Acha mkwara dogo.
Mimi niko kifuani kwa shemejio, lakini updates utapata kama kawaida unless mkonga wa taifa ukatike.
Sawasawa?
ukirudi tena usiku kama kawaida unakandamiza our sister inlaw,vp upo uwanjani? tunasubiri updates toka kwako
He hivi kumbe ni Dayton, mimi nikajua ni Clayton; Coastal wako vizuri mwaka huu na matokeo yakiisha hivi hivi wanawashusha wanalambalamba, hongereni sana Coastal, vipi Mphamvu mbrazili wenu anaanza kuitumikia club lini?Dakika ya 60,
Atupele Green anatoka, anaingia Lameck Dayton...