JK yuko wapi?

reformer

JF-Expert Member
Jul 22, 2011
387
101
For the last two days sijasikia aliko rais wetu..najua yuko SA, but normally huwa tunaonyeshwa anachokifanya anapokuwa nje ya nchi. Cha kushangaza juzi na jana hatujamuona akirudi au kuambiwa yuko wapi na anafanya nn. Can somebody tell me, where is JK?
 
Yuko bagamoyo ngomani, baada ya hapo ataenda kutafuta wawekezaji dubai na canada.
 
Ule ugonjwa wa kuanguka ulimtokea tena anaona aibu kujitokeza hadharani siku mbili hizi, baada ya hapo anaruka tena, si unajua asili ya mbayuwayu kupasua anga kwa kwenda mbele, safari nyingine anazibuni akiwa huko huko angani.Hapa msimtegemee hivi karibuni, mpaka msahau vumbi la Jairo ndiyo anarudi. Ajali za ndege zimekuwa adimu sana kwa viongozi sijui kwanini?
 
For the last two days sijasikia aliko rais wetu..najua yuko SA, but normally huwa tunaonyeshwa anachokifanya anapokuwa nje ya nchi. Cha kushangaza juzi na jana hatujamuona akirudi au kuambiwa yuko wapi na anafanya nn. Can somebody tell me, where is JK?
Kaka hapo penye RED uliandika mwenyewe au kuna mtu amekuandikia?? Unatuuliza aliko, then unatuambia unajua aliko! akili yako iko sawa kweli?
 
Yupo nchini alisharudi huoni kampa Jairo mapumziko ya malipo!!.
 
Jamaa they are busy in here doing what they are best at "majungu na umbeya"
Dua la KUKU................
 
Happy birthday to you, happy birthday to you, happy birthday dear madiba happy birthday
 
Nakumbuka ile miaka ya nyuma katika uhai wake baba wa taifa hili mwalimu Julius K. Nyerere alishawahi kumteua marehemu Rashidi Mfaume Kawawa nakumpa wizara moja iliyokua inajulikana kama waziri wa mambo yasiyokua na lazima hii wizara ilikua inahusika na mambo ya starehe na mambo mengi tu lakini yasiyokua na maana yoyote! Sasa naona JK katika safu yake ya kupanga wizara wizara hii alijitengea yeye mwenyewe na mifano hai natumaini mnaiona.
 
Ule ugonjwa wa kuanguka ulimtokea tena anaona aibu kujitokeza hadharani siku mbili hizi, baada ya hapo anaruka tena, si unajua asili ya mbayuwayu kupasua anga kwa kwenda mbele, safari nyingine anazibuni akiwa huko huko angani.Hapa msimtegemee hivi karibuni, mpaka msahau vumbi la Jairo ndiyo anarudi. Ajali za ndege zimekuwa adimu sana kwa viongozi sijui kwanini?
teh teh kwi kwi wewe ni yule afisa mawasiliano kwenye temple ya magogon? Mbona umevujisha info?
 
For the last two days sijasikia aliko rais wetu..najua yuko SA, but normally huwa tunaonyeshwa anachokifanya anapokuwa nje ya nchi. Cha kushangaza juzi na jana hatujamuona akirudi au kuambiwa yuko wapi na anafanya nn. Can somebody tell me, where is JK?

Kuna tetesi kwamba ameenda kikazi kwa siku moja ila siku zinazo bakia anataka kufanya ishu zake flani ambazo ni personal kidogo na zinahitaji umeme wa uhakika na haziwezi zikafanyikia ikulu, mkuu si unajua isue ya umeme kwasasa?
 
yupo iringa kwa yule demu wake wa kiarabu aliyepewa na rostam aziz....kafichwa
 
yuko sitimbi kwa profesa j mwanamuziki kajificha coz anaona aibu kutokana na kashfa ya wizara ya nishati nd madini iliyofumuka bungeni dodoma.
 
Mie nangojea nisike labda ameongelea swala la umeme ikiwezekana tuunganishe grid ya taifa na ya afrika ya kusini nahisi atamwambia msemaji wa IKULU ajulishe wananchi kwamba hatimaye umeme si tatizo tena
 
Back
Top Bottom