JKT kurejeshwa, wazo zuri au limepitwa na wakati?

JKT HAINA MAANA UKIMWI UTAUA DADA ZETU, Me naomba hizo pesa ziende kwenye mishahara ya walimu au wajenge mahospital. JKT YA NINI itatusaidia nini?? Ni sawa na MWENGE wa uhuru hauna maana unamaliza pesa. Jamani wabunge USE UR BRAIN ti think. It is not fare to resune JKT for what???

Tafakari
 
Hakika JKT inanikumbusha mbali sana.

nakumbuka siku nilipokwenda kuripoti Ruvu JKT. nilishushwa na gari pale getini. MP alianza kunigombea mwarabu mwarabu. Nilipigishwa kichura mpaka kumbukumbu na baada ya kuandikishwa nilipelekwa D Coy.

Hakika nilijua mengi mpaka kwa babu na vibwende kote.
naakumbuka sagent Mwambingu, sahani, nyundo,chenga,mazani, bila kumsahau capt Othman na RSM wetu Stuke.

hakika jeshi ni zuri katika nyanja ya ukakamavu, uvumilivu na hata kuondosha ukabila, udini na kuondoa matabaka. ni sehemu inayojenga umoja.

Ila kwa sasa naona imepitwa na wakati, kwani wengi wa watu especially watendaji ni wabadhilifu sana watasababisha watu wapate utapiamulo ( watachukua sana pololo). vile vile kuhusu UKIMWI sisemi tena.

namkumbuka afande Mazani na totoz
 
Hahaaaa mkuu ulikuwa opeartion gani? make story zote ulizotaja, hasa za huyo mazani ( ofcourse yule nadhani ulikuwa ugonjwa) nikama nilizishuhudia mkuu wangu.

Anyway, tukiacha hayo, JKT ni nzuri tu wakuu, inafundisha vijana kuwa all weather, na pia kufahamiana na kujua kuna jamii mbali mbali za watu ndani ya Tanzania. Mfano huu uanzishwaji wa shule za Kata, mtoto anazaliwa kijiji cha namtumbo, secondary namtumbo, akimaliza ajira hapo hapo.. anaweza asijue hata huwa kuna watu wanaitwa wamasai/wajaluo etc. Lakini akienda JKT yote atayajulia huko.

lakini pia inasaidia sana kwa wale watoto wa magorofani, walau wanajua kusomba maji, kusonga ugali na kusenya kuni lol!

Kuhusu ukimwi, hilo si dhani kama ni la kuogofya, kwani huko JKT ni sehemu nzuri ya kuwafundisha vijana wetu wajiepushe nao na kujikinga. Na zile ATM za vile vifaa naamini zitawekwa nyingi kila kambi kukabiliana na hilo.
 
I think I know you......!!! Afande Mazani alikua ana pepo wa ngono and by the way nasikia Nyundo amefariki.

Anyway, JKT idumu na idumu. Inasikitisha watoto wanakua hawajui hata National Anthem. Kama hauwafundishi nyumbani kama nifanyavyo mimi ndio basi tena. Kabla ya kurudishwa tena, nataka Watanzania tuambiwe content ya Mafunzo hayo, from political, social to economical. Tusijekupoteza kodi zetu bure kwa kitu ambacho hakina tija, manake gharama kubwa itatumika hapo. There is a lot that these young women and men can learn that they are not getting at school or home.

The programme should mostly be on Nationality, self dependence and some skills on self employment. You cannot prevent sex among them, they do it anyway at home, colleges etc. I never saw anybody getting raped by an afande, girls should be taught to have a strong will, waache uselule na kupenda mteremko.

Jamani waacheni watoto wenu waende tena mkome kabisa kuwatafutia vyeti. My life at JKT is quite a story, I wish I could have a day with all those service men and women. I sing those songs todate.

God Bless Tanzania!

Hakika JKT inanikumbusha mbali sana.

nakumbuka siku nilipokwenda kuripoti Ruvu JKT. nilishushwa na gari pale getini. MP alianza kunigombea mwarabu mwarabu. Nilipigishwa kichura mpaka kumbukumbu na baada ya kuandikishwa nilipelekwa D Coy.

Hakika nilijua mengi mpaka kwa babu na vibwende kote.
naakumbuka sagent Mwambingu, sahani, nyundo,chenga,mazani, bila kumsahau capt Othman na RSM wetu Stuke.

hakika jeshi ni zuri katika nyanja ya ukakamavu, uvumilivu na hata kuondosha ukabila, udini na kuondoa matabaka. ni sehemu inayojenga umoja.

Ila kwa sasa naona imepitwa na wakati, kwani wengi wa watu especially watendaji ni wabadhilifu sana watasababisha watu wapate utapiamulo ( watachukua sana pololo). vile vile kuhusu UKIMWI sisemi tena.

namkumbuka afande Mazani na totoz
 
I think I know you......!!! Afande Mazani alikua ana pepo wa ngono and by the way nasikia Nyundo amefariki.

Anyway, JKT idumu na idumu. Inasikitisha watoto wanakua hawajui hata National Anthem. Kama hauwafundishi nyumbani kama nifanyavyo mimi ndio basi tena. Kabla ya kurudishwa tena, nataka Watanzania tuambiwe content ya Mafunzo hayo, from political, social to economical. Tusijekupoteza kodi zetu bure kwa kitu ambacho hakina tija, manake gharama kubwa itatumika hapo. There is a lot that these young women and men can learn that they are not getting at school or home.

The programme should mostly be on Nationality, self dependence and some skills on self employment. You cannot prevent sex among them, they do it anyway at home, colleges etc. I never saw anybody getting raped by an afande, girls should be taught to have a strong will, waache uselule na kupenda mteremko.

Jamani waacheni watoto wenu waende tena mkome kabisa kuwatafutia vyeti. My life at JKT is quite a story, I wish I could have a day with all those service men and women. I sing those songs todate.

God Bless Tanzania!
Sorry, Afande Kibuyu ndio amefariki sio Nyundo.
 
Back
Top Bottom