JKT na Uzalendo; Uzalendo kwa Nani?

JKT yenyewe tu si kigezo cha kujenga uadilifu na uzalendo. Ili mtu aw muadilifu na mzalendo anatakiwa awe anafuata itikadi ambayo inasisitiza itu hivyo. Tunaweza tukawa na JKT ambayo inaelea katika itikadi inayoshan´bikia dhuluma, wizi na unyang'anyi-matokeo yake ni kupata majamazi.

Nilipitia JKT mwwaka 1975 wakati huo itikadi ilikuwa ya Ujamaa na Kujitegemea. Tulijengewa hisia za uzalendo na kuheshimu utu wa binadamu bila kujali dini, kabila au maumbile. Kama kuna ambao walipitia JKT wakati huo na sasa wanaelekeza tabia zingine tofauti ya zile walizofundishwa, basi hiyo ni hulka tu ya hao wachache.
 
YES, JKT irudi pale tu nchi itakapolowa kwa uadilifu,uzalendo,utu na huruma; na wala JKT isiwe mvua ya kuilowesha nchi kwa hayo tajwa.
 
SERIKALI inasema inarejesha JKT ili kuboresha UZALENDO kwa wananchi wake sisi hatuungi mkono kwani hata waliopitia JKT leo hii hatuoni UZALENDO wao kwani wao ndio WAASISI AU WAANZILISHI wa UFISADI hapa nchini REJEA MEREMETA,DOWANS,EPA,RADA,RICHMOND nk.Tunashauri SERIKALI isichezee KODI na RASILIMALI zetu kwani fedha hizo zinaweza kutumika kwa mambo ya msingi kama kulipia MADENI YA WATUMISHI MBALIMBALI na pia kununulia VIFAA HOSPITALI.
 
JKT=Janga kwa Taifa,rejea kwa wateule waliopo kwenye system ambao wamekatiza JKT,siamini kama jkt iliwahimiza wao kupeleka mahela uswizi na kwingineko
 
SERIKALI inasema inarejesha JKT ili kuboresha UZALENDO kwa wananchi wake sisi hatuungi mkono kwani hata waliopitia JKT leo hii hatuoni UZALENDO wao kwani wao ndio WAASISI AU WAANZILISHI wa UFISADI hapa nchini REJEA MEREMETA,DOWANS,EPA,RADA,RICHMOND nk.Tunashauri SERIKALI isichezee KODI na RASILIMALI zetu kwani fedha hizo zinaweza kutumika kwa mambo ya msingi kama kulipia MADENI YA WATUMISHI MBALIMBALI na pia kununulia VIFAA HOSPITALI.

ujinga wa watu wa ccm ni kudhani kuwa watu (wengi sana tena sana) wanaoichukia ccm siyo wazalendo. tanzania ni tanzania na ccm ni ccm. zamani tulikuwa hatujuwi, siku hizi tunajuwa.

magamba jipangeni.
 
kurudisha uzalendo au kurudisha umbumbumbu?
pia wasisahau kupiga marufuku tv na magazeti hii ilikuwa inasaidia kutawala wajinga.
 
Labda wanataka kuleta prof. robers na hivi hakuna ajira. Chunga hili ndio jeshi kama lililomuondoa Gadafi madarakani...
 
SERIKALI inasema inarejesha JKT ili kuboresha UZALENDO kwa wananchi wake sisi hatuungi mkono kwani hata waliopitia JKT leo hii hatuoni UZALENDO wao kwani wao ndio WAASISI AU WAANZILISHI wa UFISADI hapa nchini REJEA MEREMETA,DOWANS,EPA,RADA,RICHMOND nk.Tunashauri SERIKALI isichezee KODI na RASILIMALI zetu kwani fedha hizo zinaweza kutumika kwa mambo ya msingi kama kulipia MADENI YA WATUMISHI MBALIMBALI na pia kununulia VIFAA HOSPITALI.

