JK zungumzia haya kwenye hotuba yako ya mwisho wa mwezi July

nataka kwanza nimjibu salas rais ndiye mwenye jukumu lakujua jinsi yakutatatua tatizo la umeme kwanza anaweza kuamrisha makampuni kuwekeza tanzania napia kuwaeleza TRA kuwapunguzia kodi nakupata umeme kwabei nafuu,kuhusu ngeleje unaweza kueleza kafanya nini ktk utawala wake?wewe una mke akitembea nje ya ndoa unamsamee?ukiendelea naujinga huo nawewe utakuwa mke wamagharibi.
 
mh rais dr Jakaya Kikwete ana mambo mengi ya kuzungumzia u nani mpaka umwambie rais ajibu maswali yako, kwani uongo yeye ni mvua unafikiri atajazaje maji mtera? Mipango thabitii inahitaji muda sali mvua inyeshe. Hela inashuka thamani kutokana na mtikisiko wa uchumi. Kingine ngeleja ajiuzulu kisa umeme ?? We vipi mke haachwi kwa kosa moja mpeni nafasi.
kwani wewe ni nani mpaka umjibie? Luhanjo au? Mimi ni mwajiri wake lazima nimuulize, na nadhani haya niliyomuuliza ndio mambo ya msingi yanayolisumbua taifa kwa sasa, wewe ndugu yetu labda gamba limekufunika macho na masikio huoni wala husikii, lakini ni vizuri tungepata ufafanuzi wa maswala haya.
 
"mzee ruksa alikaa miaka 10 hakuyamalza, mzee Nkapa alikaa miaka 10 hakuyamalza, mie (jk) miaka 5 hayajaisha na mingne 5 hayatakwisha"
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom