JK's Greatest speech: Ipi ilikuwa Best na ipi ilikuwa Worst?

Rais alionyesha hofu yake kuhusu kuwaruhusu wanafunzi wanaojifungua kuendelea na masomo, ambapo alisema ruhusa hiyo inaweza kuongeza idadi ya mimba shuleni.

“Kuwaruhusu wanafunzi wa kike kuendelea na masomo baada ya kujifungua kutasababisha nusu ya wanafunzi darasani maziwa yawe yanavuja kutokana na watoto wao kulia nyumbani."

“Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, msifikiri kuwa maadui ni wanaume, wapo wanawake wasiopenda wenzao wapate ambapo huwafanyia hiana kwa madai kuwa watawapita kimaendeleo,” alisisitiza.

Kikwete aponda viti maalum
 
Rais alionyesha hofu yake kuhusu kuwaruhusu wanafunzi wanaojifungua kuendelea na masomo, ambapo alisema ruhusa hiyo inaweza kuongeza idadi ya mimba shuleni.

"Kuwaruhusu wanafunzi wa kike kuendelea na masomo baada ya kujifungua kutasababisha nusu ya wanafunzi darasani maziwa yawe yanavuja kutokana na watoto wao kulia nyumbani."

"Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, msifikiri kuwa maadui ni wanaume, wapo wanawake wasiopenda wenzao wapate ambapo huwafanyia hiana kwa madai kuwa watawapita kimaendeleo," alisisitiza.

Kikwete aponda viti maalum

Dah! This must be the most vulgar and sexist statement ever made by someone holding the office of President of the Republic.
 
Rais alionyesha hofu yake kuhusu kuwaruhusu wanafunzi wanaojifungua kuendelea na masomo, ambapo alisema ruhusa hiyo inaweza kuongeza idadi ya mimba shuleni.

“Kuwaruhusu wanafunzi wa kike kuendelea na masomo baada ya kujifungua kutasababisha nusu ya wanafunzi darasani maziwa yawe yanavuja kutokana na watoto wao kulia nyumbani."

“Adui wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, msifikiri kuwa maadui ni wanaume, wapo wanawake wasiopenda wenzao wapate ambapo huwafanyia hiana kwa madai kuwa watawapita kimaendeleo,” alisisitiza.

Kikwete aponda viti maalum

Kaaazi kweli kweli.
 
Tangu JK aingie madarakani, unadhani ni ipi speech yake nzuri?
Heading yako inatoa jibu halafu unauliza tukutajie speech gani. Replace heading yako na swali unalouliza ndipo tukuambie ni speech gani ilikuwa bora. Au la ungeulliza ---Katika speech za JK ipi ilikuwa best na ipi ilikuwa worst?
 
Ni kweli amekosea. Mtajie sasa speech mbovu kuliko zote ya kikwete. Sidhani kama kuna speech yoyote ya maana aliyowahi kutoa na mbaya zaidi hana mvuto wa kumsikiliza.
 
Alipokuwa anafungua kwa mara ya kwanza kabisa (2006) bunge la JMT speech ile ilikuwa nzuri na ya matumani
 
me ckumbuki vizuri za nyuma lakini ya mwishomwisho kuhusu mswada wa katba ilikuwa the worst mkuu
 
Speech zote alizoongea na "wazee wa Dar es Salaam" zilikua mbovu sijapata kuona. Na zote zina fanana ki muundo.
 