Yeah, Wanarudisha JKT wakati watoto wao WAMEPITA BILA kwenda JKT?

January Makamba
ALi Mwinyi
Lau Masha
Nape Nauye

2 name the few
Wabunge wengi Matajiri Bungeni

Na itakuwa ni kazi kweli kuwalazimisha watu kwenda JKT sababu kuna wengi sasa hivi hawajaenda; na kuna EAC

Wakenya, Waganda watachukua hizo kazi - CCM na Serikali yake ilifanya UJINGA wakati ule ili kuwaingiza wanao

Kwenye SIASA hawajuti wanataka kuwatumikisha watoto wa wengine...
 
Niliwahi kusoma habari kutoka gazeti moja:
In addition to standard military training, the programme provided training on human rights, civics, and the history of the union of Tanganyika and Zanzibar, and also aimed to impart students with a sense of unity and patriotism.Tanzanian Finance Minister William Mgimwa told parliament last week that 7.5 billion shillings ($4.7 million) will be allocated in the upcoming budget to reinstate the National Service programme.
Initially, only 5,000 high school graduates will be chosen to participate in the programme.
Kwanza hapo kwenye red bold, hayo masomo vijana wetu wanasoma mashuleni, na kama ingekuwa ni kwa ajili ya vijana kufundishwa hayo, waingize silibasi mashuleni.

Pili, Mgimwa alisema serikali itatenga shilingi bilioni 7.5, hivi Tanzania tuna matatizo mangapi muhimu na sugu ambapo hizo pesa kama zipo zingepelekwa huko kupunguza makali ya matatizo hayo, mfano katika elimu na afya vijijini.
Kwa hesabu ya chap chap, kila kijana mmoja atakayejiunga na kambi kati ya 5,000 itawagharimu walipa kodi shilingi milioni 1.128 kwa muda atakaokuwa kambini, hapo hujaweka gharama za wakufunzi, na vifaa. Iko haja kweli ya kukuza uzalendo kabla ya kukuza elimu na afya?

Tatu, baada ya JKT kuvunjwa majengo na nyenzo zote walijirithisha kwa bure au kwa bei chee, hii ni kusema kuwa ikiwa tunataka kuanzisha upya, itabidi serikali ianze kujenga na kununua vifaa vipya. Lakini zaidi ya yote, kama ambavyo pesa zinazotengwa huwa hazipatikani hata robo yake, hilo hilo litatokea kwenye mpango huu.

Pia, iko haja ya kuanzisha Professional JKT ili atakayejiunga akitoka awe naujuzi fulani katika fani ya kijeshi au kiraia na sio kwenda kambini kupigwa mkwanja tu na push-ups tu.

Ushauri wangu, ikiwa TZ inaona iko haja ya kufanya hivyo, kwanza ichukue kama miaka mitano kujiandaa, sio inaamka kutoka usingizini na kuanza kurap kile ilichokiota.
 
Baadhi ya wabunge wazee wa CCM wamekuwa wakisema bungeni eti kuondolewa kwa JKT kama ilivyokuwa zamani kumepunguza pamoja na mambo mengine UZALENDO kwa vijana na wakati mwingine wakiwalenga wabunge vijana wa CHADEMA, mimi sidhani kama kupitia kwao JKT kumewafanya wawe na uzalendo wanaousema.

JKT imerudishwa, nina imani kwa hali ya sasa kutaongeza waharifu wenye ujuzi wa kutumia siraha na wenye mafunzo ya kijeshi, hali ni mbaya na hao wanaojitangazia kuwa ni wazalendo ndiyo wasaliti wakubwa kwa taifa hili. Mimi nadhani kuwa na mtu mwenye hasira asiye na mafunzo ya kijeshi na wala hajui kutumia siraha ni heri sana kuliko kuwapeleka jeshini bila kubadilishia kwanza hali ya maisha, na kuuvua moyo wa kifisadi na kujilimbikizia mali kwa viongozi wetu wa sasa.

