JK yuko wapi?

Tumepishana hii asubuhi kwenye anga za Sardinia(Italy)

Gulfstream%20G650%20193.jpg
 
Ule ugonjwa wa kuanguka ulimtokea tena anaona aibu kujitokeza hadharani siku mbili hizi, baada ya hapo anaruka tena, si unajua asili ya mbayuwayu kupasua anga kwa kwenda mbele, safari nyingine anazibuni akiwa huko huko angani.Hapa msimtegemee hivi karibuni, mpaka msahau vumbi la Jairo ndiyo anarudi. Ajali za ndege zimekuwa adimu sana kwa viongozi sijui kwanini?

Hata kama amevurunda lakini kumuombea ajali si jambo zuri hata kidogo.
 
For the last two days sijasikia aliko rais wetu..najua yuko SA, but normally huwa tunaonyeshwa anachokifanya anapokuwa nje ya nchi. Cha kushangaza juzi na jana hatujamuona akirudi au kuambiwa yuko wapi na anafanya nn. Can somebody tell me, where is JK?

Mcheki jukwaa la mambo ya kikubwa!
 
Ule ugonjwa wa kuanguka ulimtokea tena anaona aibu kujitokeza hadharani siku mbili hizi, baada ya hapo anaruka tena, si unajua asili ya mbayuwayu kupasua anga kwa kwenda mbele, safari nyingine anazibuni akiwa huko huko angani.Hapa msimtegemee hivi karibuni, mpaka msahau vumbi la Jairo ndiyo anarudi. Ajali za ndege zimekuwa adimu sana kwa viongozi sijui kwanini?

DOUGLAS WILLIAM

Kwa nini unamuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mauti? At times, lazima tufikiri kwanza kabla ya kupost mawazo yetu. Unafikiri Mh. Rais hasomi hizi posting zetu? Please, tumtendee haki hata kama kuna baadhi ya vitu haviendi sawa katika nchi yetu.......lakini tuzidi kumuombea afya njema na uzima! Urais si kitu chepesi kiasi hicho!
 
For the last two days sijasikia aliko rais wetu..najua yuko SA, but normally huwa tunaonyeshwa anachokifanya anapokuwa nje ya nchi. Cha kushangaza juzi na jana hatujamuona akirudi au kuambiwa yuko wapi na anafanya nn. Can somebody tell me, where is JK?
Yuko fungate na mjukuu wa mandela
 
muulize mrisho ngassa walikuwa wote seattle, akimcheki dogo akikipiga na akina rooney! ndo maana hajasikika from SA si unajua mkuu anavyohusu soka
 
for the last two days sijasikia aliko rais wetu..najua yuko sa, but normally huwa tunaonyeshwa anachokifanya anapokuwa nje ya nchi. Cha kushangaza juzi na jana hatujamuona akirudi au kuambiwa yuko wapi na anafanya nn. Can somebody tell me, where is jk?
hivi wewe nchi hii hata rais akiwepo kuna kipya gani unategemea???..kwa tulipofikia hata mtoto mdogo anatawala...
 
DOUGLAS WILLIAM

Kwa nini unamuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mauti? At times, lazima tufikiri kwanza kabla ya kupost mawazo yetu. Unafikiri Mh. Rais hasomi hizi posting zetu? Please, tumtendee haki hata kama kuna baadhi ya vitu haviendi sawa katika nchi yetu.......lakini tuzidi kumuombea afya njema na uzima! Urais si kitu chepesi kiasi hicho!
I aggree because i believe JF is better than that.Ila sitoshangazwa kama kuna watu mmoja mmoja wenye chuki ambazo zinaweza kutafsirika kama "chuki binafsi"
Isipokuwa ni vyema Mh Rais akiwasikiliza wananchi kwasababu asipofanya hivyo atajenga uadui.Na unajuwa kuna usemi kuwa adui yako mwombee njaa/mabaya.
Kama viongozi wetu wangekuwa na utaratibu wa kuheshimu mawazo mbadala,basi tungekuwa mbali sana.
 
Kaka hapo penye RED uliandika mwenyewe au kuna mtu amekuandikia?? Unatuuliza aliko, then unatuambia unajua aliko! akili yako iko sawa kweli?

Umeishia darasa la ngapi..au ni umagamba unakusumbua? Wenzako wote wenye akili wamenielewa
 
DOUGLAS WILLIAM

Kwa nini unamuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mauti? At times, lazima tufikiri kwanza kabla ya kupost mawazo yetu. Unafikiri Mh. Rais hasomi hizi posting zetu? Please, tumtendee haki hata kama kuna baadhi ya vitu haviendi sawa katika nchi yetu.......lakini tuzidi kumuombea afya njema na uzima! Urais si kitu chepesi kiasi hicho!

Hahitaji kuombewa afya njema huyu,aliachiwa urithi wa majini ya kumlinda na yule Babu wa Mwembe Chai.Adui yako muombee njaa ati.
 
Back
Top Bottom