JK's worst blunder[s] katika utawala wake. Wapi alikosea zaidi tokea awe rais?

MNYISANZU

JF-Expert Member
Oct 21, 2011
7,048
1,102
Tuwe specific, unadhani ni ipi blunder kubwa zaidi aliyoifanya JK katika utawala wake tokea awe rais 2005 up to the present? .Nawasilisha
 
alipomrudisha JAIRO kazini kupitia katibu mkuu kiongozi zen akajifanya hajausika akamsimamisha tena kazi.
 
He has not done anything substantive enough to make him being assessed. So what should we put on the balance for evaluation? In my opinion, he has done more errors than any other president ever lived on the earth.
 
Tuwe specific, unadhani ni ipi blunder kubwa zaidi aliyoifanya JK katika utawala wake tokea awe rais 2005 up to the present? .Nawasilisha

Ku sign muswaada wa sheria ya Uchaguzi uliochakachuliwa bila kuusoma.
 
Tuwe specific, unadhani ni ipi worst blunder kubwa zaidi aliyoifanya JK katika utawala wake tokea awe rais 2005 up to the present? .Nawasilisha

He has not done anything substantive enough to make him being assessed. So what should we put on the balance for evaluation? In my opinion, he has done more errors than any other president ever lived on the earth.
Raadhia S,
If blunders were the Earth, then Errors are the Heavens!
I thought u would be able to notice the mighty difference between the two words!
 
Ununuzi wa Rada pamoja na ndege yake ambayo ni mbovu,kusaini mikataba hewa pamoja na kuwaogopa mafisadi
 
Mkuu, mi wala sijakuelewa. Unataka tutofautishe blunder zake vs what? Kwani kuna nini amefanya cha maana ambacho siyo blunder? Angekuwa na achievement yoyote labda tungeanza kulimganishia hapo.
 
Alipodanganya kuhusu mafisadi kushughulikiwa, ie wamerudisha pesa nk, na kushindwa kusolve issue ya uchakachuaji...

Hii ina maana he failed before he even started!
 
Haya hayakuwa wakati wa JMK, kumbe wengi humu huwa mnafata mkumbo bila kujuwa mnachokiongea? hayo yalifanyika wakati wa Mkapa, JMK ndiye alipigania mpaka pesa za Radar zikarudi. Kuwa makini kijana.

Kkwete alikuwepo. Alikuwa waziri wa mambo ya nje na alitetea uamuzi huo publicly. Ni uwongo kusema JK alipigania pesa zirudi. Ni Waingereza waliofanya uchunguzi na ilipogundulika kuwa Tanzania imelipa ziada ndipo Kikwete akajidai kuomba zirejeshwe. Angekuwa serious angewakamata Chenge na yule Mhindi aliyekuwa kuwadi wa mradi huo, lakini wapi. He is only good at pretending he cares.
 
Mramba? Liyumba? Mahalu?

Uchakachuaji? ungesikia Bunge la leo ulivyofanikiwa, ungeona raha.
Liyumba ilikuwa payback time kwa yule kisura wa gauni jekundu. Mahalu na Mramba will walk. Hakuna kesi hapo ya kujibu. Usanii huu tulishaujua siku nyingi.
 
1. Kuondoa Mahakama ya kadhi katika ilani ya chama badala ya kutekeleza ilani

2. Kuendelea kutoa pesa za umma 90 bil. kila mwaka through MoU kanisani badala ya kulipa madaktari wa serikali na kuboresha hospitali za serikali
 
Liyumba ilikuwa payback time kwa yule kisura wa gauni jekundu. Mahalu na Mramba will walk. Hakuna kesi hapo ya kujibu. Usanii huu tulishaujua siku nyingi.
Yani ni kama anatuambia usanii wake ndo pahala alipokosea...lol

Ndo maana nikasema the whole thing was a failure before it even began!
 
Liyumba ilikuwa payback time kwa yule kisura wa gauni jekundu. Mahalu na Mramba will walk. Hakuna kesi hapo ya kujibu. Usanii huu tulishaujua siku nyingi.

Kama hakuna kesi ya kujibu JK anahusikaje? walaumu waendesha mashtaka, na mahakimu na mahakama...do you believe on rule of law??
 
Mramba? Liyumba? Mahalu?

Uchakachuaji? ungesikia Bunge la leo ulivyofanikiwa, ungeona raha.
1. Kuogopa kufanya maamuzi kama mkuu wa nchi na kusababisha kuyumba kwa nchi na chama chake. Mf. Mafisadi, madaktari,
2. Kuangusha kabisa uchumi wa nchi -sasa sh. Yetu haiwezi kunua chochote. Alipoingia madarakani sukari ilikuwa 600/- -700/kmiaka 6 baadae 2500/-. Inflation imefikia around 20per cent, mchicha 1000/-kwa fungu!
3.kuweka vilaza wenzake kwenye maeneo yote nyeti na kusababisha uhujumu mkubwa wa uchumi ever reported
4. Kushindwa kabisa kutatua tatizo la uhaba wa umeme na badala yake kuja na cheap solutions kama mvua za kutengeneza-kumb.mvua ya Lowasa ya kunua Malaysya, richmond, dowans nk
5. Kushindwa kuwachukulia hatua rafiki zake kwenye mambo makubwa kama rada, richmond, etc
6. Kutumia rasilimali za nchi vibaya-kwenye ziara zake nyingi za nje
7. Kupita na kutangaza kuwa nchi ni maskini huku akiomba asaidiwe akiwa hajafanya lolote kuinua uchumi
8. Mkuu wa nchi kuhongwa suti na mwarabu wa Royal palm...hana utetezi wa maana juu ya hili
9. Kuwa rais wa kwanza duniani mwongomwongo asiyeweza kutekeleza aliyoahidi
10. Kumfanya mwanae awe msemaji na mtendaji wa chama/serikali mara kadhaa huku akinyamaza
11. Kuifanya nchi yetu mahali pa kila mgeni kuja kuchuma na kuondoka, hasa kwenye sekta ya madini na maliasili zingine kama wanyama
12.kuwa rais wa kwanza duniani asiyewahi kuwa serious na mambo serious. Akiona yamezidi anakimbilia nje na kumwachia pinda afanye maamuzi na matokeo yake mnayaona. Kazi kuchekacheka tu
13. Kudanganya wanafunzi kuwa hakuna mtoto wa maskini atakayekosa elimu sababu ya ada. Leo wanaolopeshwa ni watoto wa matajiri, wakimzomea anawafunga na kuwafukuza chuo
14. Kutetewa na watu type ya FF hata kwenye obvious blunders kiasi cha kuhoji kuna nini
 
Kama hakuna kesi ya kujibu JK anahusikaje? walaumu waendesha mashtaka, na mahakimu na mahakama...do you believe on rule of law??
Kikwet ndiye aliyeshinikiza akamatwe. Na hata pale mwenzake alipotoka kwa dhamana Liyumba akarudishwa jela kwa shinikizo yake.
Kwenye katiba mpya lazima tuweke bayana hakuna rais kuingilia mamlaka ya mahakama.
 
Sawa kabisa hakuna kuingilia mahakama ndio maana hata kama kina mramba watachomoka itakuwa uhuru wa mahakama usimlaumu JK..

Hilo la kushinikiza kukamatwa waseme wewe? can you prove? au uzushi kama kawaida..yenu
 
1. Kuogopa kufanya maamuzi kama mkuu wa nchi na kusababisha kuyumba kwa nchi na chama chake. Mf. Mafisadi, madaktari,
2. Kuangusha kabisa uchumi wa nchi -sasa sh. Yetu haiwezi kunua chochote. Alipoingia madarakani sukari ilikuwa 600/- -700/kmiaka 6 baadae 2500/-
3.kuweka vilaza wenzake kwenye maeneo yote nyeti na kusababisha uhujumu mkubwa wa uchumi ever reported
4. Kushindwa kabisa kutatua tatizo la uhaba wa umeme na badala yake kuja na cheap solutions kama mvua za kutengeneza-kumb.mvua ya Lowasa ya kunua Malaysya, richmond, dowans nk
5. Kushindwa kuwachukulia hatua rafiki zake kwenye mambo makubwa kama rada, richmond, etc
6. Kutumia rasilimali za nchi vibaya-kwenye ziara zake nyingi za nje
7. Kupita na kutangaza kuwa nchi ni maskini huku akiomba asaidiwe akiwa hajafanya lolote kuinua uchumi
8. Mkuu wa nchi kuhongwa suti na mwarabu wa Royal palm...hana utetezi wa maana juu ya hili
9. Kuwa rais wa kwanza duniani mwongomwongo asiyeweza kutekeleza aliyoahidi
10. Kumfanya mwanae awe msemaji na mtendaji wa chama/serikali mara kadhaa huku akinyamaza
11. Kuifanya nchi yetu mahali pa kila mgeni kuja kuchuma na kuondoka, hasa kwenye sekta ya madini na maliasili zingine kama wanyama
12.kuwa rais wa kwanza duniani asiyewahi kuwa serious na mambo serious. Akiona yamezidi anakimbilia nje na kumwachia pinda afanye maamuzi na matokeo yake mnayaona. Kazi kuchekacheka tu

Blah blah za kwenye mbege kama kawaida
 
Ningelikuwa mie, katika kipindi hiki watu wanahaha kutafuta habari JF, nisingeuliza mengi maana unazidi kumfanya Jasusi amwage Kuku kwenye mtama wengi, opppssss, mtama kwenye kuku wengi.

Jasusi, jamaa anataka ushahidi na sisi tunataka kujua mengi zaidi. Kumbe ugomvi ni kinguo na kigari chekundu?

Back
Top Bottom