JKT wa kujitolea nafasi zinatoka lini tena?

abdulh iddy

Senior Member
May 28, 2015
159
6
Natumaini mmeamka salama wazima wa afya nilikuwa naulizaJKT wa kujitolea watatoa nafasi lini tena.

Kwa mwenye ufahamu kuhusu zitatoka lini tujuzane

Asanteni
 
kaka kujitolea jkt wanachukuaga mara moja kwa mwaka hivyo mpaka mwez wa 4 kama ilivyo mwaka huu walitoa nafasi mwez wa 4 vuta subira kk
 
kaka kujitolea jkt wanachukuaga mara moja kwa mwaka hivyo mpaka mwez wa 4 kama ilivyo mwaka huu walitoa nafasi mwez wa 4 vuta subira kk
albinomweusi sio wataanza kutanga kama miaka iliyopita kuanzia mwezi wa 12 hadi wa kwanza, mwaka huu sio walichelewa kutokana na harakati za uchaguz na mambo mengine maana mwaka huu ulikuwa na michakato mingi sini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom