JKT RUVU vs COASTAL UNION: Live from Azam Complex, Chamazi

He hivi kumbe ni Dayton, mimi nikajua ni Clayton; Coastal wako vizuri mwaka huu na matokeo yakiisha hivi hivi wanawashusha wanalambalamba, hongereni sana Coastal, vipi Mphamvu mbrazili wenu anaanza kuitumikia club lini?

Clayton mwanamuziki wa zamani wa Kenya, teh teh teh teh!
Mbrazil anakamilisha taratibu za kupata working permit, karibuni mtamuona tu.
 
Kutoka Chamazi, Nsa Job kaumia vibaya baada ya kugongana na Golikipa wa JKT Ruvu na pale uwanjani hakuna gari la wagonjwa; hawa kamati ya ligi na TFF macho juu juu tu kwenye mapato ya mlangoni wanashindwa kupeleka hata gari la wagonjwa uwanjani, hawajui kama kwenye mchezo wa mpira muda wowote mtu anaumia na tumeshuhudia mara kibao watu wanafia uwanjani, uzembe kama huu inabidi uachwe.
 
Inaonekana Nsa amevunjika mguu, fracture ya kutisha.
 
Kutoka Chamazi, Nsa Job kaumia vibaya baada ya kugongana na Golikipa wa JKT Ruvu na pale uwanjani hakuna goli la wagonjwa; hawa kamati ya ligi na TFF macho juu juu tu kwenye mapato ya mlangoni wanashindwa kupeleka hata gari la wagonjwa uwanjani, hawajui kama kwenye mchezo wa mpira muda wowote mtu anaumia na tumeshuhudia mara kibao watu wanafia uwanjani, uzembe kama huu inabidi uachwe.

Tutayaongelea vizuri haya, ngoja tumfunge afande.
 
Dakika ya 90
Ruvu 0 - 3 CUSC
Mphamvu, Hivi Said Swed kabla ya kujiunga na Coastal alikuwa timu gani? Kikosi hatari cha Simba cha mwaka 2002/2003 naona wamebaki wawili tu wanaocheza ligi kuu, Juma Kaseja na Said Swed; nakikumbuka golini akiwepo Kaseja, Said Swed mbili, tatu Ramdhan Wasso, Victor Costa nne, tano Boniphace Pawasa, sita Christopher Alex, saba Steven Mapunda, nane Matola, tisa Emmanuel Gabrie au Athumani Machupa, kumi Yusuf Macho na kumi na moja Ulimboka Mwakingwe, kawaulize Zamalek wanalijua hilo kosi.
 
Sina uhakika, nadhani alitokea Toto Africa kama sijakosea.
 
Mphamvu, Hivi Said Swed kabla ya kujiunga na Coastal alikuwa timu gani? Kikosi hatari cha Simba cha mwaka 2002/2003 naona wamebaki wawili tu wanaocheza ligi kuu, Juma Kaseja na Said Swed; nakikumbuka golini akiwepo Kaseja, Said Swed mbili, tatu Ramdhan Wasso, Victor Costa nne, tano Boniphace Pawasa, sita Christopher Alex, saba Steven Mapunda, nane Matola, tisa Emmanuel Gabrie au Athumani Machupa, kumi Yusuf Macho na kumi na moja Ulimboka Mwakingwe, kawaulize Zamalek wanalijua hilo kosi.
na ukija benchi ulikua unamkuta kijana mtukutu Sekelo Barnabas, Simba ilikuwa ni balaha
 
Full time: Jkt Ruvu 0-3 Coastal union.

Straight mpaka nafasi ya tatu, pointi moja nyuma ya Yanga bila kusahau kuwa Azam ana mchezo mmoja mkononi.
Next game ni 1st November dhidi ya Azam FC hapo hapo Chamazi.
 
Kweli nyie ni wapenzi wa soka waatu tuna sherekea na matokeo ya udiwani nyie na mpira ..hahahah
 
Back
Top Bottom