Mwaweza wenyewe kurejea kwenye tabia zisizo za kizalendo za wazee wetu mafisadi waliopitia JKT enzi hizo.

Uzalendo na umoja wa watu ulijengwa na watu na bahati mbaya, tena sana, warithi walikataa urithi huo kwa hiyari yao.
Kurejesha JKT ni mojawapo kati ya njia nyingi za kutapa tapa.
 
Hapo sikubaliani na hoja yako.
Ni kweli kabisa kwamba JKT,ilileta mshikamano,na elewa kwamba JKT ilisitishwa kipindi ambacho vyama vingi vimeanzishwa,so baadhi ya hao wazee unao wazungumzia,wakaweza kushawishi na kumobilize vijana ambao hawakupitia JKT,ili waweze kujiimarisha kisiasa,tunaona vurugu za 1993 ambapo mtikila aliweza kushawishi vijana kufanya fujo pale dar,1995 ccm na nccr walivyoweza kushawishi vijana ili kujenga chuki kwa baadhi ya viongozi,na mengine mengi.
Nakumbuka JKT ni sehemu ambayo elimu ya kiraia ilikuwa inatolewa kwa nadharia au kwa vitendo,tulikuwa tunafundishwa jinsi ya kuishi kwa umoja,tunafundishwa kufanya kazi kwa umoja,mapenzi kwa nchi yako na mengine mengi.
Kwahiyo umuhimu wa kutokuwepo kwa JKT,kumechangia kwa hii hali tunayoiona ikitokea.
 
Mafisadi wote wa sasa walipitia JKT! Walioficha pesa Uswiss walipitia JKT. Waliosimamia utoroshaji wa wanyama wetu walipitia JKT. Wote waliosaini mikataba mibovu iliyoletea taifa letu hasara kubwa ni wale waliopitia JKT. Wachumi ambao ushauri wao umeparaganyisha uchumi wa taifa hili walipitia JKT! JKT haliongezi uzalendo wowote. Ni ubatili na kujilisha upepo!
 
ndugu jeshi lolote haliwez kujenga uzalendo wa mtu bali kumfanya mtu kukubali kuishi kwa kufuata amri,kwa hofu ya kuadhibiwa km atafanya kinyume,huu kamwe hatuwez kuita uzalendo,jeshi lingekua linajenga uzalendo na sio hofu ya adhabu lisingekua na adhabu za kuua kwa ataepinga amri,UZALENDO ni kufanya jambo lenye manufaa kwa umma bila ya shuruti,ndio maana mtu akitoka ktk mazngira ya kijeshi(shurutishwa) maranyingi anaweza kufanya ualifu bila kujali kwa maana sheria na adhabu za kiraia si km za kijesh.km Jeshi nda dawa mbona karibia viongoz wote wa juu wa Serikali na Ccm wamepitia majeshini(JWTZ/JKT)lakini ndio hao watuhumiwa wa ufisadi?.hatuwezi kuwa wazalendo wakati tunaishi kimatabaka.
 
habari.....kutokana na mambo yanayotokea katika bunge la katiba ambayo ni mali ya nchi nzima na watu kutaka posho kubwa badala ya katiba bora...uzalendo uko wapi na ikiwa wengi pale wamepitia JKT??........
 
waliopo kwenye bunge la katiba wengi walipitia jkt na still uzalendo zero.......wanawaza maslah badala ya katiba ambayo itawapa maslahi baadae kama ikiwa bora.....
 
JKT ni sehemu ya watu wamaotaka kufanya kazi vyombo vya ulinzi, hamna cha uzalendo wala nini.Waliopita huko ni full marushwa, sioni cha uzalendo wala nini wapite tu huko wanaotaka jeshi si kulazimisha watu kisa uzalendo.
 
View attachment 140842 JKT2.jpg JKT5.jpg View attachment 140845
 
Back
Top Bottom