nisijue. Just do it and do it safely!
Nikijua, najiweka pembeni!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom