JK's 90 days in office today !!!!! Are we better than before?

Nyambala

JF-Expert Member
Oct 10, 2007
4,465
1,170
Wakuu leo JK anatimiza siku 90 ndani ya awamu yake ya pili, in another language miezi 3 au 5% of the entire five yrs of this phase.

1. Je kuna mambo gani makubwa yamefanyika so far? Au yenye mwelekeo kwamba we have a leader who is thinking big?

2. Katika ahadi zake ni ipi ambayo ameanza kuitekeleza at least in that 5% point of view?

3. Serikali mpya imefanya nini kujitofautisha na serikali zilizotangulia?

4. Je ameonyesha "indicators (Viashirizi) zipi so far kwamba hii phase is just different from the previous others?

5. Kwa waliompigia kura je mnaridhika na pace ya awamu hii?
 
siku 90 chache sana kuangalia na kupima utendaji wake kwa vigezo vyako vuta subira tu.iam sure jamaa atafanya wonderz katika awamu hii na kutuachia nchi yenye maziwa na asali nyingi kwa kizazi chetu na hata kijacho.Tumpe muda na kumpa moyo na si kuanza kuuliza uliza eti kafanya nini!!!!!
 
mimi nilijua leo anatimiza miaka 5 na siku 90? Au nimesahau?

hamna kitu hapo jamani. nyie kama mna ubavu njooni tuandamane tu.

watawala wanaogopa damu ya mwanadamu inayomwagwa kwa risasi za vibaraka wao(polisi). bila damu kina rostam wataendelea kula kuku.
 
siku 90 chache sana kuangalia na kupima utendaji wake kwa vigezo vyako vuta subira tu.iam sure jamaa atafanya wonderz katika awamu hii na kutuachia nchi yenye maziwa na asali nyingi kwa kizazi chetu na hata kijacho.Tumpe muda na kumpa moyo na si kuanza kuuliza uliza eti kafanya nini!!!!!

sa unataka watu waulize kavaa nini?kama ofis ni ileile,na rais ni yuleyule,c kuna mambo yote yapo mezani?mbona mgao umetokea katika kipindi cha siku zake 90?ala
 
siku 90 chache sana kuangalia na kupima utendaji wake kwa vigezo vyako vuta subira tu.iam sure jamaa atafanya wonderz katika awamu hii na kutuachia nchi yenye maziwa na asali nyingi kwa kizazi chetu na hata kijacho.Tumpe muda na kumpa moyo na si kuanza kuuliza uliza eti kafanya nini!!!!!

Mkuu katika siku tisini tunatakiwa tuone hata vision ya tunakoelekea, haya mbao ya kumpa muda wakati hatuoni hata vision could be another waste like the previous five.
 
Mkuu katika siku tisini tunatakiwa tuone hata vision ya tunakoelekea, haya mbao ya kumpa muda wakati hatuoni hata vision could be another waste like the previous five.

Umesema kweli: siku 90 walitakiwa kutuonyesha tuelekee wapi! Labda tusubiri siku ya 100 atakuwa ameshajipanga.
 
Worse than we stand before i.e kulazimishwa kulipa dowans,shida ya maji,mgao mkali wa umeme,vitu kupanda bei,machafuko mengi na yenye madhara makubwa ya kisiasa(arusha as reference),migomo ya kutosha ya vyuo vikuu na vya kati anyway,hisia za hofu za udini,ukabila,matabaka in terms of who haves vs have nots, and the list goes on.........
 
Kama sikosei ni siku ya 1915 tangu amekuwa rais wa nchi hii na siyo tisini kama unavyodai. Kwa hiyo kipimo sahihi cha utendaji ni muda wote aliokaa ikulu na siyo hizi siku chache alizokaa kwenye awamu yake ya pili.
 
I am afraid hakuna kitu - or rather i should say, our lives are not as promising as we thought...its sad :sick: - Ni mungu tu ndiye atakayetuokoa...
 
I am afraid hakuna kitu - or rather i should say, our lives are not as promising as we thought...its sad :sick: - Ni mungu tu ndiye atakayetuokoa...

Mi naona hata aibu kufungua mdomo katika hili. Kimsingi hatuna tofauti na wana wa Israel utumwani Misri, hatuoni chakula na hata tunapokiona hatuli tukashiba. Kila uchao ni mateso...our hearts groans with fear and despair, we moan but there is no comforter.
 
Katika miaka mitano na siku tisini sijaona cha maana alichofanya... na katika hizi siku tisini baada ya kuiba kura ndio kabisaaaaaaaaa, zaidi ya kuchekacheka na kupiga picha akiwa na watu maaruf hamna jingine

LABDA LILE LA KUZIDUA KABURI LA MAMA BINGU
 
Hakuna kitu..mgao mchana na usiku,maji nayo ligi kupata coz umeme hamna,gharama za maisha ni mara dufu,mchakato wa dowans walipwe haraka na migomo kila sehemu..haya ni baadhi ndani ya siku 90...ile miaka mitano nadhani utalii tu.
 
Back
Top Bottom