Jkt kuingia mkataba na mtuhumiwa wa epa

sinafungu

JF-Expert Member
Feb 13, 2010
1,524
863
Jeshi la kujenga Taifa, limeingia mkataba wenye harufu mbaya, na mtuhumiwa wa wizi wa fedha za walipa kodi ktk akaunti ya madeni ya nje (BOT) ndg JEETU PATEL,mkataba huo unahusu uingizaji wa matrekta,nilitegemea uadilifu mkubwa toka jeshini kumbe nako kunavujaaaaa.
 
Back
Top Bottom