JK's Obama's Sputnik moment: where is it?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
slide_16542_229980_large.jpg
4424ed5a867910c1_lauri4.jpg

Yes we have our disagreements kila kukicha lakini inaniuma tena sana kuwa natazama Obama anazungumza kwenye STATE OF THE UNION ADDRESS and i feel ashamed to admit kuwa I'm getting inspired by Obama who Isnt my President...issues kama vile Government responsibility to its people na nimependa aliposema kuwa VETERANS wa USA wanaweza kudownload their digitised medical records online!

Isnt that amazing? JK on the otherhand wanamwongopea tuu kila kukicha. Rais wetu hana website, hatujui nani tumcontact kwenye directorate of presidency Ikulu yetu ambayo inatumia e-mail ya YAHOO.COM! kama tuna suggestions on how better to run our country.

JK if you are reading this please be informed kuwa its never too late to change things na ukawa na legacy ya kudumu kwenye taifa letu.
 
hawezi kulifikiria hilo kwa sasa....

DO-ONCE inampasua kichwa
 
I hope JK anasoma jamii forum kupata ideas. Kuna Tatizo Tanzania na Africa in general. Where are true leaders in Africa? My hope is for us new generation to join Political Parties and Drive these changes. I am not sure how many more years we can take with this fake leadership from JK. I'm confident someone will tell JK to get out and move on with his life, Tanzanians deserve better than CCM...
 
Hali inatisha pale unapokutana na vijana wanaosema bila woga kuwa they are inspired by Kagame and Obama
 
Mimi nadhani our president has to "stick to his campaign promises" to improve people's welfare and fight corruption bila ya aibu? kitu ambacho mpaka sasa hajaonyesha kukifanyia kazi zaidi ya ku-act passively kwenye mambo nyeti kama ya do-once. Ni hapa ambapo sasa wananchi wana-doubt his determination and capabilty (personally) na si kimamlaka(kwani anayo tena makubwa) kwenye mambo magumu in trying times!
 
Are u kidding me? sasa unataka kumfanansiha Hussein Onyango na huyu Dr. Mkwere? Lets face it Onyango ni kichwa na anajitambua.
 
I like this one!

"What comes of this moment is up to us. What comes of this moment will be determined not by whether we can sit together tonight, but whether we can work together tomorrow." - BHO
 
Mimi ninachosema kuwa as much as its never toolate lakini one thing JK has to do ni kutumia muda wake uliobaki BILA WOGA akashinikiza tupate katiba MPYA then hata akiondoka potelea mbali political elites watamchukia but we will always remember kuwa walau tulipata katiba mpya

ambayo itakuwa ni msingi imara kwa Taifa kwenda mbele

JALUO linakata mbuga tuuu, i wanted to hate but couldnt...why should I?
 
Mkuu unamfahamu JK lakini? mbabaishaji in chief! Anapozungumzia katiba cha kwanza ni kuangalia maslahi yake binafsi yatakuwa affected kivipi na pili ya chama chake. Sasa kwa trend hii hawezi kufanya hicho unachowish!
 
Katiba mpya chini ya JK ni kiinimacho. Sasa hivi hapanshaka wapo jikoni kushughulika ku-cover up goldmine yao, Dowans, wakimaliza hilo utaona episode 2 ya hiki kiinimacho.
 
Tatizo la marais wengi wa africa ni kuweka watendaji kwa kujuana, hata mtu akikudanganya unaona noma kumtimua na ndio maana salva na wenzake wanamdangaja jamaa live anaona poa!!! Hatutokaa tuendelee mpaka tuwe serious, na cha msingi zaidi ni kubadilisha hii system ya kuleana.... kwa lugha rahisi ccm haiwezi kutufikisha huko tunakotaka kwenda.....
 
..........JK if you are reading this please be informed kuwa its never too late to change things na ukawa na legacy ya kudumu kwenye taifa letu.
Hilo ni jambo ambalop maris wetu wengi tu wa Africa except Mwalimi na Kagame hawafikrii wao wantafuta njia ya kujilimbikizia mali tu ni wabinafsi watupu
 
Mimi nadhani our president has to "stick to his campaign promises" to improve people's welfare and fight corruption bila ya aibu? kitu ambacho mpaka sasa hajaonyesha kukifanyia kazi zaidi ya ku-act passively kwenye mambo nyeti kama ya do-once. Ni hapa ambapo sasa wananchi wana-doubt his determination and capabilty (personally) na si kimamlaka(kwani anayo tena makubwa) kwenye mambo magumu in trying times!

Mtu anaye toa ahadi 70 zitekelezwe ndani ya miaka 5 hayuko serious na makini ni msani tu. JK anachokifanya sasa ni ku-pass time miaka 5 iishe aondoke hana mission, vision, ability na nia ya kuliendeleza taifa letu. Hapo kazi ni kwetu kuamua aendelee kutupotezea muda au tumwondoe tu sasa hivi. Ahadi 70 zinawafaa watawala wanaokaa muda mrefu kama yule wa Libya (1969), Yemeni (1978) na Egypt (1981)
na inabidi iwepo nia ya kweli ya kuzitekeleza.
 
Mkuu unamfahamu JK lakini? mbabaishaji in chief! Anapozungumzia katiba cha kwanza ni kuangalia maslahi yake binafsi yatakuwa affected kivipi na pili ya chama chake. Sasa kwa trend hii hawezi kufanya hicho unachowish!

True. Madai ya katiba mpya ni ya siku nyingi tangu 1992, CCM wamekuwa wakipuuzia kwa sababu hii iliyopo inawa-favour wao. Kwa maana hiyo JK atatuyeyusha tu tusipo simama imara na kui-dai kwa nguvu zote!
 
Back
Top Bottom