Jkn vs jmk

Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,263
16,287
h nyerere vs kikwete.jpg ebu angalia hizi picha unipe wazo yupi ni raisi yupi ..@@@@@@@@@@@@ the true son of africa.jpg nyrere.jpg
 
Attachments

  • jkm jk.jpg
    jkm jk.jpg
    37.4 KB · Views: 21
ai see lazima nikamchungulie hivi pale magogoni
si tunaruhusiwa kutimba mda wowote c ofizi kama
zile za serikali za mtaa

na bado keshn Jmk anapiga zingine na wema na yule mwigizaji wa naijeria aliyemwalika ikulu
 
dhaifu hana friends,watu wenye akili timamu wanajua mess aliyoifanya kwenye nchi,walevi na wavuta sigara amewapandishia kodi,marafiki zake kawatoa kwenye uwaziri,wasanii bado hawajasahau alichomfanyia babu Sea,wakulima ndo hata siongei walijua linakuja sinia la pilau wakaandaa matumbo wanashangaa kimekuja kisosi cha kiporo,wazee wanamiss old times za Nyerere,wanafunzi na complications za mikopo na uonevu hawana hamu....
kama ndo hivi sasa Jk si yupo alone kama sio yupo na hypocrites wanaomtumia
 
Acheni hizo, JMKalikuwa mtu wa watu toka hapo awali. Tuache ushabiki, kasoro za kiutendaji wa serikali yake hazimuondolei utu wake, bali zinachangiwa watendaji wake na hatua tumeona ameanza kuchukua.

Mnataka afanye nini? Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni bana.
 
haki yake ndo hii hii

Back
Top Bottom