Ni kweli amekosea. Mtajie sasa speech mbovu kuliko zote ya kikwete. Sidhani kama kuna speech yoyote ya maana aliyowahi kutoa na mbaya zaidi hana mvuto wa kumsikiliza.
Nimefurahi sasa ameweka heading inayoeleweka vizuri.
Kwangu mimi hakuna speech best ninayoikumbuka. Ile ya sikukuu ya IDD ilionekana nzuri kwa wengi kwa sababu aliongea kitu ambacho waelewa wengi walikuwa wakisubiri akiongee tangu mwaka 2005. Kuwaeleza waislam kuwa serikali haiwezi kuwaanzishia mahakama inayohusu imani yenu kwa kuwa serikali haina dini mwaka 2011 ni dalili zinazoonyesha ilikuwa ni ajenda yake ya siri lakini alibanwa akashindwa ndio anajifanya kutoa speech kali.
Jambo hili lilikuwa wazi tangu awali kila mtu mwenye akili timamu alikuwa anajuwa ni ujinga kuzungumzia ibada (kwa tafsiri ya waislam mahakama ya kadhi ni ibada) ya dini fulani kufadhiliwa na serikali ambayo ni circular. Hata wasaidizi wake walijua ujinga huo ila kwa kuwa walimsoma wakawa wanamuonea haya kumwambia ukweli wakawa wanacheza danadana mara tume mara kamati maalum nk. lakini ukweli wote walikuwa wanaujua. Ndio maana PM alikuwa akijibu kwa kujikanyaga kanyaga sana maana alikuwa na hofu ya kumuudhi mkuu wake JK.
The worst speech niliyoiweka kwenye record zangu ni ile aliyoitoa bungeni kuwasamehe mafisadi wa EPA na kuwaambia warudishe hadi mwezi wa october, ambapo nasikia ile speech hata kwenye Hansard ilibidi waitoe kwa aibu. Na spika akakataa wabunge wasiijadili maana ilikuwa ni aibu tupu. Kama kuna watu wanakumbuka vizuri Samweli Sita alitoa maneno machache ya faraja kwa wananchi walioisikiliza ile speech kwa dakika kama 3 hivi na akalaumiwa kuwa eti amemuaibisha Raisi, lakini ukweli ni kuwa Sita alituliza hasira na kiu ya wananchi siku ile. speech lenyewe lilikuwa reeeefu about 3 hrs lakini mwisho wake ni kudai eti hawezi kuwashughulikia wezi wa epa kwa sababu wana haki zao, na eti pesa hazikuwa za serikali. yaani pesa ziibiwe BoT useme hazikuwa za serikali? hivi hao walioziweka BoT waliweka kwa makubaliano gani? na wangemdai nani kama wangejitokeza. The whole speech was PUMBA huwezi kutegemea mtu mwenye akili timamu leave alone RAISI kuwa too low to that level.

Yaani ile speech mpaka sasa ninavyoandika najisikia hasira!!!! MMMMMMMMMMMMMMMMMMhh!!
 
Tangu JK aingie madarakani, unadhani ni ipi speech yake nzuri?

Daah,the worst kwangu ni ile hotuba alohutubia mwaka jana kwenye sherehe ya CCM kama sikosei!
Ati alijitetea asilaumiwe kwa ukosefu wa umeme kwani yeye si MUNGU kuweza kuleta mvua!Alisema angeweza angeenda mabwawani na kunyeshaaaaaaaa hadi yajae!Hii ilikuwa hotuba ya kitoto kwelikweli!
 
Sijawahi kusikia Speech nzuri kutoka kwa Dr Dr Dr Mwanajeshi mstaafu, Rasi wa NEC, Professor to be Alhaji Kikwete wa Serikali legelege Speech zote ni Pumba hakuna hata yenye afadhali
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kuna ile mbaya
kuliko
- watoto kupata mimba ni viherehere!
-hajui why tz is poorest country
-yeye c mvua wala nini
kwahiyo mgao unasonga mbele

na nyingi nyingne
ambazo labda sjawah ziskia manake nowadayz siskilizagi
anazungumza nini
bora nsikilize upupu wa bongo flavour asee
 
Nyingine iliyoniboa ni ile iliyozima mgomo wa uliokuwa umeandaliwa na tucta akiongea na wazee wa dsm. Nafikiri watanzania wote tunapaswa kupimwa akili. tunawezaje kuongozwa na mzee kama huyu.
 
Hotuba bora kabisa ya jk (wakati huo hatuijui vizuri rangi yake) ni ile ya kwanza kulihutubia bunge mwaka 2005 pale Dodoma. Kilichofuatia ni historia
 
Nyingine iliyoniboa ni ile iliyozima mgomo wa uliokuwa umeandaliwa na tucta akiongea na wazee wa dsm. Nafikiri watanzania wote tunapaswa kupimwa akili. tunawezaje kuongozwa na mzee kama huyu.

One of the worst, akamwita Mgaya 'mnafiki', 'mzushi' na 'mfitini'. Wafanyakazi wakaambiwa akili za kuambiwa wachanganye na za kwao....
 
Back
Top Bottom